Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Samia hana serikali, acheni ujinga, hii ni serikali ya Tanzania.Serikali yake imetoa,ingeweza kuzipeleka Kyela mnakosombwa na Mafuriko Kila msimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia hana serikali, acheni ujinga, hii ni serikali ya Tanzania.Serikali yake imetoa,ingeweza kuzipeleka Kyela mnakosombwa na Mafuriko Kila msimu.
Huyu punguani si lolote si chochote.Samia hana serikali, acheni ujinga, hii ni serikali ya Tanzania.
Akili ya kutambua uchawa.Sawa
Sawa ila Wananchi Wana thamini,wewe Sasa ambae sio mburukenge una lipi la ku offer kwenye jamii?
Serikali ya Tanzania inaongozwa na nani?Samia hana serikali, acheni ujinga, hii ni serikali ya Tanzania.
Kupigania tumbo lako Kwa kutimiza Hadi ulizotoa kuna ubaya?Anapigania tumbo lake, yani hapo anatengeneza mazingira ya 2025. Tumbo linatumaliza wengi....
Kodi za wananchi ndio zimejenga.Wewe ndio mnafiki,Mbunge Yuko cencerely
Wanajua ila kwako inaweza isiwe kipaombele ukasugua benchi so wakipata lazima washukuru.Wengi wa wateuliwa hawajui ‘KODI’ ni pesa zao wenyewe..
Ilipashwa somo la Kodi lipewe kipaumbele
Huruma yaani na mkulu hasemi neno kuwa msinishukuru mimi hizi ni kodi zenu.. Shida ipo hapa
Wananchi wengi hawajui kazi ya kodi ni nini kwa sababu hawajui kodi ni nini.
Kwa hiyo ulitaka afanyaje? Asishukuru au?Kodi za wananchi ndio zimejenga.
Myopic thinking, hilo ndio tatizo la wananchi wengi wana mawazo kama yako (tunahitaji kuondoa hizi fikra za kitumwa) hawa sio wafalme ni watumishi wetu na wanahitaji kutumia Kodi zetu kwa ajili ya huduma zetu na sio kujiamulia wanachofanya...Wangeweza kulipa na Serikali ikapeleka kwingine.
Mfano wewe umchague Mwabukusi harafu Jimboni kwako Kuna Changamoto ya Daraja utaambiwa Serikali inaendelea kutafuta hela,Je utafanyaje?
Kila sehemu Watu wa Chini Huwa wanashukuru.Hujawahi Sikia Wabunge wakisema wanaishukuru Serikali ya Biden?Myopic thinking, hilo ndio tatizo la wananchi wengi wana mawazo kama yako (tunahitaji kuondoa hizi fikra za kitumwa) hawa sio wafalme ni watumishi wetu na wanahitaji kutumia Kodi zetu kwa ajili ya huduma zetu na sio kujiamulia wanachofanya...
Na since generation X na Gen Z za huku zimeoza kwa mawazo kama yako huenda tutegemee generation Alpha kutokana na watakavyokuwa wamepigika na hawana prospects ndio hapo watagundua kwamba wanachopewa ni raw deal na sio hisani kama watu kama wewe mnavyodhani
Ashukuru wananchi walipa kodi.Kwa hiyo ulitaka afanyaje? Asishukuru au?
Kwahio Upuuzi wa Wamerakani na sisi tufanye ?; Kumbuka pia wanasiasa wapo kwenye kampeni ya kuendelea kula mwaka mzima kwahio democrat akimsifia Biden ni kwamba administration iendelee kuwepo...Kila sehemu Watu wa Chini Huwa wanashukuru.Hujawahi Sikia Wabunge wakisema wanaishukuru Serikali ya Biden?
Marekani Kuna Havana alijipagia umaarufu Kwa kushughulikia daraja liliokatika Kwa haraka ,hapo unasemaje?
Acheni wivu wa kipumbavu
Mara ngapi amepiga magoti kumuomba Mungu wake?Kushukuru ni kuomba tena , hongera bwana Mbunge Kwa uungwana .
Kuchukua Kwangu
Mama amewafuta machozi
=====
View attachment 3061426
Mbunge wa Kilombero Abubakari Asenga, amepiga magoti kumshukuru Rasi Dkt. Samia Suluhu Hassan kukamilisha jambo kubwa la barabara ya lami ya Kidatu hadi Ifakara.
Kama unakumbuka mwaka 2022 Mbunge huyo alipiga magoti katika barabara hiyo ikiwa ya matope na kumwomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kumpata barabara ili wananchi wake waweze kuepukana na hadha waliyokuwa wakiipata wakati wa kipindi cha masika.