Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Jiwe, Ngosha, Mzilankende Hatari KubwaHuyu myango mwenzangu acha apumzike alitamani awe Mungu aamue kila anachotaka Mungu akaingilia kati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe, Ngosha, Mzilankende Hatari KubwaHuyu myango mwenzangu acha apumzike alitamani awe Mungu aamue kila anachotaka Mungu akaingilia kati
Huyo ndio basi tena ,kwa kipindi hiki killichobaki ajikusanyie tu mafao maana 2025 hatoboi kwa WAJUMBE.Kabudi kwa sasa hana say habari yake kwisha
Wanaomsema zaidi ni wale wenye kutaka kuiharibu legacy yake na hao ni Ccm wenzake sio ChademaPointless as usually, mabarabara tunataona, uadilifu tuliuona, miundombinu and so on, haya tuoneshe hao waliouliwa na huyo jamaa, uwe na udhibitisho.
Nyinyi makada wa chadema mkiendelea kupigana vita na hayati mtazidi kupotea manake hakuna siku inapita hamumtaji hayati.. Hivi Agenda yenu sahivi ni Hayati? Mpaka 2025?
Asante kwa kumuelewesha huyu mzee wetu wa jfNilienda kilosa mwezi July barabara kutokea dumila hadi kilosa mjini ni lami. Wewe umetoka kilosa mwaka gani?
Halafu MATI Ilonga haipo msalabani. Bora hata ungesema TTC IPO msalabani kidogo tungekuelewa.
Ili mtu wa jalalani apiteBado haijatengewa bajeti, wanasema wanaitafutia fungu ili kabla ya 2024 ianze kujengwa.
Huyo mzee ana akili kuliko unavyodhani na masuala ya nchi ni zaidi ya unavyofikiria.Star wa mchezo katika awamu ya nne anaendelea kula mijeledi, naona baada ya kumtoa kwenye baraza kihekima hawamtaki tena bungeni 2025. Nikikumbuka nafasi yake ya ushawishi na maamuzi awamu iliyopita na sasahivi anavyojitutumua kujieleza nachoka kabisa kuhusu siasa.
Mimi ningekuwa yeye, ningekufa na tai shingoni kuliko kugeuka kinyonga na kupoteza vyote, nafasi na heshma.
View attachment 2386589
Agenda yenu bado ni mwendazake au mna kingine?Usikurupuke mkuu kama unaoga nje.
Nimesema ukizungumza ujenzi wa barabara ,uadilifu kwenye ofisi za umma ,kuondoka kwa unajua mimi ni nani vyote hivyo tutamtaja jiwe kwamba alivisimamia vizuri.....Na pia ukizungumza uvunjwaji wa katiba ,utekaji ,kuua wapinzani atatajwa pia.
Unataka kusema aujui watu waliopotezwa na kuumizwa vibaya kipindi cha mwendazake? Ulikuwa jela? Na siku hizi jela kuna TV/Radio nahisi umejizima tu data.
Hiyo ndio mikataba iliyokuwepo kabla ya Mwamba kuingia !!Huyo mzee ana akili kuliko unavyodhani na masuala ya nchi ni zaidi ya unavyofikiria.
Kuna wakati fulani zitto kabwe alipokuwa moto baada ya kutimuliwa bungeni na samuel sitta kuhusiana na sakata la buzwagi nilipata kufuatilia mijadala yake aliyokuwa anaeendesha nje ya bunge.
Nakumbuka alizungumzia namna barrick walivyokuwa wakiingia ile mikataba ya kuchimba vs kiwango cha mrabaha kwa siku, mwezi hadi mwaka. Kwamba kama waliingia miaka 20 basi baada ya miaka hiyo watakuwa wamemaliza kila kitu na kuacha mashimo.
Kwa mfano buzwagi imemalizwa na imerudishwa kwa stamico. Hakuna muwekezaji atachukua tena maana wamemaliza.
Unamaanisha Kabudi na uprofesa wake ni senior ndumilakuwili?.Mzee wa jalalani sijawahi kumkubali. Huyu ni kinyonga mwandamizi
Ndio tatizo la Nchi hii !! Watu wanataka utajiri tu kwa namna yeyote ile !! Ndio maana wasomi wengi wanaacha fani walizosomea wanakimbilia kwenye siasa au Sihasa !!!Unamaanisha Kabudi na uprofesa wake ni senior ndumilakuwili?.
Unyumbu ni hali inayojitokeza kwa mtu mwenye ufahamu kuahirisha kufikiri vizuri kwasababu ya uoga wa kuogapa viongozi wake wa juu kwa kufanya mambo ambayo yananufaisha kundi fulani ama , kuongea matamushi ambayo yameamliwa na kundi fulani 'Herding behaviour is an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of group objectives or fear of their leaders' HILI NITATIZO AMBALO LINAHIJAJIMJADALA WA KITAIFA TUMEFIKA HAPA TULIPO KWASABABU YA UNYUMBU KILAMTU ANATAMKA ANAVYO TAKA HADHARANIStar wa mchezo katika awamu ya nne anaendelea kula mijeledi, naona baada ya kumtoa kwenye baraza kihekima hawamtaki tena bungeni 2025. Nikikumbuka nafasi yake ya ushawishi na maamuzi awamu iliyopita na sasahivi anavyojitutumua kujieleza nachoka kabisa kuhusu siasa.
Mimi ningekuwa yeye, ningekufa na tai shingoni kuliko kugeuka kinyonga na kupoteza vyote, nafasi na heshma.
View attachment 2386589
Pesa pesa pesa kila mtu anataka pesa !! Uzalendo kwaheri ya kuonana !!!Unyumbu ni hali inayojitokeza kwa mtu mwenye ufahamu kuahirisha kufikiri vizuri kwasababu ya uoga wa kuogapa viongozi wake wa juu kwa kufanya mambo ambayo yananufaisha kundi fulani ama , kuongea matamushi ambayo yameamliwa na kundi fulani 'Herding behaviour is an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of group objectives or fear of their leaders' HILI NITATIZO AMBALO LINAHIJAJIMJADALA WA KITAIFA TUMEFIKA HAPA TULIPO KWASABABU YA UNYUMBU KILAMTU ANATAMKA ANAVYO TAKA HADHARANI
Kila mtu anapambana na hali yake, ukipata fursa itumie hata kwakujitoa ufahamu hahahaa!Pesa pesa pesa kila mtu anataka pesa !! Uzalendo kwaheri ya kuonana !!!
Anasemwa Nyerere aliyelipigania taifa sembuse Nzilankende aliyekuja kuharibu? Alikuwa anaenda kuvunja katiba awe kama Kagame au mu7.Agenda yenu bado ni mwendazake au mna kingine?
Stupid.Kilosa wapate Mkuu mpya
Ebhana wana Kilosa eeeh?
Nnahitaji eneo zuri ambalo mtu unaweza kuweka car wash au duka, supermarket hivi. Hata kama saivi hapajachangamka eneo potential tu. Safi kabisa. Kwa ushauri hapo itafaa Kimamba au Kilosa.
0734189022