Ni andiko lipi la chuki aliloleta mleta mada!?Waislam bhana hivi hamnaga kabisa cha kufanya zaid ya chuki kwa wasio waislam au ukimchukia asiye mwisilam unapata thwawabu?
Yaan wewe jamaa mwaka unaanza mpaka unaisha ni maandiko ya chuki tu mwanzo mwisho
Kwani kusema ukweli kuwa Netanyahu amechokwa na raia wake hizo ni chuki!?
Unafikiria kwa kutumia kishundu ama!?
Halafu wapi mleta mada ametaja dini!?
Akili bure kabisa hizi.