Pre GE2025 Kilombero: Mbunge apiga Magoti Kumshukuru Rais Samia kwa Barabara

Pre GE2025 Kilombero: Mbunge apiga Magoti Kumshukuru Rais Samia kwa Barabara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kushukuru ni kuomba tena , hongera bwana Mbunge Kwa uungwana .

My Take
Mama amewafuta machozi

=====
View attachment 3061426
Mbunge wa Kilombero Abubakari Asenga, amepiga magoti kumshukuru Rasi Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha jambo kubwa la barabara ya lami ya Kidatu hadi Ifakara.

Kama unakumbuka mwaka 2022 Mbunge huyo alipiga magoti katika barabara hiyo hiyo ikiwa ya matope na kumwomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kumsaidia kupata barabara ili wananchi wake waweze kuepukana na hadha waliyokuwa wakiipata wakati wa kipindi cha masika
超级截屏_20240804_202603.png
 
Back
Top Bottom