kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karne hii bado unapanda Mkokoteni?Angalau kapambana mpaka lami imefika Kilosa mjini... Zile km za vumbi wengi wameshadondoka na gari. Nakumbuka mida ya saa saba usiku niko kama spidi mia hivi tunaitafuta Kilosa mjini, mara nakutana na michanga kibao... Tuliyumba nusu tule mzinga...
Kumbe Prof Ni mbunge bado?Star wa mchezo katika awamu ya nne anaendelea kula mijeledi, naona baada ya kumtoa kwenye baraza kihekima hawamtaki tena bungeni 2025. Nikikumbuka nafasi yake ya ushawishi na maamuzi awamu iliyopita na sasahivi anavyojitutumua kujieleza nachoka kabisa kuhusu siasa.
Mimi ningekuwa yeye, ningekufa na tai shingoni kuliko kugeuka kinyonga na kupoteza vyote, nafasi na heshma.
View attachment 2386589
Wanataka wamrudishe kule wanakoishi Nzi?Star wa mchezo katika awamu ya nne anaendelea kula mijeledi, naona baada ya kumtoa kwenye baraza kihekima hawamtaki tena bungeni 2025. Nikikumbuka nafasi yake ya ushawishi na maamuzi awamu iliyopita na sasahivi anavyojitutumua kujieleza nachoka kabisa kuhusu siasa.
Mimi ningekuwa yeye, ningekufa na tai shingoni kuliko kugeuka kinyonga na kupoteza vyote, nafasi na heshma.
View attachment 2386589
Acha uongo, mimi ni mkazi wa kilosa, rudewa to kilosa barabara ni lami 21km mpak uhindini. Semeni mengine ila kilosa now inametametaKilosa - Rudewa njia mbovu sana!! Hao ndio wabunge waliochaguliwa mezani na mwendazake.
🤣🤣🤣Mi nimesoma kilosa since then 1994 huko barabara ipo vile vile
Aliwahi kuwa na wazur wa fedha pale 'nothing new'
Kabudi anaambulia tu lakini pale Kilosa na kule Kilombero Ifakara mpaka Mahenge ni wa kuhurumiwa tu
😅😅😅wabunge wa mezani na mwendazakeKilosa - Rudewa njia mbovu sana!! Hao ndio wabunge waliochaguliwa mezani na mwendazake.
Acha uongo, mimi ni mkazi wa kilosa, rudewa to kilosa barabara ni lami 21km mpak uhindini. Semeni mengine ila kilosa now inametameta
Acha kujifanya unaijua kilosa boya wewe, hapo ni eneo la karibu na babylon hotel pale wanauza bia za jumla, barabara yake ni lami ila ulipopiga wewe ni njia ya kwenda station ya reli ya kati ambapo pembeni kuna reli mpya ya sgr na barabara ya huduma kwa magari na mitambo ya waturuki wanaojenga reli kupita.
Ulisema barabara ya kilosa- rudewa haina lami, hii ni nini
Wanamtaka arufi dampo! Wanakilosa wameamka, huyu profesori aliwaambia amechaguliwa na MunguStar wa mchezo katika awamu ya nne anaendelea kula mijeledi, naona baada ya kumtoa kwenye baraza kihekima hawamtaki tena bungeni 2025. Nikikumbuka nafasi yake ya ushawishi na maamuzi awamu iliyopita na sasahivi anavyojitutumua kujieleza nachoka kabisa kuhusu siasa.
Mimi ningekuwa yeye, ningekufa na tai shingoni kuliko kugeuka kinyonga na kupoteza vyote, nafasi na heshma.
View attachment 2386589
Sio Kujifanya, naijua nje ndani ,nipo toka enzi hizo babylon anaanza biashara za fremu za maduka ,alsayeed hana hata gari moja,kama upo kilosa njoo hapa msalabani Ilonga MATI.Acha kujifanya unaijua kilosa boya wewe, hapo ni eneo la karibu na babylon hotel pale wanauza bia za jumla, barabara yake ni lami ila ulipopiga wewe ni njia ya kwenda station ya reli ya kati ambapo pembeni kuna reli mpya ya sgr na barabara ya huduma kwa magari na mitambo ya waturuki wanaojenga reli kupita.
Kama hujaja kilosa muda mrefu njoo mabadiliko yapo.
Kilosa Mikumi lini inaanzaUlisema barabara ya kilosa- rudewa haina lami, hii ni niniView attachment 2386932
Acha ujuaji mkuu ,Dumila-Kilosa-Mikumi ndiyo yenye lami ,Rudewa-Kilosa bado haijakamilika ,bado haijafika hata Ilonga...Ebu Njoo kwanza mkuu huko Ilona ujionee.Ulisema barabara ya kilosa- rudewa haina lami, hii ni niniView attachment 2386932
Bado haijatengewa bajeti, wanasema wanaitafutia fungu ili kabla ya 2024 ianze kujengwa.Kilosa Mikumi lini inaanza
Kabisa Mkullo akaishia kuwajengea kambi pale Kimamba wale waathirika wa mafuriko ,ile njia ni mbovu sana labda ya kupita dumila.Kabudi hana kosa. Shida ipo kwa Mkullo huyu aliiba pesa zote zile za misaada ya mafuriko ya Kimamba na Kilosa. Rudewa na Kimama ni pua na mdomo lakini wameshindwa kupitisha lami. Mji wa Kilosa una laana Kimamba wahindi wote wamekimbia.
Dumila-Kilosa-Mikumi sio kote kwenye lami, lami imekamilika Dumila to Kilosa 65 km ambapo mwanzo wakati wa Mkulo ilijengwa 44km kutoka Dumila to Rudewa then kikabaki kipande cha 21km kutoka Rudewa to Kilosa ambacho nacho kimekamilika mwaka huu chini ya wale wakandarasi wazawa Umoja, lakini kutoka Kilosa to Mikumi 78km bado haijajengwa na hata haijatengewa fungu zaidi ya kuwa kwenye mpango wa 2020/2025Acha ujuaji mkuu ,Dumila-Kilosa-Mikumi ndiyo yenye lami ,Rudewa-Kilosa bado haijakamilika ,bado haijafika hata Ilonga...Ebu Njoo kwanza mkuu huko Ilona ujionee.
View attachment 2386936
Huyu myango mwenzangu acha apumzike alitamani awe Mungu aamue kila anachotaka Mungu akaingilia katiMzilankende Mnyago Alituingiza Chaka Mno
Kabudi kwa sasa hana say habari yake kwishaKilombero na Mikumi ndio Inapitia Rudewa-Kibamba kwenda Kilosa? Kama vipi KALAMAGANDA KABUGI aongee na Alsayeed, Abood na Babylon wamsaidie kuirekebesha hiyo barabara.