ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Kweli hii vita hatari sana Jana nimeenda kununua dagaa Bukoba kilo moja ni Tsh 11,000 na nikaenda buchani kununua nyama ni 8000 nikastajaabu jinsi dagaa zilivyokuwa ni chakula cha mtu wa chini kwa kipato now azishikiki yaaani sasa nyama ni chakula cha mtu wa chini dagaa matawi ya juu mambo yanaenda yakibadilika hatari sana