Aise, Dagaa wamefika Laki ? Dagaa wapi hao? Au wakigoma?Kweli hii vita hatari sana Jana nimeenda kununua dagaa bukoba kilo moja ni Tsh 110000 na nikaenda buchani kununua nyama ni 8000 nikastajaabu jinsi dagaa zilivyokuwa ni chakula cha mtu wa chini kwa kipato now azishikiki yaaani sasa nyama ni chakula cha mtu wa chini dagaa matawi ya juu mambo yanaenda yakibadilika hatari sana
hajui hata ameandika niniAise, Dagaa wamefika Laki ? Dagaa wapi hao? Au wakigoma?
dagaa kilo mtu anakula hata wiki, ila nyama ni siku moja tu. Acha ziwe tu na bei kubwaDagaa sio chakula cha kimaskini bana mbna kinabei sana hivo? Kuliko hata sato.
Kigoma nilishawahi kuona kilo 45,000 nikashindwa kuelewa sababu.wewe ndio unajua leo unatokea mzee? Mwaka 2013 bei ya dagaa Kigoma kilo ilikuwa ni 15,000 na enzi hizo nyama kilo 3000 wewe unashangaa leo
kilo moja ya nyama unaweza kula siku moja tu..ila kilo ya dagaa mnalumangia hata wikiMara mwisho nilinunua mwezi mmoja kama umepita bei ilikuwa 7000 dagaa bukoba
Hao itakua Ni special order ya ikulu ya Congo.Kigoma nilishawahi kuona kilo 45,000 nikashindwa kuelewa sababu.
Nahisi labdaDagaa sio chakula cha kimaskini bana mbna kinabei sana hivo? Kuliko hata sato.
Kwa maisha ya mjini nyumba zilizokuwa wanakula dagaa tulikuwa tunaona nyumba za kimasikini pale kko wakati tunaishiDagaa sio chakula cha kimaskini bana mbna kinabei sana hivo? Kuliko hata sato.
ππ Kwanini?Hao itakua Ni special order ya ikulu ya Congo.
Bei hio mkuu,na hapo Vita ya Ukraine ilikua bado.ππ Kwanini?
Acha uongo wewe fungu la dagaa kipindi hicho lilikuwa 300 mpk 500 inakuwaje dagaa wafike 15k.wewe ndio unajua leo unatokea mzee? Mwaka 2013 bei ya dagaa Kigoma kilo ilikuwa ni 15,000 na enzi hizo nyama kilo 3000 wewe unashangaa leo