Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,656
- 2,483
Mitano Tena...Kushukuru ni kuomba tena , hongera bwana Mbunge Kwa uungwana .
My Take
Mama amewafuta machozi
=====
View attachment 3061426
Mbunge wa Kilombero Abubakari Asenga, amepiga magoti kumshukuru Rasi Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha jambo kubwa la barabara ya lami ya Kidatu hadi Ifakara.
Kama unakumbuka mwaka 2022 Mbunge huyo alipiga magoti katika barabara hiyo hiyo ikiwa ya matope na kumwomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kumsaidia kupata barabara ili wananchi wake waweze kuepukana na hadha waliyokuwa wakiipata wakati wa kipindi cha masika
Yeye apige magoti hadi apate malengelenge..Kushukuru ni kuomba tena , hongera bwana Mbunge Kwa uungwana .
My Take
Mama amewafuta machozi
=====
View attachment 3061426
Mbunge wa Kilombero Abubakari Asenga, amepiga magoti kumshukuru Rasi Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha jambo kubwa la barabara ya lami ya Kidatu hadi Ifakara.
Kama unakumbuka mwaka 2022 Mbunge huyo alipiga magoti katika barabara hiyo hiyo ikiwa ya matope na kumwomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kumsaidia kupata barabara ili wananchi wake waweze kuepukana na hadha waliyokuwa wakiipata wakati wa kipindi cha masika
Pole yenuKwetu mwanaume kupiga makoti ni mkosi mkubwa....
BarabaraYeye apige magoti hadi apate malengelenge..
Kwa rais kujenga barabara kupitia kodi zetu wananchi..
Kama alivyomshukuru rais na sisi ifikapo 2025 tutamuuliza ni kili amefanya ili tupate wasaa wa kumshukuru nae.
Labda weweWajinga ndo wamepewa dhamana ya kutuongoza .
Tumegeuka taifa la wajinga
Unaandika kwa aibu tena kwa kujikaza kutetea ujinga kuna hitaji kujitoa akili...Labda wewe
Aibu ya nini?Unaandika kwa aibu tena kwa kujikaza kutetea ujinga kuna hitaji kujitoa akili...
Kuwa mwanaccm sio rahisi lazima ujue kuigiza ukichaa 🤢🤮🤮
🤮🤮wewe ni tatizo kwenye jamii, wewe ni tatizo kwenye taifa la kesho, wewe ni mtu mwepesi mwenye kwenda na mambo mepesi mepesi ..Aibu ya nini?
Sioni shida mimi..Kushukuru ni kuomba tena , hongera bwana Mbunge Kwa uungwana .
My Take
Mama amewafuta machozi
=====
View attachment 3061426
Mbunge wa Kilombero Abubakari Asenga, amepiga magoti kumshukuru Rasi Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha jambo kubwa la barabara ya lami ya Kidatu hadi Ifakara.
Kama unakumbuka mwaka 2022 Mbunge huyo alipiga magoti katika barabara hiyo hiyo ikiwa ya matope na kumwomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kumsaidia kupata barabara ili wananchi wake waweze kuepukana na hadha waliyokuwa wakiipata wakati wa kipindi cha masika
Bado naamini watanzania wengi wa aina yenu bado hamjafikia level ya kuitwa binadamu aliekamilika 100%. Eti Dkt Samia kamsaidia kupata barabaraKushukuru ni kuomba tena , hongera bwana Mbunge Kwa uungwana .
My Take
Mama amewafuta machozi
=====
View attachment 3061426
Mbunge wa Kilombero Abubakari Asenga, amepiga magoti kumshukuru Rasi Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha jambo kubwa la barabara ya lami ya Kidatu hadi Ifakara.
Kama unakumbuka mwaka 2022 Mbunge huyo alipiga magoti katika barabara hiyo hiyo ikiwa ya matope na kumwomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kumsaidia kupata barabara ili wananchi wake waweze kuepukana na hadha waliyokuwa wakiipata wakati wa kipindi cha masika
Huna hojaBado naamini watanzania wengi wa aina yenu bado hamjafikia level ya kuitwa binadamu aliekamilika 100%. Eti Dkt Samia kamsaidia kupata barabara