I hate Americans . wataingilia kati maslahi yao yakiguswa na si vinginevyoNami nahisi hivyo. Watamuua
Diaspora waombe msaada kutoka iwa Trump or any other international organisation to intervene
Stephen Wassira alikwishabainisha hivyo; hili siyo jambo lililojificha tena.
You inclusiveLissu anapigania watu wapumbavu
Damu ya hao "wapumbavu" ndiyo inayokuvuruga akili kiasi hiki, ambacho ni zaidi ya kuwa mpumbavu.miongoni mwa upumbavu ni kutoka okt 29 mkuu,
Uko sahihi!I hate Americans . wataingilia kati maslahi yao yakiguswa na si vinginevyo
Ndo hapo sasa,Legal significance kwa mahakama ipi?
How, wanasimamaje yani??Sina hakika kama huu ni "mwandiko na fikra" toka moja kwa moja kwa Tundu Lissu!
Mpumbavu yeyote, hata hao maadui wanaomnyanyasa Tundu Lissu wanaweza kuandika chochote humu JF kupima upepo unakovumia.
WaTanzania "hawalali na hawatalala". Ni juzi tu wazalendo wameweka damu yao chini kurutubisha ardhi hii isinajisiwe milele. Hawa huwezi kusema walilala; mapambano ndiyo kwanza yameanza.
Kunyanyaswa kwa Tundu Lissu ni sehemu na kichocheo kitakachozaa ukombozi wa taifa hili.
WatTanzania hawatalala; watasimama na Tundu Lissu mpaka ukombozi kamili utakapopatikana.
Ipo wapi mkuu tumskieSala ya gwajima ndio ime niacha hoi
Hata huyo lissu naye ni mpumbavu anavuna matokeo ya upumbavu wake ...walio jifanya marafiki zake dhidi ya JPM kina Samia na Rostam azizi , kikwete nk ...hadi kupigiana simu kupongezana kuhusu kifo cha JPM, ndiyo wanao mshikilia gerezani .....LISSU ALITUMIWA NA RAIA FEKI DHIDI YA MZALENDO JPM LEO ANAVUNA ALICHO PANDA.Lissu anapigania watu wapumbavu
Hakuna kitu kibaya kitatokea Kwa Lissu na yoyote atakayejaribu atakufa kama alivyojaribu magufuli. Hii thread isave utanishikuru badae.
Mpumbavu ni wewe na mamako aliyekuzaa wewe mpumbavu, Lissu hawezi kuwa mpumbavu kama wewe na mamako.Hata huyo lissu naye ni mpumbavu anavuna matokeo ya upumbavu wake ...alip wanna rafiki dhidi ya JPM kina Samia na Rostam azizi , kikwete nk ndiyo wanao mshikilia gerezani .....LISSU ALITUMIWA NA RAIA FEKI DHIDI YA MZALENDO JPM LEO ANAVUNA ALICHO PANDA.
Lissu siyo mpumbavu kwako ila Lissu mwenyewe anajua na kukili kuwa ni mpumbavu kwangu ...mimi nilimuonya na chadema yake sana ...nikionyesha kila kitu kinacho kwenda kutokea wazi wazi ...wakasema mama ana upiga mwingi ......Mpumbavu ni wewe na mamako aliyekuzaa wewe mpumbavu, Lissu hawezi kuwa mpumbavu kama wewe na mamako.
Unataka kujuwa mkuu 'John'. Pengine ndiyo maana ya mada chokonozi hii?How, wanasimamaje yani??
Nawe unajihesabu kuwa miongoni mwa watu wa kuonya yeyote kwa fikra za kitumwa ulizo nazo?Lissu siyo mpumbavu kwako ila Lissu mwenyewe anajua na kukili kuwa ni mpumbavu kwangu ...mimi nilimuonya na chadema yake sana ...nikionyesha kila kitu kinacho kwenda kutokea wazi wazi ...wakasema mama ana upiga mwingi ......
Sasa Sheria inakataza shahidi aliyetoa mwongozo ..au taarifa mwanzoni haruhusiwi kuleta ushahidi Mpya...Mi nilitamani sana jamaa asiweke mapingamizi,ili kesi hii iishe haraka,kama kuhukumiwa ijulikane.. Yeye mwenyewe anachangia kesi yake iwe prolonged.