Kilosa wamtaka Prof. Kabudi aachie ngazi ya ubunge na ndani ya chama

Wanaomsema zaidi ni wale wenye kutaka kuiharibu legacy yake na hao ni Ccm wenzake sio Chadema
 
Nilienda kilosa mwezi July barabara kutokea dumila hadi kilosa mjini ni lami. Wewe umetoka kilosa mwaka gani?

Halafu MATI Ilonga haipo msalabani. Bora hata ungesema TTC IPO msalabani kidogo tungekuelewa.
Asante kwa kumuelewesha huyu mzee wetu wa jf
 
Huyo mzee ana akili kuliko unavyodhani na masuala ya nchi ni zaidi ya unavyofikiria.

Kuna wakati fulani zitto kabwe alipokuwa moto baada ya kutimuliwa bungeni na samuel sitta kuhusiana na sakata la buzwagi nilipata kufuatilia mijadala yake aliyokuwa anaeendesha nje ya bunge.

Nakumbuka alizungumzia namna barrick walivyokuwa wakiingia ile mikataba ya kuchimba vs kiwango cha mrabaha kwa siku, mwezi hadi mwaka. Kwamba kama waliingia miaka 20 basi baada ya miaka hiyo watakuwa wamemaliza kila kitu na kuacha mashimo.

Kwa mfano buzwagi imemalizwa na imerudishwa kwa stamico. Hakuna muwekezaji atachukua tena maana wamemaliza.
 
Agenda yenu bado ni mwendazake au mna kingine?
 
Hiyo ndio mikataba iliyokuwepo kabla ya Mwamba kuingia !!
 
Unamaanisha Kabudi na uprofesa wake ni senior ndumilakuwili?.
Ndio tatizo la Nchi hii !! Watu wanataka utajiri tu kwa namna yeyote ile !! Ndio maana wasomi wengi wanaacha fani walizosomea wanakimbilia kwenye siasa au Sihasa !!!
 
Unyumbu ni hali inayojitokeza kwa mtu mwenye ufahamu kuahirisha kufikiri vizuri kwasababu ya uoga wa kuogapa viongozi wake wa juu kwa kufanya mambo ambayo yananufaisha kundi fulani ama , kuongea matamushi ambayo yameamliwa na kundi fulani 'Herding behaviour is an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of group objectives or fear of their leaders' HILI NITATIZO AMBALO LINAHIJAJIMJADALA WA KITAIFA TUMEFIKA HAPA TULIPO KWASABABU YA UNYUMBU KILAMTU ANATAMKA ANAVYO TAKA HADHARANI
 
Pesa pesa pesa kila mtu anataka pesa !! Uzalendo kwaheri ya kuonana !!!
 
Agenda yenu bado ni mwendazake au mna kingine?
Anasemwa Nyerere aliyelipigania taifa sembuse Nzilankende aliyekuja kuharibu? Alikuwa anaenda kuvunja katiba awe kama Kagame au mu7.
 
Ebhana wana Kilosa eeeh?


Nnahitaji eneo zuri ambalo mtu unaweza kuweka car wash au duka, supermarket hivi. Hata kama saivi hapajachangamka eneo potential tu. Safi kabisa. Kwa ushauri hapo itafaa Kimamba au Kilosa.

0734189022
 
Ebhana wana Kilosa eeeh?


Nnahitaji eneo zuri ambalo mtu unaweza kuweka car wash au duka, supermarket hivi. Hata kama saivi hapajachangamka eneo potential tu. Safi kabisa. Kwa ushauri hapo itafaa Kimamba au Kilosa.

0734189022

Njoo Msalabani Darajani pamechangamka unaweza kupiga pesa kwa wananchi pale kwenye KOTAZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…