Andrea Chacha
Member
- Oct 24, 2019
- 30
- 17
Nashukuru kwa ushauri mkuuNa uwaambie kabisa wasilisajili mpaka umalize ukaguzi.
Ukiridhika ndo uwaambie wasajili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kwa ushauri mkuuNa uwaambie kabisa wasilisajili mpaka umalize ukaguzi.
Ukiridhika ndo uwaambie wasajili.
Kama websites ipiInawezekana kaka
Ila uhakika UKIAGIZA mwenyewe Japan.
Mimi niliagiza ALLION ya 2003 ina 23,971 km (ONE OWNER)View attachment 2133117
.
Labda kama Japan wana hiyo michezo.
Ila nilivyo ichukua bandarini kila mtu alikuwa anashangaaa (Walidhani nimeitoa TOYOTA TANZANIA [emoji16]) ndani ilivyo haikuwa na doa hata kidigo.
Tena ilikuwa ya mdada maana nilikuta mambo ya kike kike ya Make-up kwenye Glove box.
Ukitaka kuagiza agiza mwenyewe yaani usiwe na papara kuna website wanauza gari tamu sana.
Sisi tumewazoea Befoward ila ukitulia kuna Website za japan unapata kitu kizuri sana.
Akikujibu nitagKama websites ipi
Michezo inafanyika pale Kwa madalali round about ya Mlimani CityKama websites ipi
Nimetoka kuona gar moja post mbil tofaut kil mtu ana km zake.sasa sijui which is whichMichezo inafanyika pale Kwa madalali round about ya Mlimani City
Yard nyingi kibongo bongo zinachezesha odometers. Halafu ni kama fashion gari nyingi wanazouza zinacheza 50000km mpaka 90000km!!!Odometers zinachezewa
Ameingia kichwa kichwa kwenye Showroom ya wahuni. Alishindwa kujiridhisha kwa kuangalia hali ya siti ya dereva, bodi ya gari na injini.Aisee kuna jamaa yangu majuzi kanunua Harrier show room Odometer inasoma 75k km.
Nikamwonesha huu uzi akabisha, tukaserch chasis no inspected milage ikaja 198,203 km jamaa akachanganyikiwa [emoji23]
Hii gari ni Mazda CX3 ipo Instagram inauzwa kwa wauza magari, ametangaza gari imetembea km 38,000Aisee kuna jamaa yangu majuzi kanunua Harrier show room Odometer inasoma 75k km.
Nikamwonesha huu uzi akabisha, tukaserch chasis no inspected milage ikaja 198,203 km jamaa akachanganyikiwa [emoji23]
Hapo hana la kufanya zaidi ya kutukana matusi yoye na kujilaaniAisee kuna jamaa yangu majuzi kanunua Harrier show room Odometer inasoma 75k km.
Nikamwonesha huu uzi akabisha, tukaserch chasis no inspected milage ikaja 198,203 km jamaa akachanganyikiwa [emoji23]
Kuna jamaa wana show room wanauza gari zao nyingi ni Km 40,000's tu. Hawana gari yenye 80k.....sina hakika kama wa abongo wengi hatujui kuhakiki mileage au ndo jamaa wanaendelea tu kupiga wasiojua. Shida ni kwamba usipojua hutafanya service zinazoendana na mileage sahihi ya gari.Hii gari ni Mazda CX3 ipo Instagram inauzwa kwa wauza magari, ametangaza gari imetembea km 38,000
View attachment 3115185
ila kwa ukaguzi uliofanyika Japan kabla ya kuletwa Tanzania gari ilikuwa na km 188,121.
View attachment 3115186
Angalia km zilivyochakachuliwa alafu utauziwa gari kwa bei ya juu sana kwasababu imetembea km chache kumbe ni ushenzi
Nyingine hii hapa inauzwa ikiwa na km 80,600 wakati km halisi kabla ya kuja Tanzania ilikuwa 209,716.Kuna jamaa wana show room wanauza gari zao nyingi ni Km 40,000's tu. Hawana gari yenye 80k.....sina hakika kama wa abongo wengi hatujui kuhakiki mileage au ndo jamaa wanaendelea tu kupiga wasiojua. Shida ni kwamba usipojua hutafanya service zinazoendana na mileage sahihi ya gari.
I wish watu wengi zaidi wajue hili ili show rooms wawe wakweli kama Jan international. Gari ina 180k wanaiandika hiyo na ukinunua unajua unanunua nini.
Ukipata kujua mileage zinavyochezewa bongo, unaweza usinujue gari showroom