Star wa mchezo katika awamu ya nne anaendelea kula mijeledi, naona baada ya kumtoa kwenye baraza kihekima hawamtaki tena bungeni 2025. Nikikumbuka nafasi yake ya ushawishi na maamuzi awamu iliyopita na sasahivi anavyojitutumua kujieleza nachoka kabisa kuhusu siasa.
Mimi ningekuwa yeye, ningekufa na tai shingoni kuliko kugeuka kinyonga na kupoteza vyote, nafasi na heshma.
Mimi ningekuwa yeye, ningekufa na tai shingoni kuliko kugeuka kinyonga na kupoteza vyote, nafasi na heshma.