Zimetokea wapi? Lini? Ngapi? Mabus gani? Vifo jumla vingapi? Statistics ni muhimu kuliko huu umbeya wako.Nimeandika tu.
Kuna ajali imetokea Kila leo na watu zaidi ya 7 wamefariki Dunia.
LATRA wako kimyaaaa
Safari za usiku privately zilikuwa nzuri ila kwa sasa hapana hazifai tenaBado safari za usiku, mchana mambo ndiyo hayo huo usiku sasa hizo barabara zina taa sehemu zote? Halafu watu wanafurahia hizo safari!
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Kwani taarifa za habari zinaposomwa unakuwa wapi? TV radio usisikie hata kimoja wapo?Zimetokea wapi? Lini? Ngapi? Mabus gani? Vifo jumla vingapi? Statistics ni muhimu kuliko huu umbeya wako.
Ni kweli hazifai, hizi gari ndogo hatari haswaa.Safari za usiku privately zilikuwa nzuri ila kwa sasa hapana hazifai tena
Yani kwa vurugu za Mabasi za mchana ikiwa usiku tutauana sana yaniNi kweli hazifai, hizi gari ndogo hatari haswaa.
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Yaani ya kutenganisha ingekuwa vizuri, angalia Ubungo - Mbezi zamani kulikuwa na ajali nyingi nyingi tu ,sahizi kuna uafadhali, halafu wameishia paleAjali za bongo 90% ni za reckless driving. Una overtake vipi na huoni mbele kama kuna gari inakuja au la?
Unalazimishaje overtake ilihali unaona gari inakuja na upo upande ambao sio wako?
Ili kufidia huu uzembe serikali ingepanua njia na kutenganisha wanaokwenda na wanaorudi.
Usafiri wa mabasi saa 24 ni muhimu sana kwa maendeleo. Siyo usafiri tu hata huduma katika miji na majiji., hakuna sababu ya kufunga kwa zile muhimu.Juzi Basi lililokuwa limebeba Watalii limetumbukia kwenye Daraja na kuua Abiria ishirini huko Italia.
Uingereza nako wikii hii Dereva wa Basi kazimia na kwenye stering na kupinduka amekufa yeye na Mtu mmoja.
Tanzania ajali zikitokea zinafanywa ajenda za kisiasa.
Kwa mfano Gurudumu la mbele likipasuka na Basi ikiwa hata mwendo wa 70kph hakuna namna ni bahati tu ndio unaweza kutoboa.
Mimi binafsi nimezipongeza sana Mamlaka kwa kuachia usafiri wa abiria uwe 24hrs.
Na hata wale walioufungia usafiri wa abiria 24hrs walikuwa ni Wanasiasa wasioelewa chochote.
Nchi ili iende fasta kimaendeleo ruhusu usafiri 24hrs ruhusu Mipaka ifanye 24hrs.
Kwa madereva wetu mmm kazi ipo.Yani kwa vurugu za Mabasi za mchana ikiwa usiku tutauana sana yani
Ajali ni ngumu sana kutokea kukiwa na separate lanes. Hili ndio linatugharimu sana hata kwenye highway za kuunganisha mikoaYaani ya kutenganisha ingekuwa vizuri, angalia Ubungo - Mbezi zamani kulikuwa na ajali nyingi nyingi tu ,sahizi kuna uafadhali, halafu wameishia pale
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Vipi huko pesa ya bandari haijatoka tukaanza kujenga?[emoji16][emoji16]Ajali ni ngumu sana kutokea kukiwa na separate lanes. Hili ndio linatugharimu sana hata kwenye highway za kuunganisha mikoa
Hata sielew shida ni niniVipi huko pesa ya bandari haijatoka tikaanza kujenga?[emoji16][emoji16]
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hata sielew shida ni nini
Hawa madereva wanaondesha huku wamelewa ndiyo matatizo, hawana Hata uwezo wa kufikiri na kuwa na tahadhariSaba wafariki, 22 wajeruhiwa ajali ya basi
ACP Mande ameendelea kusema kuwa kwenye ajali hiyo madereva wa magari yote wamefariki papo hapo, huku akiwataja kwa majina kuwa ni dereva wa basi la Saibaba Lucas John (59), Mkazi wa Arush, na...www.mwananchi.co.tz
Nchi nyingi ziko hivyo single carriageway mimi nimeendesha Lorry karibia miaka 30 kwenye njia hizo na za vumbi.Ukiacha uzembe wa madereva, barabara za bongo za highway ni machinjio kwa sababu magari kupishana kwa kutengwa na mstari tu...