Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Uko sahihi.Vitu vingine ni common sense. Gari ina miaka tisa halafu unaambiwa ina mileage 60k. Maanake inatembea average of 6k kwa mwaka na service itakuwa imefanya say mara 7 tangu mpya. This is utterly impossible.
Na kwa gari za diesel na haswa hizi Mazda na magari mengine ya diesel uko Japan wanaoyanunua ni kwa ajili ya kutembeleea masafa marefu.
Ingekuwa ni gari za petrol hapo sawa.