Kilometa za Magari yanayouzwa bongo zina uhalali?

Mdau wa Subaru forester
 
Duuhh asee bladifaken
 
Hii njia nzuri sana nimeipenda [emoji28]
 
Wameipiga rim kali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na maji safi inawaka mzee kumbe ngoma ina laki na khamsa za uzururaji 🀣
 
Kumbe watu wanalizwa kimasihara hivyo
We acha tu. Baadhi ya wabongo si watu wazuri.

Kwenye mwaka 2000 niliagiza gari kwa jamaa anayefanya biashara ya magari anayatoa Dubai, gari lilikuwa safi na ilikuja ikiwa na km kwenye 45,000. Gari ilipofikisha km 100,000 ile namba 1 ilikuwa imechubuliwa vibaya yaani watakuwa waliirudisha kwenye 0 ili waweze kupata hiyo 45,000 kutokana na ilo akili yangu ikaniambia hii gari ilikuwa kwenye km 145,000 wakafanya wanayojua wakairudisha 1 kuwa 0.
 
Sina gari ila napata shule apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…