wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Aug 9, 2022 #41 ommytk said: Sijasema laki ni elfu kumi namoja wakuu Click to expand... Nadhani sasa utajua umuhimu wa kwanini tukifundishwa matumizi ya , kwny hesabu primary.
ommytk said: Sijasema laki ni elfu kumi namoja wakuu Click to expand... Nadhani sasa utajua umuhimu wa kwanini tukifundishwa matumizi ya , kwny hesabu primary.
J Janja weed JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 3,000 Reaction score 5,606 Aug 9, 2022 #42 Mambo ya kauzu aka dagaa ni ya kimasikini tu otherwise tuongelee masuala mengine wadau ama vipi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 9, 2022 #43 Poleni sana na inasikitisha sana...
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Aug 9, 2022 #44 Dagaa ni miongoni mwa inferior goods.
Ben Zen Tarot JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,298 Reaction score 7,612 Aug 10, 2022 #45 KeyserSoze said: Tuangalie Ujazo kwanza..., Kilo Moja ya Dagaa na kilo moja ya nyama... Click to expand... Na kilo moja ya mawe na kilo moja ya katatasi tuangalie ujazo
KeyserSoze said: Tuangalie Ujazo kwanza..., Kilo Moja ya Dagaa na kilo moja ya nyama... Click to expand... Na kilo moja ya mawe na kilo moja ya katatasi tuangalie ujazo