Uko sahihi.Vitu vingine ni common sense. Gari ina miaka tisa halafu unaambiwa ina mileage 60k. Maanake inatembea average of 6k kwa mwaka na service itakuwa imefanya say mara 7 tangu mpya. This is utterly impossible.
Zipo gari za hivi lakini huwa ni chache sana na bei zake huwa si rahisi. Muhimu ni kukagua gariVitu vingine ni common sense. Gari ina miaka tisa halafu unaambiwa ina mileage 60k. Maanake inatembea average of 6k kwa mwaka na service itakuwa imefanya say mara 7 tangu mpya. This is utterly impossible.
Safi sana. Wabongo bado wapoNiliiona TOYOTA ALPHARD HYBRID, usajili DTV, Eti imetembea kilometa 42000, nikatabasamu moyoni tu, arif eti inauzwa milioni 14(maongezi yapo) [emoji23]
Data ziko sahihi ikiwemo pamoja na kmMitsubishi outlander
Fuel: Petrol
Capacity: 2350 cc
Drive: 2WD/4WD/LD options
Colour: Silver
Year:2006
Mileage: 158791 km
Hauhitaji services na ninakupa receipt za service iliyofanyika january mwishoni.
Price 19 million (negotiable)
0714273122/0622563792
Location : Dar es salaam