Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kasharidhika nacho hakimuwashi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apige chini
Chakula, aache kulakula ovyo awe na nidhamu katika kula😭😭😭
Mahabuba wangu kanenepa mno, mno, mno.
Akiwa anavaa chumbani na akiinama, tumbo linaning'inia chini.
Nimemkazania mazoezi ila wapiii, ndiyo kwanza mwili unazidi
Naumia mno, naona sitendewi haki.
Inafika wakati akivua pichu na mkanda, kinafyatuka futuuuu.
😭😭
Wanawake mbona mna makusudi?
Mazoezi amegoma na hataki tena.
Daaah😭😭😭😭
😁😁😅😅😅kuna kijana wa kiume ana miaka 19 tu ni bonge mtaani anaitwa Big yani navyomuona km lidudu, chafu chafu hivi, zembee kama mzigo, unene sio mzuri kabisa
😂😭😭😭
Mahabuba wangu kanenepa mno, mno, mno.
Akiwa anavaa chumbani na akiinama, tumbo linaning'inia chini.
Nimemkazania mazoezi ila wapiii, ndiyo kwanza mwili unazidi
Naumia mno, naona sitendewi haki.
Inafika wakati akivua pichu na mkanda, kinafyatuka futuuuu.
😭😭
Wanawake mbona mna makusudi?
Mazoezi amegoma na hataki tena.
Daaah😭😭😭😭
mpe stress atapungua mwenyewe😭😭😭

Kwa maneno mengine amuuwe kwa njaa..!!??Mnyime chakula
umemaliza mkuu nilipigwa msosi mlo mmoja for 4 months nikapungua vibaya mno 96kg hadi 75kg now nipo normal kitamb flat mwili wa saiz japo unakaunene flani kakishkaji kauwepesi asee nilikua natisha apo 96kgMnyime chakula
limekua lijitu tayar 😂😂Lipigishe dayati asubuhi lipe mikate miwili tu usimpe mikate 7
😂😁limekua lijitu tayar 😂😂
Inachekesha sana kwa kweli!!😭😭😭
Mahabuba wangu kanenepa mno, mno, mno.
Akiwa anavaa chumbani na akiinama, tumbo linaning'inia chini.
Nimemkazania mazoezi ila wapiii, ndiyo kwanza mwili unazidi
Naumia mno, naona sitendewi haki.
Inafika wakati akivua pichu na mkanda, kinafyatuka futuuuu.
😭😭
Wanawake mbona mna makusudi?
Mazoezi amegoma na hataki tena.
Daaah😭😭😭😭
chepuka halafu akufumanie kitaisha tu sorry natania tu ila solution ni product za kupunguza mafuta yasiyo na kazi mwilin zipo ni nzuri sana ela yako tu😭😭😭