JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Pale pembeni ya Kwa Kakobe Wana mashine hata ukitaka 0 km unapata
Aiseeee hatari sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale pembeni ya Kwa Kakobe Wana mashine hata ukitaka 0 km unapata
Andaa 50 USD upate 0 kmAiseeee hatari sana.
Andaa 50 USD upate 0 km
Huna hela we kaa pembeni. Wachaga wametumwa pesa na krismas ndo inakaribia, unategemea nn. Njoo Round about ya Mlimani.Hiyo kazi sitawahi fanya....
Ni kweli sina hela na wala sina sina sina hilo gari la kushusha km.Huna hela we kaa pembeni
Point. Jangwani kule mnaletewa mikangafu ya Unguja.yakifika bara yanabadilishwa Namba tu. Na car wash kwa sanaKwa Bongo yard ya kuaminika labda ni Jan International..
Hao wengine baadhi ni changamoto.
Huna akili timamuToa hela
At least hao wana aibu ,wabongo wamepitilizaNdugu yangu ata Japan wenyewe kuna baadhi ya makampuni yana tabia ya kubadilisha - yaani kupungua kiasi cha KMs ambazo gari imeshatembea. Iliwahi kunipata nilibaki kuwawakia kwenye simu. Bongo nadhani inaweza kuwa zaidi .
Hao watakua madalali wa Round about ya Mlimani city/kanisa la kwa Kakobe jamaa wasanii Sana wale
Wakuu kwema kuna gari japani inasoma km 110,000 ni mileage reasonable kwa bongo naomba ushauri
Nishauzaga RAV4 pale Ina 234,000 Kms siku jamaa akaikuta Ina 34,000kms tu zile 200,000 Kms hazipo na Gari imepigwa rangi upya, plate number imewekwa mpya (number Ile ile). Jichanganye sasaMadalali wengi wa mlimani city ni wachaga yaan wale jamaa na wauza simu za makumbusho ni janga kabisa
Kuagiza Gari mpaka ufike ofisin upo zama zipi ndugu? Au we ndo wale vijana wenye muda wa kuzunguka maofisin mwa watu?Ukiwa unanunua gari Japan 110,000 mileage inaweza ikawa na issues au isiwe na issues kabisa...
1. Waagizaji wakubwa wanasema gari ikifikia umbali huo ni lazima ifanyiwe mabadiliko ya vitu vyote muhimu, hivyo ndio maana hata katika mitandao yao gari nyingi huwa listed na kilometer nyingi kidogo...
2. Epuka gari zenye mileage kati ya 60,000 had 90,000 hapo, sababu mileage hizo hazipo katika vile vigezo vinavyolazimisha gari ifanyiwe service kubwa ya lazima, yaani nchi za wenzetu huko wana sheria ya mandatory service kuepukana na yale mambo ya uchafuzi wa mazingira, gari kupass vipimo vya traffic za huko (wanaojua zaidi wanaweza sahihisha binafsi sijafanya utafiti baada ya kuambiwa)...
3. Kabla hujaagiza gari na unawatumia hao watu sijui kina beforward, enhanced na wengineo, hakikisha unafika ofisini kwao ili wakuoneshe Grade ya gari na kama ina defects zozote.
Kwa uzoefu wangu watu wengi hununua magari grade 3.5 kushuka chini na yenye defects ambazo hawakuelezwa kwa sababu hawakutaka kujua...
4. Ukinunua gari yoyote hata yenye mileage 20,000km, kama huzingatii service na matunzo basi jua uhai wa gari yako utakuwa matatani...
Kuagiza Gari mpaka ufike ofisin upo zama zipi ndugu? Au we ndo wale vijana wenye muda wa kuzunguka maofisin mwa watu?
Tunapigwa tena sana na hivi Watz ni wavivu kutafuta vitu.Hilo usiulize tunapigwa Sana, ukianglia Gari nyingi zinachezea km 40k,60,70, nyingi hawa haizidi hapo
Daaah aisee mkubwa hongera sana na wewe umegundua wanalouza wahuni wa bongo na kulitafuta gari kwenye site ya befoward kuona real history yake.Tunapigwa tena sana na hivi Watz ni wavivu kutafuta vitu.
View attachment 2062873Kama hii Beforward inasoma 178,321 km lakini kuna page Insta niumeona inasoma 71,506 gari ni ile ile mileage tofauti. View attachment 2062881
HUU NI UTAPELI WA WAZI KABISA. Wakati huko mbele ukikuta gari nina low milage bei yake haikamatiki kabisa.
Kweli kabisa mkuu bei zinakuwa zimesimama ni mara 2 au 3 ya hizi tunazonunua hapa kwetu. Nimeona moja ina 159,000km bongo imewekwa 59,000km gari hiyo hiyo.Daaah aisee mkubwa hongera sana na wewe umegundua wanalouza wahuni wa bongo na kulitafuta gari kwenye site ya befoward kuona real history yake.
kwa kifupi jamani tukubaliane, Low mileage ya japan au ulaya bei ni mkasi sana haikamatiki. Ila low mileage za hapa bongo jiandae maumivu yasio isha
Wabongo wanafuta ile namba moja inayowakilisha malaki wanaacha ile ya maelfu 10 yani kama hioKweli kabisa mkuu bei zinakuwa zimesimama ni mara 2 au 3 ya hizi tunazonunua hapa kwetu. Nimeona moja ina 159,000km bongo imewekwa 59,000km gari hiyo hiyo.
Ni kuwa makini tu na kufuatilia taarifa za gari kwa ukaribu hasa likiwa na mileage ndogo.