heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
We unaenda sumbuwa watu kuuliza uliza bei ukiambiwa soda elf kumi unaanza kulalamika ukinunua unakaa lisaa watu wakose pa kukaa, ila iko ki eneo kipigwe moto tu ubaguzi hatutaki peiod
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohhhh....Hio iko kilwa masoko mkoa wa Lindi
Yaani utoke Mwanza uende Kilwa kuona km kweli kuna ubaguzi?Siwezi kufuatilia kwa sababu siko hayo maeneo.
Hata waifu hua ananiambia kwamba......Ushimen Huwa sijawah soma comment yako kwenye Uzi wowote bila kucheka sijui kichwani mwako Kuna Nini 😃😃😃
Kama tangazo vile!Mkuu umewaza kama mimi. Au ni hisia zake tu kwa sababu ya inferiority complex. Angejaribu hata kuelezea kwa undani bila ushahidi ni kwa nini anatoa shutuma kubwa kama hizi. Badala yake anatuambie tuende sisi tukajionee.
Kwa mfano kwa taarifa hii uliyoitoa mtu yeyote atakayeenda maeneo hayo,ataenda kwa jicho la uchunguzi.Sasa wao wanabagua live bila chenga
Dahhh....Nishawahi kwenda Kilwa nikakaa siku 3 sikupishana ata na Mzungu mmoja
chukua haka kadogi kafuge we mzeeSamahani mkuu...
Hiyo kitu ipo maeneo gani hapa Mwanza..🤔
Kipato unakionaje kwa macho??Ubaguzi upo wapi hapo? Mmiliki ana haki ya kukataa wa kuja kwenye eneo lake kulingana na umri, KIPATO ( hapa ndo weusi hukwama)
Ndugu yangu umeruka steji, ukifika lodge unatakiwa kupokelewa kuanzia unavyoshuka kwenye gari. Rudi ulingoni kaza na endelea kupambana utafikia steji ya kufika hapo kulwa lodge.Shalom,
Jukwaa mnisamehe na fuatilia kwa wana kilwa masoko mtapata ukweli wote.
Ndugu wanajamii na watanzania kwa ujumla, kipekee wana kilwa masoko, ujumbe umfikie Madam Lilian wa Kilwa Beach Lodge, aweke tangazo la maandishi na sauti yake ijulikane bayana kuwa hataki kuwapa huduma waafrika na watanzania weusi kwa ujumla.
Ujumbe umfikie kabla sijaweka sauti na video za wateja wakilalamika.
Afanye haraka sana kuutangazia umma wa watanzania na Africa nzima juu ya msimamo wake kutoa huduma na kukaribisha wateja waafrika na watanzania weusi.
Nawasilisha.
Wadiz
UshiromboSamahani mkuu...
Hiyo kitu ipo maeneo gani hapa Mwanza..🤔
Nilishawahi kulala hapo.Shalom,