imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Juzi Basi lililokuwa limebeba Watalii limetumbukia kwenye Daraja na kuua Abiria ishirini huko Italia.
Uingereza nako wikii hii Dereva wa Basi kazimia na kwenye stering na kupinduka amekufa yeye na Mtu mmoja.
Tanzania ajali zikitokea zinafanywa ajenda za kisiasa.
Kwa mfano Gurudumu la mbele likipasuka na Basi ikiwa hata mwendo wa 70kph hakuna namna ni bahati tu ndio unaweza kutoboa.
Mimi binafsi nimezipongeza sana Mamlaka kwa kuachia usafiri wa abiria uwe 24hrs.
Na hata wale walioufungia usafiri wa abiria 24hrs walikuwa ni Wanasiasa wasioelewa chochote.
Nchi ili iende fasta kimaendeleo ruhusu usafiri 24hrs ruhusu Mipaka ifanye 24hrs.