[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaa kuna mtu kavurugwa humu....
Huyu atakua mganga wa mabasi ya Shambalai..
BTW watu wanaoponda safari za usiku, ni kwakua hawana huo ulazima wa kusafiri usiku...
Kuna watu ndugu zangu kusafiri mchana ni kupoteza muda.