Killy na Cheed wajitoa King's Music

Killy na Cheed wajitoa King's Music

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Waliyokuwa wasanii wa kingsmusicrecords, cheed na lkilly wametangaza leo asubuhi kujitoa kwenye lebo hiyo kupitia ujumbe wa pamoja walioweka kwenye kurasa zao Instagram.

Wawili hao wamemshukuru alalikiba pamoja na Uongozi mzima wa KingsMusic kwa nguvu na sapoti waliyoiwekeza kwao tangu walipoingia kwenye lebo hiyo ya muziki.

Killy na Cheed ni miongoni mwa wasanii wa awali waliotambulishwa katika lebo hiyo mwanzoni mwa Oktoba 2018.
 
Mbona wamegelezeana maandishi,kwamba kuna mmoja ni mvivu kiasi cha kunakili ya mwenzio. Au ndio wanaitaga kiki?
 
Back
Top Bottom