Killy na Cheed wajitoa King's Music

HUWEZI SIMAMIA WASANII KAMA MWENYEWE TU UMESHINDWA KUJISIMAMIA VIZURI, TATIZO KIBA ALIIGA VITU KABLA HAJAANDAA MAZINGIRA YA KUVIMUDU
Rich mavoko na Harmo vp WCB hawakujiandaa..ni hulka ya binadamu kutaka zaidi
 
WAKATI MAVOKO NA HARMO WANAONDOKA WCB WALIKUWA HADHI SAWA KIMUZIKI NA HAO KINA KILLY NA CHEEDY? 🤔
NI HULKA YA BINADAM KUPATA ZAIDI ILA KWA HAWA HATA KIASI CHA KATI WALIKUWA HAJAWAFIKIA, IO ZAIDI WANAITA VIPI? 🤔
NAAMANISHA MAVOKO NA HARMO WALIOTOKA WCB WALIKUWA KIDOGO WAMEPIGA HATUA TOFAUTI NA HAWA AMBAO NDO KWANZA WALIANZA SAFARI YAO KIUFANISI ZAIDI
Rich mavoko na Harmo vp WCB hawakujiandaa..ni hulka ya binadamu kutaka zaidi
 
Mi naona hata hii stunt Kiba kaiga kutoka kwa Diamond. Soon tu, utasikia na yeye kamsaini msichana kisha wanatoa EP, we subiri tu.
 
Rich mavoko na Harmo vp WCB hawakujiandaa..ni hulka ya binadamu kutaka zaidi
Hao wamepewa umaarufu na wakajipima wakaona wanaweza sasa kujitegeme lakini huyo cheedy na killy wapo mwaka 1 king's music lakini hawaoni matunda na still wanaonekana underground wakati rayvanny, lavalava, Harmonize wametoboa wasafi kwa ngoma 1 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…