chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,371
- 1,856
Ajali kazini! Poleni wapambanaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona Kinje bado anauza tu na serikali inamuangalia?Kinje Umri ushamtupa ila Riz1 bado umri unaruhusu.
Kinje ND nan code kama codeKinje Umri ushamtupa ila Riz1 bado umri unaruhusu.
Yupo hapo?Fundi wangu mshikaji wangu nilikuwa nikimpelekea spea za magari pale gereji kwake duu kweli Maisha ni sili nzito usione watu wanamaisha mazuri sana ukatamani
Haupo serious na bei zako.....nafikiri kwenye million 70
Ni zaidi au pungufu ya hapo?Haupo serious na bei zako.....
Hiyo anapewa mbebajiNi zaidi au pungufu ya hapo?
Mzigo unauzwa kwenye soko kwa Dollar.Ni zaidi au pungufu ya hapo?
Mbebaji apewe 70M?,wabebaji wakuna kula 5M to 8MNi zaidi au pungufu ya hapo?