Kilwa: Kutoka mji bora hadi magofu yasiyo na faida

Joined
Dec 31, 2022
Posts
44
Reaction score
44
Habari zenu wanaJF, natumai hamjambo na kila mtu yupo zake vema katika kupambania kombe.

Leo kama mada inavyosema nilitaka nipate zaidi ya nikijuacho ikiwezekana nifute nilichonacho au niongezee kwacho kuhusiana na ni nini kiliufanya mji wa Kilwa kutoka katika Heshima yake na kurudi katika Dharau yake na kutokutamanika haswaa.

Historia inaonyesha wazi ukifika Kilwa kisiwani ukaangalia masalia ya Mijengo iliyokuwepo zama zile, utakubariana na ๐™„๐™—๐™ฃ ๐˜ฝ๐™–๐™ฉ๐™ช๐™ฉ๐™– kuwa Kilwa lilikuwa Jiji.

Kuna Muda waislaamu wa Afrika walipaita Kilwa ๐— ๐—”๐—ž๐—ž๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—”๐—™๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—” kutokana na Wingi na ukubwa wa Misikiti iliyokuwa imejengwa ikajengeka ndani ya Kilwa Kisiwani, ambayo mpaka leo inastaajabisha Foundation yake.

Hapo alipofika Ibn Batuta akasema, "๐–๐š๐ฅ๐ฅ๐š๐ก๐ข (๐ง๐š๐š๐ฉ๐š ๐ฌ๐ข๐ฃ๐š๐ฉ๐š๐ญ๐š ๐ฆ๐ฃ๐ข ๐ฆ๐ณ๐ฎ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ง๐š ๐ง๐ข๐ฅ๐ข๐ฒ๐จ๐ฎ๐ฉ๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ค๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ค๐š ๐ค๐ฐ๐š๐ง๐ ๐ฎ ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐Œ๐ฃ๐ข ๐ก๐ฎ๐ฎ ๐ฐ๐š ๐Š๐ข๐ฅ๐ฐ๐š.... ๐Š๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐š๐ง๐š ๐ฆ๐ฃ๐ข ๐ก๐ฎ๐ฎ ๐ฎ๐ง๐š ๐ฎ๐ฌ๐ญ๐š๐š๐ซ๐š๐›๐ฎ ๐ง๐š ๐ก๐ž๐ฌ๐ก๐ข๐ฆ๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž ...."

Hiyo ni miaka ya 1880's leo hii Mimi hapa, wa miaka ya 2000's huwezi kunishawishi kukaa katika Kisiwa kile, si Mimi tu hata Ibn Batuta mwenyewe akifufuka hawezi kupasifia kwa namna hii tena.

Nilijaribu kufuatilia ni nini kilikuwa mpaka pakarudi chini kabisaa? Sikyona Labda kuna vita iliyotokea watu wakaukimbia mji wake, sikuona ugonjwa ulotokea, sikuona siasa chafu za maudhi kama za leo labda zikawakera wananchi wakauhama, badala yake, naliona ๐™๐™™๐™ž๐™ฃ๐™ž ๐™ฌ๐™– ๐™ซ๐™ž๐™ค๐™ฃ๐™œ๐™ค๐™ฏ๐™ž walokuwepo zama zile, ubaguzi wa Uafrika na Uarabu (๐˜ผ๐™›๐™ง๐™–๐™—๐™ž๐™–). Hivi ndivyo vinatajwa kwa wingi kiwa viliurudisha na kuuvurugavuruga mji huu ili miji mingine iweze kuanzishwa na kukua, miji gani? Miji waloitaka wao, miji waloipenda wao.

Kabla sijakubariana na wanahistoria hawa, ikabidi nitafute ni nini ushahidi wa hayo, nikajikuta nakutana na kauli ya "๐‘บ๐’Š ๐’•๐’– ๐’Œ๐‘ฒ๐’Š๐’๐’˜๐’‚ ๐’Š๐’๐’Š๐’š๐’๐’…๐’‰๐’๐’๐’‡๐’Š๐’”๐’‰๐’˜ ๐’Š๐’”๐’Š๐’†๐’๐’…๐’†๐’๐’†๐’†, ๐’๐’‚๐’‚ ๐’ƒ๐’‚๐’๐’Š ๐‘ด๐’Š๐’Œ๐’๐’‚ ๐’š๐’‚ ๐‘ฒ๐’–๐’”๐’Š๐’๐’Š ๐’š๐’๐’•๐’†.... ๐‘ด๐’‡๐’‚๐’๐’ ๐‘ด๐’•๐’˜๐’‚๐’“๐’‚ ๐’Š๐’๐’Š๐’•๐’๐’๐’†๐’˜๐’‚ ๐‘ญ๐’†๐’…๐’‰๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’˜๐’‚๐’‚๐’“๐’‚๐’ƒ๐’– ๐’‘๐’‚๐’Œ๐’‚๐’‹๐’†๐’๐’ˆ๐’˜๐’† ๐‘น๐’†๐’๐’Š ๐’š๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’•๐’๐’Œ๐’‚ ๐‘ต๐’‚๐’„๐’‰๐’Š๐’๐’ˆ๐’˜๐’†๐’‚ ๐’‰๐’‚๐’…๐’Š ๐‘ฉ๐’‚๐’๐’…๐’‚๐’“๐’Š๐’๐’Š ๐’๐’‚ ๐’Š๐’๐’ˆ๐’†๐’Œ๐’–๐’˜๐’‚ ๐’๐’Š ๐‘น๐’†๐’๐’Š ๐’š๐’‚ ๐’Œ๐’˜๐’‚๐’๐’›๐’‚ ๐‘ฌ.๐‘จ, ๐’๐’‚๐’Œ๐’Š๐’๐’Š ๐‘น๐’‚๐’Š๐’” ๐’‚๐’๐’Š๐’Œ๐’‚๐’•๐’‚๐’‚ na ๐’Œ๐’˜๐’†๐’๐’…๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’‹๐’†๐’๐’ˆ๐’‚ ๐‘ฏ๐’๐’”๐’‘๐’Š๐’•๐’‚๐’๐’Š ๐’š๐’‚ ๐‘ฉ๐’–๐’ˆ๐’‚๐’๐’…๐’ ๐‘ด๐’˜๐’‚๐’๐’›๐’‚, ๐’‰๐’Š๐’Š ๐’๐’…๐’Š๐’š๐’ ๐’‰๐’Š๐’”๐’•๐’๐’“๐’Š๐’‚ ๐’Ž๐’”๐’Š๐’š๐’๐’˜๐’†๐’›๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’‹๐’๐’Š๐’‹๐’–๐’‚ ๐’Œ๐’˜๐’‚๐’Œ๐’–๐’˜๐’‚ ๐’๐’‚๐’๐’š๐’Š....." Huyu ni Hassan Ilunga Kapungu.

Wanahistoria ni wengi na ushahidi wao ni mwingi juu ya haya, Nilipata kusikiliza hata ๐™๐™๐™š ๐™จ๐™ฉ๐™ค๐™ง๐™ฎ ๐™—๐™ค๐™ค๐™  ya WCB ya Jamaal Mustafa (Profesa) iliyookuwa ikizungumza kuhusu Kilwa amabyo hii haikutaja ๐™ฃ๐™ž ๐™ฃ๐™ž๐™ฃ๐™ž ๐™ ๐™ž๐™ก๐™ž๐™ช๐™›๐™–๐™ฃ๐™ฎ๐™– ๐™ข๐™Ÿ๐™ž ๐™๐™ช๐™ช ๐™ช๐™–๐™ฃ๐™œ๐™ช๐™ ๐™š? Bali iliishia tu kutaja Utukufu waHistoria yake na Utukufu wa Wakazi wake wa Zama zile.

Hapa nataka kujua ๐™‰๐™ž ๐™ฃ๐™ž๐™ฃ๐™ž ๐™ช๐™ฃ๐™–๐™ ๐™ž๐™Ÿ๐™ช๐™– ๐™ ๐™ช๐™๐™ช๐™จ๐™ช ๐™ข๐™Ÿ๐™ž ๐™๐™ช๐™ช ๐™ฌ๐™– ๐™†๐™ž๐™ก๐™ฌ๐™–? ๐™‰๐™ž ๐™ ๐™ฌ๐™š๐™ก๐™ž ๐™ช๐™ฃ๐™–๐™–๐™ข๐™ž๐™ฃ๐™ž ๐™ช๐™ก๐™ž๐™ ๐™ช๐™ฌ๐™– ๐™ˆ๐™ฉ๐™–๐™ ๐™–๐™ฉ๐™ž๐™›๐™ช ๐™ซ๐™ž๐™ก๐™š ๐™ช๐™ฉ๐™–๐™Ÿ๐™ฌ๐™–๐™ซ๐™ฎ๐™ค? Kama ndiyo, ๐™‰๐™ž ๐™ ๐™ž๐™ฅ๐™ž ๐™ ๐™ž๐™ก๐™ž๐™ช๐™–๐™ฃ๐™œ๐™ช๐™จ๐™๐™–?

๐™ฑ๐šŠ๐š๐šŽ๐šŽ'๐šž๐šฃ๐šŠ๐šŠ๐š–๐šŠ๐š—
 

Ila wa vaakobasi ni washenzi sana acha kupotosha kuhusu suala la reli ya nachingwea to mikindani mtwara ilijengwa na mwingereza kwa lengo la kusafirisha karanga kutoka nachingwea kufikia bandari ya mikindani ili zizafiriswe kwenda ulaya kwaajili ya kusindika mafuta ya kupikia.

Reli ilingolewa na watu wa kusini wenyewe baada ya uhuru

Acha upotoshaji
 
Hapo upotoshaji ni upi, ๐™๐™š๐™ก๐™ž ๐™ž๐™ก๐™ž๐™—๐™ค๐™ข๐™ค๐™ก๐™š๐™ฌ๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™ฌ๐™–๐™ฉ๐™ช ๐™ฌ๐™–๐™ ๐™ช๐™จ๐™ž๐™ฃ๐™ž ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฎ๐™š๐™ฌ๐™š, mbona kauli hii ni dhaifu sana, unataka useme Watu wa kusini ni wajinga wa kuchukia maendeleo kiasi hicho?

Je! Kama kweli usemayo, Serikali ilichukua hatua gani kwa watu hao? Au ilifurahi pia??

Nijibu wala usitangulize matusi vaa hekima
 

Mradi wa kilimo cha karanga ulikufa baada ya Tanganyika kupata uhuru reli ikabaki kuota vichaka wahuni wakaanza kubeba mataruma ndio ngoma ikaishia hapo.
 
Mradi wa kilimo cha karanga ulikufa baada ya Tanganyika kupata uhuru reli ikabaki kuota vichaka wahuni wakaanza kubeba mataruma ndio ngoma ikaishia hapo
Safi sana Ndugu, kama kuna Point naipata hapa. Ila nmeongea na mzee mmoja nisingependa kumtaja jina, ila ni mkazi na mzawa wa Mtwara, Masasi Jida Tandale, yeye anasema:

"๐™‰๐™ž ๐™ ๐™ฌ๐™š๐™ก๐™ž ๐™ง๐™š๐™ก๐™ž ๐™ž๐™ก๐™ž๐™—๐™ค๐™ข๐™ค๐™ก๐™š๐™ฌ๐™–, ๐™ก๐™–๐™ ๐™ž๐™ฃ๐™ž ๐™ข๐™—๐™ค๐™ข๐™ค๐™–๐™Ÿ๐™ž ๐™๐™–๐™ ๐™ช๐™ฌ๐™– ๐™ข๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™–๐™ฃ๐™˜๐™๐™ž ๐™ฎ๐™š๐™ฎ๐™ค๐™ฉ๐™š, ๐™—๐™–๐™ก๐™ž ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฎ๐™š ๐™ฃ๐™˜๐™๐™ž ๐™ฎ๐™–๐™ค ๐™ฌ๐™–๐™ก๐™ž๐™—๐™ค๐™ข๐™ค๐™–, ๐™—๐™–๐™–๐™™๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ข๐™ง๐™–๐™™๐™ž ๐™ฌ๐™– ๐™ ๐™–๐™ง๐™–๐™ฃ๐™œ๐™– ๐™ฌ๐™– ๐™ฃ๐™–๐™˜๐™๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ฌ๐™š๐™– ๐™ ๐™ช๐™๐™–๐™ง๐™ž๐™—๐™ž๐™ ๐™–.

๐™ˆ๐™ง๐™–๐™™๐™ž ๐™ช๐™ก๐™ž๐™๐™–๐™ง๐™ž๐™—๐™ž๐™ ๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™–๐™จ๐™–๐™—๐™–๐™—๐™ช ๐™ข๐™–๐™จ๐™๐™–๐™ข๐™—๐™– ๐™ฎ๐™–๐™ก๐™ž๐™Ÿ๐™–๐™– ๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™ฎ๐™– ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™œ๐™ž ๐™จ๐™–๐™ฃ๐™–, ๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™–๐™—๐™ก๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™๐™–๐™ฅ๐™ค ๐™ข๐™ฏ๐™ช๐™ฃ๐™œ๐™ช๐™—๐™–๐™ก๐™ž๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™™๐™ž๐™ ๐™ž๐™ฏ๐™–๐™ซ๐™–๐™ž๐™ฃ๐™– ๐™ฃ๐™ฎ๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ž๐™—๐™ฏ๐™– ๐™ฃ๐™ฎ๐™ค๐™ ๐™– ๐™ฌ๐™–๐™ก๐™–๐™ค ๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™ฎ๐™– ๐™ž๐™ก๐™ž ๐™ ๐™ช๐™ฏ๐™ช๐™ž๐™– ๐™ช๐™๐™–๐™ง๐™ž๐™—๐™ž๐™›๐™ช ๐™๐™ช๐™ค, ๐™ฃ๐™™๐™ž๐™ฎ๐™ค ๐™ข๐™–๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ข๐™ฅ๐™–๐™ ๐™– ๐™ก๐™š๐™ค ๐™‰๐™–๐™˜๐™๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ฌ๐™š๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฃ๐™– ๐™–๐™ž๐™ฃ๐™– ๐™ฃ๐™ฎ๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ž๐™—๐™จ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ฏ๐™– ๐™ฃ๐™ฎ๐™ค๐™ ๐™–.

๐™ˆ๐™ง๐™–๐™™๐™ž ๐™ช๐™ก๐™ž๐™ฅ๐™ค๐™›๐™š๐™ก๐™ž, ๐™๐™–๐™ช๐™ ๐™ช๐™š๐™ฃ๐™™๐™š๐™ก๐™š๐™ฏ๐™ฌ๐™– ๐™ž๐™Ÿ๐™–๐™ฅ๐™ค๐™ ๐™ช๐™ฌ๐™– ๐™†๐™–๐™ง๐™–๐™ฃ๐™œ๐™– ๐™ฏ๐™ž๐™ก๐™ž๐™ ๐™ช๐™ฌ๐™– ๐™—๐™–๐™™๐™ค ๐™ฏ๐™ž๐™ฃ๐™–๐™ฌ๐™š๐™ ๐™– ๐™จ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™—๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ฌ๐™š๐™ฌ๐™š! ๐™„๐™ก๐™– ๐™ฃ๐™™๐™ค ๐™๐™ž๐™ซ๐™ฎ๐™ค ๐™จ๐™š๐™ง๐™ž๐™ ๐™–๐™ก๐™ž ๐™ฌ๐™–๐™ก๐™ž๐™ฎ๐™–๐™›๐™–๐™ฃ๐™ฎ๐™– ๐™ข๐™–๐™ ๐™–๐™ข๐™—๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™ข๐™–๐™Ÿ๐™š๐™จ๐™๐™ž, ๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™–๐™Ÿ๐™ž๐™ก๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™ˆ๐™ž๐™ก๐™ก๐™ž๐™ฉ๐™–๐™ง๐™ฎ ๐˜พ๐™ค๐™ซ๐™š๐™ง, ๐™ ๐™–๐™ข๐™– ๐™ž๐™ก๐™ž๐™ซ๐™ฎ๐™ค, ๐™ฌ๐™–๐™ ๐™–๐™—๐™ค๐™ข๐™ค๐™– ๐™ง๐™š๐™ก๐™ž ๐™ž๐™ก๐™ž ๐™ฅ๐™–๐™จ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™ข๐™—๐™š๐™ก๐™š๐™ฌ๐™ฌ ๐™จ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™ž ๐™ž๐™ก๐™ž๐™›๐™–๐™ฃ๐™ฎ๐™ฌ๐™– ๐™ข๐™ž๐™ ๐™ค๐™–๐™—๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™ช๐™จ๐™ž๐™ฃ๐™ž ๐™ฃ๐™ž ๐™ข๐™ž๐™ ๐™ค๐™–๐™—๐™ฎ๐™– ๐™‘๐™ž๐™ฉ๐™–, ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฌ๐™– ๐™ž๐™ ๐™ค ๐™ข๐™ž๐™ฅ๐™–๐™ ๐™–๐™ฃ๐™ž"

Hapa nikaelewa kidogo, kama usemavyo, Reli ilibomolewa, ila mpaka sa hizi mkanganyiko ni Nani aliyebomoa? Kwanini wananchi wasishughulikiwe? Au kwanini serikali wabomoe na kuharibu miundo mbinu kwakisingizio cha makambi ya vita na hadi leo hakuna vita yeyote iliwahi kutokakea maeneo hayo? Walikuwa wanazungumza vita ipi?

Na tusisahau mada:
๐™‰๐™ž ๐™ ๐™ž๐™ฅ๐™ž ๐™ ๐™ž๐™ก๐™ž๐™˜๐™๐™ค๐™ช๐™–๐™ฃ๐™œ๐™ช๐™จ๐™๐™–๐™—๐™ˆ๐™Ÿ๐™ž๐™—๐™ฌ๐™– ๐™†๐™ž๐™ก๐™ฌ๐™–!!?
 

Nitajie mkoa mmoja tu uliokaliwa na waarabu ulioendelea! Hakuna!

Waarabu sijui walikua wanalaana gani kila walipokua wanaweka kituo cha makazi yao wakiondoka ndiyo bas!

Anzia bagamoyo kilwa kondoa na sehem nyingine zilizojaa uarabu hamna kitu!
 
Tatizo walikuwa na ushirikina mwingi Sana .......yaani WACHAWI BALAAA
 
Safi sana Ndugu, kama kuna Point naipata hapa. Ila nmeongea na mzee mmoja nisingependa kumtaja jina, ila ni mkazi na mzawa wa Mtwara, Masasi Jida Tandale, yeye anasema...
Mimi mwenyewe ni mzaliwa wa Masasi na nimekulia pale wakati wa makuzi yangu nilipata kusikia kwamba ile reli iling'olewa na serikali ya mwl J.k Nyerere kwa sababu wanazojua wenyewe ila wananchi wanadai ni kutotaka tu mikoa ya kusini isiendelee yani ni kama chuki flani kana kwamba mikoa ya kusini sio ya Tanzania ila ni ya Msumbiji

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Nitajie mkoa mmoja tu uliokaliwa na waarabu ulioendelea! Hakuna!
Waarabu sijui walikua wanalaana gani kila walipokua wanaweka kituo cha makazi yao wakiondoka ndiyo bas!

Anzia bagamoyo kilwa kondoa na sehem nyingine zilizojaa uarabu hamna kitu!
Sio kweli chief ikumbukwe panapoitwa Dar es salaam enzi hizo Mzizima pameishi Waarabu Tanga, Mombasa na Unguja ni sehemu ambazo wameishi pia sijajua umetumia minzani ipi mkuu.
 
Kuna sehemu nilisoma ikaonyesha Mtwara ndio kulijengwa reli ya kwanza na waingereza ila nchi ilipochukua uhuru na reli ikang'olewa hadi Leo sidhani km Mtwara kuna reli na sidhani km kuna reli itajengwa kuelekea Mtwara, kosa sio la Kilwa
 
Ukweli ni huo chief iling'olewa na mamlaka ya nyakati sole na sio Reli tu iko mitambo kibao ilitolewa enzi za sokoine
 
Nitajie mkoa mmoja tu uliokaliwa na waarabu ulioendelea! Hakuna!
Waarabu sijui walikua wanalaana gani kila walipokua wanaweka kituo cha makazi yao wakiondoka ndiyo bas!

Anzia bagamoyo kilwa kondoa na sehem nyingine zilizojaa uarabu hamna kitu!
Dubai, Qatar, Sharjah, Zanzibar City sio Zanzibar Country

Tembelea hapo
 
Acha uongo miaka ya 1880 kilwa ilikuwa ishakufa na ibn batuta alifika kilwa mwaka 1332
 
Nitajie mkoa mmoja tu uliokaliwa na waarabu ulioendelea! Hakuna!
Waarabu sijui walikua wanalaana gani kila walipokua wanaweka kituo cha makazi yao wakiondoka ndiyo bas!

Anzia bagamoyo kilwa kondoa na sehem nyingine zilizojaa uarabu hamna kitu!
Hebu we nawe acha kuongea kwa msisimko, Hawakuwa na laana yoyote, ukweli unabakia kuwa, nyumba na majengo huchakaa na kuanguka kama mji haukaliwi tena

Miji ya waarabu ipo ambayo ipo hadi leo, mfano Dar es salaam ni mji wa waarabu na upo hadi leo

Ila kuna miji zama zake ni za zamani mno na miji ilikufa toka muda kama hiyo kilwa ama bagamoyo. Kama miji hiyo ingeendelea kuwa na watu ingekuwa miji mikubwa hadi leo
 
Nitajie mkoa mmoja tu uliokaliwa na waarabu ulioendelea! Hakuna!
Waarabu sijui walikua wanalaana gani kila walipokua wanaweka kituo cha makazi yao wakiondoka ndiyo bas!

Anzia bagamoyo kilwa kondoa na sehem nyingine zilizojaa uarabu hamna kitu!
Halafu zikija takwimu za mikoa maskini mikoa ya huko huko bara ambayo mnaona halikuwa na waarabu ndio inaongoza kwa umaskini
 
Sio kweli chief ikumbukwe panapoitwa Dar es salaam enzi hizo Mzizima pameishi Waarabu Tanga, Mombasa na Unguja ni sehemu ambazo wameishi pia sijajua umetumia minzani ipi mkuu.

Tanga kuna maendeleo gan mji unajifia taratibu ule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ