Kilio na sala ya Lissu toka Ukonga: Watanzania mmelala? Mimi sijalala

Kwa katiba ya TANZANIA uhalali wa Serikali haupimwi kwa turnout naaamini hili unalifahamu na hili ndilo kosa mnalifanya kususa sio suluhu

Wangejitokeza wananchi 20 na mshindi akapata kura 12 angetangazwa tu na asilimia angepewa.
Kwa hiyo hapa wewe unajiona mjuaji zaidi ya wengine?
Unadhani unazungumzia jambo jipya hapa; au ndiyo kwanza wewe unaanza kuyatambua haya!

Samia na Genge lake ndio wanaoongoza upumbavu huo kwa sasa, ndiyo maana anaongelewa yeye na hilo genge lake na watu kama wewe mkiwa nyenzo tu za kutekeleza wanayoamua hao wahalifu.

Huu ujinga wa kugeuza hoja na kutaka yazungumziwe mengine ni sehemu ya upumbavu mkubwa mnaouonyesha humu JF.

Ni hayo hayo ya AMANI/Mshikamano bila ya HAKI Mbinu zilezile za kilaghai katika kila jambo mkifikiri watu hawaelewi ulaghai wenu.
 
Zile mbwembwe za kizimbani kumbe ni danganya toto?? Kumbe kalegea tayari!!
"Kalegea boya" huku mkiwa na hofu kubwa juu yake?
Sasa hivi hamjui mfanye nini kuepusha tsunami inayowanyemelea!
 
Aliyepata kapata, hilo dua lankuku halimpati mwewe
Utakuwa na akili pungufu sana kudhani Samia "kapata"; kwa hali aliyomo sasa.
Ungeweka pembeni manufaa unayopata kutokana na uwepo wake, wewe mwenyewe ungekuwa mtu wa kwanza kumwonea huruma.
 
Wewe nani wa kujua hali ya Rais aliyonayo? We si nabii koko tu!! Mwaka 2025 wote mlikuwa mnasema uchaguzi hautafanyika, mara oo sijui nchi imemshinda, mara ooh atapinduliwa? Kiko wapi??

Mwaka huu kila mkikaa mansema hamalizi 2026!! Mmebakia hamna credibility kwenye utabiri wenu wa kishenzi. Endeleeni na maumivu xxxx Lord Denning
 
Yaani watu kabisa wenye akili zao eti wakae chini waongee na Lisu eti tukuachie halafu ukitoka uende nje ya nchi. Kwa kawaida uwongo unakuwa na ladha lakini uongo huu hauna. Huyo Tundu ni muongo kama Trump pale anaposema jana ameongea na viongozi wa Iran na wamefikia mahali pazuri wakati huohuo viongozi wa Iran wakimshangaa na kukanusha kwamba hakuna jambo kama hilo.Kwa hiyo jameni tumsamehe ndugu yetu TL pamoja na CHADEMA wote,kwa sababu uwongo katika siasa kwa sasa upo katika ngazi za kimataifa.
Kumshikilia Tundu Lissu hakutawasaidia kitu.

Mkae naye, msikae naye hakubadili tena matokeo yanayowakabili.
 
Wewe nani wa kujua hali ya Rais aliyonayo? We si nabii koko tu!! Mwaka 2025 wote mlikuwa mnasema uchaguzi hautafanyika, mara oo sijui nchi imemshinda, mara ooh atapinduliwa? Kiko wapi??

Mwaka huu kila mkikaa mansema hamalizi 2026!! Mmebakia hamna credibility kwenye utabiri wenu wa kishenzi. Endeleeni na maumivu xxxx Lord Denning
"Rais", yupi?
Mhalifu Samia Suluhu Hassan anayesubiri kuwajibishwa kwa uhalifu wake?

Kwa vile wewe ni mtegemea makombo yake; jitahidi kutazama hali yake utajuwa anayo hali mbovu kabisa hapo alipo. Utamu wa makombo usikufanye akili zako kushindwa kujuwa ubovu wa hali yake.

Inaeleweka kwa nguruwe kama wewe kudhani kwamba Samia ndiye kila kitu katika maisha yako, na kuwa hakuna lolote litakaloweza kumtokea yeye na Genge lake kwa vile mitutu ya bunduki inamzunguka.
Hiyo ndiyo akili inayowaondoa ufahamu wa hali ilivyo mbovu.
 
Hamna lolote mtafanya na hiyo ICC wala hatokuja tokea.
 
Unakomalia ICC; nani kakwambia waTanzania wanasubiri ICC?
Watanzania tutayamaliza tu wenyewe hapahapa.; na wahalifu wote watapata haki zao stahiki vyovyote itakavyotokea haki hizo kupatikana; hata kwa njia za mitutu mnazozitegemea nyinyi kuwa zitawalinda.
 
Mwaka huu kila mkikaa mansema hamalizi 2026!! Mmebakia hamna credibility kwenye utabiri wenu wa kishenzi.
Si wajibu wako, wala wa huyo mhalifu kuamua/kujuwa ni lini, wapi atapata haki yake stahiki.

Hiyo ni sehemu ya maumivu makubwa yanayowatesa wakati wote.
Hamna utashi wa kuhimiza wala kuamua hatma yenu; uwezo huo hamnao tena.
 
Unasubiri kufa tu kwa kihoro
 
Unasubiri kufa tu kwa kihoro
Wewe huna uwezo huo wa kujuwa kifo changu kitatokana na nini.

Kifo/Jela ya maisha inawasubiri wahalifu; Samia na Genge lake pamoja na nguruwe wao wote kama wewe.

Mwanzo ulionekana kuwa mtu mwenye akili nzuri kichwani, kumbe kumejaa funza tupu!
Hizi tamaduni mnazorithi zinawaathiri vibaya sana akili zenu.
 
Mental health problem is real, fika Mirembe wakutibu
 
Kwa hiyo hapa wewe unajiona mjuaji zaidi ya wengine?
Unadhani unazungumzia jambo jipya hapa; au ndiyo kwanza wewe unaanza kuyatambua haya!

Samia na Genge lake ndio wanaoongoza upumbavu huo kwa sasa, ndiyo maana anaongelewa yeye na hilo genge lake na watu kama wewe mkiwa nyenzo tu za kutekeleza wanayoamua hao wahalifu.

Huu ujinga wa kugeuza hoja na kutaka yazungumziwe mengine ni sehemu ya upumbavu mkubwa mnaouonyesha humu JF.

Ni hayo hayo ya AMANI/Mshikamano bila ya HAKI Mbinu zilezile za kilaghai katika kila jambo mkifikiri watu hawaelewi ulaghai wenu.
Maelezo mengiii hamna lolote
 
Back
Top Bottom