Kilwa: Ajali yaua saba na kujeruhu 22

Kilwa: Ajali yaua saba na kujeruhu 22

Hata kama mwanadam lazima afe

Lakini vifo vingine ni vya kujitakia tu

Watanzania wanakufa kama inzi

Watu wasipochukua hatua za kiusalama wenyewe basi watazidi
Kufa na kufa....
Hao latra sijui traffic hawana msaada wowote kwenu

Ova
 
Trafiki wakikomaa,baadhi ya wadau wanawalalàmikia kiujumla kua wanasaka pesa,wakati wengine huwa na nia njema ya kuokoa maisha ya baadhi ya abiria.Haya sasa,mnataka uhuru,kimbieni mnavyotaka,ovatekini mtakavyo pia... uzuri mishahara yao(hao trafiki),ipo palepale.
 
Jamani mlitaka demokrasia na kila mtu ale kwa kamba yake long ilivyo.
Sasa Kama mbovu traffic police akapewa hata 50k na hao latra wakalamba 150k ili angalau ipige route kadhaa hata mwezi unadhani hela itakataliwa
Katika zile 4R za mazeli nimeshaweza kung'amua 2R zinasimama badala ya Rushwa Ruksa. Bado zile mbili.
 
Trafiki wakikomaa,baadhi ya wadau wanawalalàmikia kiujumla kua wanasaka pesa,wakati wengine huwa na nia njema ya kuokoa maisha ya baadhi ya abiria.Haya sasa,mnataka uhuru,kimbieni mnavyotaka,ovatekini mtakavyo pia... uzuri mishahara yao(hao trafiki),ipo palepale.
Umeongea point,wakianza oparesheni kamata magari mabovu tutaanza lawama
 
Trafiki wakikomaa,baadhi ya wadau wanawalalàmikia kiujumla kua wanasaka pesa,wakati wengine huwa na nia njema ya kuokoa maisha ya baadhi ya abiria.Haya sasa,mnataka uhuru,kimbieni mnavyotaka,ovatekini mtakavyo pia... uzuri mishahara yao(hao trafiki),ipo palepale.
Polisi anatakiwa afanye kazi kwa kufuata utaalam wake. Kama baadhi ya wadau wanalalamika wanapofanya kazi ndiyo wasuse?
 
Trafiki wakikomaa,baadhi ya wadau wanawalalàmikia kiujumla kua wanasaka pesa,wakati wengine huwa na nia njema ya kuokoa maisha ya baadhi ya abiria.Haya sasa,mnataka uhuru,kimbieni mnavyotaka,ovatekini mtakavyo pia... uzuri mishahara yao(hao trafiki),ipo palepale.
Kinachotakiwa ni kutoa elimu kwa wadau na waelimike. Traffic police asiye na elimu anachofanya yeye ni kupokea rushwa tu, maana yake akikomaa ni rushwa zaidi. Vivyo hivyo kwa LATRA na mamlaka nyingine.
Hakuna weledi zaidi ya ubabaishaji, rushwa na mkaratasi yasiyo na maana yoyote.
Ikiwezekana iundwe taasisi huru ya ukaguzi wa magari, wakaguzi wawe wataalamu wenye weledi na kama ikitokea ajali au tatizo lolote kuhusu gari, ripoti ya ubora irejewe, mkaguzi ajulikane, kama kuna uzembe kwa mkaguzi,dereva na hata mmiliki wawajibishwe.
 
Back
Top Bottom