Pre GE2025 Kilombero: Mbunge apiga Magoti Kumshukuru Rais Samia kwa Barabara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kushukuru ni kuomba tena , hongera bwana Mbunge Kwa uungwana .

My Take
Mama amewafuta machozi

=====
View attachment 3061426
Mbunge wa Kilombero Abubakari Asenga, amepiga magoti kumshukuru Rasi Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha jambo kubwa la barabara ya lami ya Kidatu hadi Ifakara.

Kama unakumbuka mwaka 2022 Mbunge huyo alipiga magoti katika barabara hiyo hiyo ikiwa ya matope na kumwomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kumsaidia kupata barabara ili wananchi wake waweze kuepukana na hadha waliyokuwa wakiipata wakati wa kipindi cha masika
Mitano Tena...
 
Wajinga ndo wamepewa dhamana ya kutuongoza .
Tumegeuka taifa la wajinga
 
Rais ni taasis kubwa sana nchi yeyote ile inabidi heshima iwepo sio unakaa kimazoea

Gesture yake sio mbaya as long as he is showing his gratitude to the most high profile person ain’t BAD
 
Kushukuru ni kuomba tena , hongera bwana Mbunge Kwa uungwana .

My Take
Mama amewafuta machozi

=====
View attachment 3061426
Mbunge wa Kilombero Abubakari Asenga, amepiga magoti kumshukuru Rasi Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha jambo kubwa la barabara ya lami ya Kidatu hadi Ifakara.

Kama unakumbuka mwaka 2022 Mbunge huyo alipiga magoti katika barabara hiyo hiyo ikiwa ya matope na kumwomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kumsaidia kupata barabara ili wananchi wake waweze kuepukana na hadha waliyokuwa wakiipata wakati wa kipindi cha masika
Yeye apige magoti hadi apate malengelenge..
Kwa rais kujenga barabara kupitia kodi zetu wananchi..
Kama alivyomshukuru rais na sisi ifikapo 2025 tutamuuliza ni kili amefanya ili tupate wasaa wa kumshukuru nae.
 
Kuna mwingine anajiandaa kutembea kwa magoti mpaka jumba jeupe amshukuru Mama kumtumbua vilevile.
Kazi inaendelea
 
Hilo zuzu lililopiga magoti na kumshukuru Samia ni miongoni mwa wajinga wengi waliopo Tanzania wanaoamini barabara zinajengwa kwa pesa za mfukoni kutoka rais na sio kodi za wananchi.
 
Yeye apige magoti hadi apate malengelenge..
Kwa rais kujenga barabara kupitia kodi zetu wananchi..
Kama alivyomshukuru rais na sisi ifikapo 2025 tutamuuliza ni kili amefanya ili tupate wasaa wa kumshukuru nae.
Barabara
 
Nyie muoneni mjinga. Hiyo ndio kula yake na kucheza na akili ya Mtanzania ni kujitoa ufahamu tu
 
Aibu ya nini?
🤮🤮wewe ni tatizo kwenye jamii, wewe ni tatizo kwenye taifa la kesho, wewe ni mtu mwepesi mwenye kwenda na mambo mepesi mepesi ..
ni janga kwamba wewe ni kijana tena msomi na unashangilia mambo ya aibu Ni aibu kwamba mpaka sasa hujui nini hasa majukumu ya serikali ni aibu hujui wajibu wa Raiya..
Nikushauri jambo moja usije ukazaa mana kama ukiwa mzazi na tabia hizi za kujipendekeza uzao wako sijui watakuwa na tabia gani kama si mambo ya upinde
 
Kushukuru ni kuomba tena , hongera bwana Mbunge Kwa uungwana .

My Take
Mama amewafuta machozi

=====
View attachment 3061426
Mbunge wa Kilombero Abubakari Asenga, amepiga magoti kumshukuru Rasi Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha jambo kubwa la barabara ya lami ya Kidatu hadi Ifakara.

Kama unakumbuka mwaka 2022 Mbunge huyo alipiga magoti katika barabara hiyo hiyo ikiwa ya matope na kumwomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kumsaidia kupata barabara ili wananchi wake waweze kuepukana na hadha waliyokuwa wakiipata wakati wa kipindi cha masika
Sioni shida mimi..

Kupiga magoti ni moja ya tendo la unyenyekevu juu ya mamlaka iliyo juu katika wakati, sababu na mazingira sahihi..

Shida ya huyu mbunge, bila shaka ni ujinga uliomo kichwani mwake.

Yaani kukosa ufahamu na uelewa wa kutambua kuwa utoaji huduma za kijamii kwa wananchi wote kama vile kujenga hiyo barabara ni jukumu na wajibu wa lazima wa serikali yoyote..

Kwanza walinyimwa hiyo huduma kwa muda mrefu sana kwa sababu za kijinga na kizembe za serikali zote..

Walipaswa wapigwe makofi kwanza badala ya kuwapa shukrani za kinafiki kwa jinsi na namna ile..

Wanapaswa kuambiwa kuwa Hawajafanya vya kutosha...

Haiwezekani kuwa ktk miaka 64 ya uhuru jimbo zima la Kilombero wamejenga barabara za 70km pekee..!!

Kuwapigia magoti ni kuwatia moyo na kuwafanya waendelee kuwa wazembe na wezi wa mali ya umma..

CCM wanapaswa kuambiwa kuwa wako nyuma sana ya wakati..!!

Waliyopaswa kufanya miaka 40 ilyopita wanafanya leo..?
 
uzuri amempigia magoti boss wake JINSIA YA KE 😎
 
Kushukuru ni kuomba tena , hongera bwana Mbunge Kwa uungwana .

My Take
Mama amewafuta machozi

=====
View attachment 3061426
Mbunge wa Kilombero Abubakari Asenga, amepiga magoti kumshukuru Rasi Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha jambo kubwa la barabara ya lami ya Kidatu hadi Ifakara.

Kama unakumbuka mwaka 2022 Mbunge huyo alipiga magoti katika barabara hiyo hiyo ikiwa ya matope na kumwomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kumsaidia kupata barabara ili wananchi wake waweze kuepukana na hadha waliyokuwa wakiipata wakati wa kipindi cha masika
Bado naamini watanzania wengi wa aina yenu bado hamjafikia level ya kuitwa binadamu aliekamilika 100%. Eti Dkt Samia kamsaidia kupata barabara
 
Eti mume wa mtu...
Eti baba wa watoto....
Hii nchi inamambo mengi ya hovyo grade one...☹️
 
Back
Top Bottom