Kilwa: Kutoka mji bora hadi magofu yasiyo na faida

Hebu we nawe acha kuongea kwa msisimko, Hawakuwa na laana yoyote, ukweli unabakia kuwa, nyumba na majengo huchakaa na kuanguka kama mji haukaliwi tena

Miji ya waarabu ipo ambayo ipo hadi leo, mfano Dar es salaam ni mji wa waarabu na upo hadi leo

Ila kuna miji zama zake ni za zamani mno na miji ilikufa toka muda kama hiyo kilwa ama bagamoyo. Kama miji hiyo ingeendelea kuwa na watu ingekuwa miji mikubwa hadi leo

Dsm hajawahi kuwa mji wa waarabu mji wa waarabu ulikua bagamoyo...mkoloni mwingereza ndio alihamishia bandari dsm mana dsm ilikua ni mji wa wavuvi wadogo wadogo
 
Ila wa vaakobasi ni washenzi sana acha kupotosha kuhusu suala la reli ya nachingwea to mikindani mtwara ilijengwa na mwingereza kwa lengo la kusafirisha karanga kutoka nachingwea kufikia bandari ya mikindani ili zizafiriswe kwenda ulaya kwaajili ya kusindika mafuta ya kupikia.

Reli ilingolewa na watu wa kusini wenyewe baada ya uhuru

Acha upotoshaji
Reli kungolewa na waafrika wenyewe hapana.ni kweli mwingereza alianzisha kitu kinaitwa groundnut scheme ambao badae ukitumia zaid ya paun laki 6 ukaja kufeli vibaya.reli ilikua inaazia nachingwea had mtwara mjin.na kupitia mikindani.ambapo hadi leo mikindan kuna bohari la reli.na daraja pale inavuka bahari.
Kilwa kufa hutokea tu miaka ambayo hakuna anayejua sababu maana miji mingi dunian mingine imegeuka kuwa mahameni.kilwa kweli inasikitisha ingawa wenyewe wataalam wanataka pabaki kama palivyo ila nilipenda pangekuwa kama zanzibar yale majumba yakaliwe na yatumike hiv mfano unatumbukiza hata bilion 5 pale yanakarabatiwa panakua kama mji mkongwe unaweka michezo ya bahari yan unaweka kila kitu cha utalii na uhakik pesa ingerud
 
Tanga kuna maendeleo gan mji unajifia taratibu ule?
Ndio maana nikasema umetumia minzani ipi katika kupima maendeleo ya sehemu husika maana ukiniaminisha kuwa Tanga iliyoachwa na mkoloni ndio hii ya leo itakuwa ni kujizima data kimaksudi
 
Dsm hajawahi kuwa mji wa waarabu mji wa waarabu ulikua bagamoyo...mkoloni mwingereza ndio alihamishia bandari dsm mana dsm ilikua ni mji wa wavuvi wadogo wadogo
Kapitie data vizur maana sehemu nyingi zilizokaachwa na mwarabu kiutawala zilishikiliwa na mwingereza
 
Habari zenu wanaJF, natumahi hamjambo na kila mtu yupo zake vema katika kupambania kombe.

Leo kama mada inavyosema nilitaka nipate zaidi ya nikijuacho ikiwezekana nifute nilichonacho au niongezee kwacho kuhusiana na ni nini kiliufanya mji wa Kilwa kutoka katika Heshima yake na kurudi katika Dharau yake na kutokutamanika haswaa.

Historia inaonyesha wazi ukifika Kilwa kisiwani ukaangalia masalia ya Mijengo iliyokuwepo zama zile, utakubariana na 𝙄𝙗𝙣 𝘽𝙖𝙩𝙪𝙩𝙖 kuwa Kilwa lilikuwa Jiji.

Kuna Muda waislaamu wa Afrika walipaita Kilwa 𝗠𝗔𝗞𝗞𝗔 𝗬𝗔 𝗔𝗙𝗥𝗜𝗞𝗔 kutokana na Wingi na ukubwa wa Misikiti iliyokuwa imejengwa ikajengeka ndani ya Kilwa Kisiwani, ambayo mpaka leo inastaajabisha Foundation yake.

Hapo alipofika Ibn Batuta akasema, "𝐖𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡𝐢 (𝐧𝐚𝐚𝐩𝐚 𝐬𝐢𝐣𝐚𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐦𝐣𝐢 𝐦𝐳𝐮𝐮𝐫𝐢 𝐧𝐚 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐲𝐨𝐮𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐤𝐮𝐳𝐮𝐧𝐠𝐮𝐤𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐌𝐣𝐢 𝐡𝐮𝐮 𝐰𝐚 𝐊𝐢𝐥𝐰𝐚.... 𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐦𝐣𝐢 𝐡𝐮𝐮 𝐮𝐧𝐚 𝐮𝐬𝐭𝐚𝐚𝐫𝐚𝐛𝐮 𝐧𝐚 𝐡𝐞𝐬𝐡𝐢𝐦𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 ...."

Hiyo ni miaka ya 1880's leo hii Mimi hapa, wa miaka ya 2000's huwezi kunishawishi kukaa katika Kisiwa kile, si Mimi tu hata Ibn Batuta mwenyewe akifufuka hawezi kupasifia kwa namna hii tena.

Nilijaribu kufuatilia ni nini kilikuwa mpaka pakarudi chini kabisaa? Sikyona Labda kuna vita iliyotokea watu wakaukimbia mji wake, sikuona ugonjwa ulotokea, sikuona siasa chafu za maudhi kama za leo labda zikawakera wananchi wakauhama, badala yake, naliona 𝙐𝙙𝙞𝙣𝙞 𝙬𝙖 𝙫𝙞𝙤𝙣𝙜𝙤𝙯𝙞 walokuwepo zama zile, ubaguzi wa Uafrika na Uarabu (𝘼𝙛𝙧𝙖𝙗𝙞𝙖). Hivi ndivyo vinatajwa kwa wingi kiwa viliurudisha na kuuvurugavuruga mji huu ili miji mingine iweze kuanzishwa na kukua, miji gani? Miji waloitaka wao, miji waloipenda wao.

Kabla sijakubariana na wanahistoria hawa, ikabidi nitafute ni nini ushahidi wa hayo, nikajikuta nakutana na kauli ya "𝑺𝒊 𝒕𝒖 𝒌𝑲𝒊𝒍𝒘𝒂 𝒊𝒍𝒊𝒚𝒐𝒅𝒉𝒐𝒐𝒇𝒊𝒔𝒉𝒘 𝒊𝒔𝒊𝒆𝒏𝒅𝒆𝒍𝒆𝒆, 𝒍𝒂𝒂 𝒃𝒂𝒍𝒊 𝑴𝒊𝒌𝒐𝒂 𝒚𝒂 𝑲𝒖𝒔𝒊𝒏𝒊 𝒚𝒐𝒕𝒆.... 𝑴𝒇𝒂𝒏𝒐 𝑴𝒕𝒘𝒂𝒓𝒂 𝒊𝒍𝒊𝒕𝒐𝒍𝒆𝒘𝒂 𝑭𝒆𝒅𝒉𝒂 𝒏𝒂 𝒘𝒂𝒂𝒓𝒂𝒃𝒖 𝒑𝒂𝒌𝒂𝒋𝒆𝒏𝒈𝒘𝒆 𝑹𝒆𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒕𝒐𝒌𝒂 𝑵𝒂𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈𝒘𝒆𝒂 𝒉𝒂𝒅𝒊 𝑩𝒂𝒏𝒅𝒂𝒓𝒊𝒏𝒊 𝒏𝒂 𝒊𝒏𝒈𝒆𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒏𝒊 𝑹𝒆𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒏𝒛𝒂 𝑬.𝑨, 𝒍𝒂𝒌𝒊𝒏𝒊 𝑹𝒂𝒊𝒔 𝒂𝒍𝒊𝒌𝒂𝒕𝒂𝒂 na 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒅𝒂 𝒌𝒖𝒋𝒆𝒏𝒈𝒂 𝑯𝒐𝒔𝒑𝒊𝒕𝒂𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝑩𝒖𝒈𝒂𝒏𝒅𝒐 𝑴𝒘𝒂𝒏𝒛𝒂, 𝒉𝒊𝒊 𝒏𝒅𝒊𝒚𝒐 𝒉𝒊𝒔𝒕𝒐𝒓𝒊𝒂 𝒎𝒔𝒊𝒚𝒐𝒘𝒆𝒛𝒂 𝒌𝒖𝒋𝒍𝒊𝒋𝒖𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒏𝒂𝒏𝒚𝒊....." Huyu ni Hassan Ilunga Kapungu.

Wanahistoria ni wengi na ushahidi wao ni mwingi juu ya haya, Nilipata kusikiliza hata 𝙏𝙝𝙚 𝙨𝙩𝙤𝙧𝙮 𝙗𝙤𝙤𝙠 ya WCB ya Jamaal Mustafa (Profesa) iliyookuwa ikizungumza kuhusu Kilwa amabyo hii haikutaja 𝙣𝙞 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙠𝙞𝙡𝙞𝙪𝙛𝙖𝙣𝙮𝙖 𝙢𝙟𝙞 𝙝𝙪𝙪 𝙪𝙖𝙣𝙜𝙪𝙠𝙚? Bali iliishia tu kutaja Utukufu waHistoria yake na Utukufu wa Wakazi wake wa Zama zile.

Hapa nataka kujua 𝙉𝙞 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙪𝙣𝙖𝙠𝙞𝙟𝙪𝙖 𝙠𝙪𝙝𝙪𝙨𝙪 𝙢𝙟𝙞 𝙝𝙪𝙪 𝙬𝙖 𝙆𝙞𝙡𝙬𝙖? 𝙉𝙞 𝙠𝙬𝙚𝙡𝙞 𝙪𝙣𝙖𝙖𝙢𝙞𝙣𝙞 𝙪𝙡𝙞𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙈𝙩𝙖𝙠𝙖𝙩𝙞𝙛𝙪 𝙫𝙞𝙡𝙚 𝙪𝙩𝙖𝙟𝙬𝙖𝙫𝙮𝙤? Kama ndiyo, 𝙉𝙞 𝙠𝙞𝙥𝙞 𝙠𝙞𝙡𝙞𝙪𝙖𝙣𝙜𝙪𝙨𝙝𝙖?

𝙱𝚊𝚍𝚎𝚎'𝚞𝚣𝚊𝚊𝚖𝚊𝚗
View attachment 2464077
Ibin batuta hakufika kilwa miaka ya 1800,s hapo umekosea!!!!Na sababu ya Kuanguka dola ya kisulutani wa kilwa inajulikana wazi na ukijua asili ya watawala utajua kwanini makabila ya wabantu kutokea eneo la msumbiji ya leo walivamia maeneo ya pwani kuanzia sofala ikiwemo kilwa mpaka maeneo ya miliki ndogo ndogi za mawalii huko Kismayu!!
 
Habari zenu wanaJF, natumahi hamjambo na kila mtu yupo zake vema katika kupambania kombe.

Leo kama mada inavyosema nilitaka nipate zaidi ya nikijuacho ikiwezekana nifute nilichonacho au niongezee kwacho kuhusiana na ni nini kiliufanya mji wa Kilwa kutoka katika Heshima yake na kurudi katika Dharau yake na kutokutamanika haswaa.

Historia inaonyesha wazi ukifika Kilwa kisiwani ukaangalia masalia ya Mijengo iliyokuwepo zama zile, utakubariana na 𝙄𝙗𝙣 𝘽𝙖𝙩𝙪𝙩𝙖 kuwa Kilwa lilikuwa Jiji.

Kuna Muda waislaamu wa Afrika walipaita Kilwa 𝗠𝗔𝗞𝗞𝗔 𝗬𝗔 𝗔𝗙𝗥𝗜𝗞𝗔 kutokana na Wingi na ukubwa wa Misikiti iliyokuwa imejengwa ikajengeka ndani ya Kilwa Kisiwani, ambayo mpaka leo inastaajabisha Foundation yake.

Hapo alipofika Ibn Batuta akasema, "𝐖𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡𝐢 (𝐧𝐚𝐚𝐩𝐚 𝐬𝐢𝐣𝐚𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐦𝐣𝐢 𝐦𝐳𝐮𝐮𝐫𝐢 𝐧𝐚 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐲𝐨𝐮𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐤𝐮𝐳𝐮𝐧𝐠𝐮𝐤𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐌𝐣𝐢 𝐡𝐮𝐮 𝐰𝐚 𝐊𝐢𝐥𝐰𝐚.... 𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐦𝐣𝐢 𝐡𝐮𝐮 𝐮𝐧𝐚 𝐮𝐬𝐭𝐚𝐚𝐫𝐚𝐛𝐮 𝐧𝐚 𝐡𝐞𝐬𝐡𝐢𝐦𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 ...."

Hiyo ni miaka ya 1880's leo hii Mimi hapa, wa miaka ya 2000's huwezi kunishawishi kukaa katika Kisiwa kile, si Mimi tu hata Ibn Batuta mwenyewe akifufuka hawezi kupasifia kwa namna hii tena.

Nilijaribu kufuatilia ni nini kilikuwa mpaka pakarudi chini kabisaa? Sikyona Labda kuna vita iliyotokea watu wakaukimbia mji wake, sikuona ugonjwa ulotokea, sikuona siasa chafu za maudhi kama za leo labda zikawakera wananchi wakauhama, badala yake, naliona 𝙐𝙙𝙞𝙣𝙞 𝙬𝙖 𝙫𝙞𝙤𝙣𝙜𝙤𝙯𝙞 walokuwepo zama zile, ubaguzi wa Uafrika na Uarabu (𝘼𝙛𝙧𝙖𝙗𝙞𝙖). Hivi ndivyo vinatajwa kwa wingi kiwa viliurudisha na kuuvurugavuruga mji huu ili miji mingine iweze kuanzishwa na kukua, miji gani? Miji waloitaka wao, miji waloipenda wao.

Kabla sijakubariana na wanahistoria hawa, ikabidi nitafute ni nini ushahidi wa hayo, nikajikuta nakutana na kauli ya "𝑺𝒊 𝒕𝒖 𝒌𝑲𝒊𝒍𝒘𝒂 𝒊𝒍𝒊𝒚𝒐𝒅𝒉𝒐𝒐𝒇𝒊𝒔𝒉𝒘 𝒊𝒔𝒊𝒆𝒏𝒅𝒆𝒍𝒆𝒆, 𝒍𝒂𝒂 𝒃𝒂𝒍𝒊 𝑴𝒊𝒌𝒐𝒂 𝒚𝒂 𝑲𝒖𝒔𝒊𝒏𝒊 𝒚𝒐𝒕𝒆.... 𝑴𝒇𝒂𝒏𝒐 𝑴𝒕𝒘𝒂𝒓𝒂 𝒊𝒍𝒊𝒕𝒐𝒍𝒆𝒘𝒂 𝑭𝒆𝒅𝒉𝒂 𝒏𝒂 𝒘𝒂𝒂𝒓𝒂𝒃𝒖 𝒑𝒂𝒌𝒂𝒋𝒆𝒏𝒈𝒘𝒆 𝑹𝒆𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒕𝒐𝒌𝒂 𝑵𝒂𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈𝒘𝒆𝒂 𝒉𝒂𝒅𝒊 𝑩𝒂𝒏𝒅𝒂𝒓𝒊𝒏𝒊 𝒏𝒂 𝒊𝒏𝒈𝒆𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒏𝒊 𝑹𝒆𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒏𝒛𝒂 𝑬.𝑨, 𝒍𝒂𝒌𝒊𝒏𝒊 𝑹𝒂𝒊𝒔 𝒂𝒍𝒊𝒌𝒂𝒕𝒂𝒂 na 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒅𝒂 𝒌𝒖𝒋𝒆𝒏𝒈𝒂 𝑯𝒐𝒔𝒑𝒊𝒕𝒂𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝑩𝒖𝒈𝒂𝒏𝒅𝒐 𝑴𝒘𝒂𝒏𝒛𝒂, 𝒉𝒊𝒊 𝒏𝒅𝒊𝒚𝒐 𝒉𝒊𝒔𝒕𝒐𝒓𝒊𝒂 𝒎𝒔𝒊𝒚𝒐𝒘𝒆𝒛𝒂 𝒌𝒖𝒋𝒍𝒊𝒋𝒖𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒏𝒂𝒏𝒚𝒊....." Huyu ni Hassan Ilunga Kapungu.

Wanahistoria ni wengi na ushahidi wao ni mwingi juu ya haya, Nilipata kusikiliza hata 𝙏𝙝𝙚 𝙨𝙩𝙤𝙧𝙮 𝙗𝙤𝙤𝙠 ya WCB ya Jamaal Mustafa (Profesa) iliyookuwa ikizungumza kuhusu Kilwa amabyo hii haikutaja 𝙣𝙞 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙠𝙞𝙡𝙞𝙪𝙛𝙖𝙣𝙮𝙖 𝙢𝙟𝙞 𝙝𝙪𝙪 𝙪𝙖𝙣𝙜𝙪𝙠𝙚? Bali iliishia tu kutaja Utukufu waHistoria yake na Utukufu wa Wakazi wake wa Zama zile.

Hapa nataka kujua 𝙉𝙞 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙪𝙣𝙖𝙠𝙞𝙟𝙪𝙖 𝙠𝙪𝙝𝙪𝙨𝙪 𝙢𝙟𝙞 𝙝𝙪𝙪 𝙬𝙖 𝙆𝙞𝙡𝙬𝙖? 𝙉𝙞 𝙠𝙬𝙚𝙡𝙞 𝙪𝙣𝙖𝙖𝙢𝙞𝙣𝙞 𝙪𝙡𝙞𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙈𝙩𝙖𝙠𝙖𝙩𝙞𝙛𝙪 𝙫𝙞𝙡𝙚 𝙪𝙩𝙖𝙟𝙬𝙖𝙫𝙮𝙤? Kama ndiyo, 𝙉𝙞 𝙠𝙞𝙥𝙞 𝙠𝙞𝙡𝙞𝙪𝙖𝙣𝙜𝙪𝙨𝙝𝙖?

𝙱𝚊𝚍𝚎𝚎'𝚞𝚣𝚊𝚊𝚖𝚊𝚗
View attachment 2464077
Ubaguzi wa uarabu na uchotara sio uafrika!!!!Huyo mwandishi kaandika maoni yake!!!!Pia nikujulishe tu waarabu hawakuwahi kuwapenda wabantu na popote walipotawala wabantu walikua daraja la chini vizazi mpaka vizazi!!!!Hivyo wazee wetu hawakuwahi kua na upendo na waarabu wala kitu chochote kinachowahusu!!!Sababu hata hao waarabu hawakuwahi kuwapenda wazee wetu!!!Chuki imerithishwa kwa vizazi vyote vya waarabu na machotara wa kiarabu na wwbantu
 
Nitajie mkoa mmoja tu uliokaliwa na waarabu ulioendelea! Hakuna!
Waarabu sijui walikua wanalaana gani kila walipokua wanaweka kituo cha makazi yao wakiondoka ndiyo bas!

Anzia bagamoyo kilwa kondoa na sehem nyingine zilizojaa uarabu hamna kitu!
Kabla. Ya waarabu kuja Afrika, hatukuwa na umaarufu wowote, hata Jina la Afrika ni la kiarabu إفرق . Mji mashuhuri Dares salaam ni Jina la kiarabu aliloubatiza muarabu دار السلام, wazungu walitukira tushaendelwa kitambo kwa msaada wa waarabu, iliwabidi wawazishie waarabu ili kubadili mind zetu tuwaone wabaya, wachache waliodanganyika wajafuata uzungu na wengune wakagoma akina, Songea Mbano, Mkwawa, n.k wakapambana na Mjerumani. Vita ya Mqjimaji ilikuwa ni Jihaad ya waislaamu dhidi ya Uzungu.

Sasa na wewe niambie Waarabu waliinua miji mingi kuwa maarufu ila ilidhoofishwa baada ya wao kwenda kwasababu ilikuwa miji ya waislamu na watawala walikuwa wakrusto baafa ta uhuru. Je ni mji gani ulikuzwa na wazungu?
 
Mimi mwenyewe ni mzaliwa wa Masasi na nimekulia pale wakati wa makuzi yangu nilipata kusikia kwamba ile reli iling'olewa na serikali ya mwl J.k Nyerere kwa sababu wanazojua wenyewe ila wananchi wanadai ni kutotaka tu mikoa ya kusini isiendelee yani ni kama chuki flani kana kwamba mikoa ya kusini sio ya Tanzania ila ni ya Msumbiji

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Hii ndiyo hoja yenye mashiko mpak sasa kk
 
Habari zenu wanaJF, natumahi hamjambo na kila mtu yupo zake vema katika kupambania kombe.

Leo kama mada inavyosema nilitaka nipate zaidi ya nikijuacho ikiwezekana nifute nilichonacho au niongezee kwacho kuhusiana na ni nini kiliufanya mji wa Kilwa kutoka katika Heshima yake na kurudi katika Dharau yake na kutokutamanika haswaa.

Historia inaonyesha wazi ukifika Kilwa kisiwani ukaangalia masalia ya Mijengo iliyokuwepo zama zile, utakubariana na 𝙄𝙗𝙣 𝘽𝙖𝙩𝙪𝙩𝙖 kuwa Kilwa lilikuwa Jiji.

Kuna Muda waislaamu wa Afrika walipaita Kilwa 𝗠𝗔𝗞𝗞𝗔 𝗬𝗔 𝗔𝗙𝗥𝗜𝗞𝗔 kutokana na Wingi na ukubwa wa Misikiti iliyokuwa imejengwa ikajengeka ndani ya Kilwa Kisiwani, ambayo mpaka leo inastaajabisha Foundation yake.

Hapo alipofika Ibn Batuta akasema, "𝐖𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡𝐢 (𝐧𝐚𝐚𝐩𝐚 𝐬𝐢𝐣𝐚𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐦𝐣𝐢 𝐦𝐳𝐮𝐮𝐫𝐢 𝐧𝐚 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐲𝐨𝐮𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐤𝐮𝐳𝐮𝐧𝐠𝐮𝐤𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐌𝐣𝐢 𝐡𝐮𝐮 𝐰𝐚 𝐊𝐢𝐥𝐰𝐚.... 𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐦𝐣𝐢 𝐡𝐮𝐮 𝐮𝐧𝐚 𝐮𝐬𝐭𝐚𝐚𝐫𝐚𝐛𝐮 𝐧𝐚 𝐡𝐞𝐬𝐡𝐢𝐦𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 ...."

Hiyo ni miaka ya 1880's leo hii Mimi hapa, wa miaka ya 2000's huwezi kunishawishi kukaa katika Kisiwa kile, si Mimi tu hata Ibn Batuta mwenyewe akifufuka hawezi kupasifia kwa namna hii tena.

Nilijaribu kufuatilia ni nini kilikuwa mpaka pakarudi chini kabisaa? Sikyona Labda kuna vita iliyotokea watu wakaukimbia mji wake, sikuona ugonjwa ulotokea, sikuona siasa chafu za maudhi kama za leo labda zikawakera wananchi wakauhama, badala yake, naliona 𝙐𝙙𝙞𝙣𝙞 𝙬𝙖 𝙫𝙞𝙤𝙣𝙜𝙤𝙯𝙞 walokuwepo zama zile, ubaguzi wa Uafrika na Uarabu (𝘼𝙛𝙧𝙖𝙗𝙞𝙖). Hivi ndivyo vinatajwa kwa wingi kiwa viliurudisha na kuuvurugavuruga mji huu ili miji mingine iweze kuanzishwa na kukua, miji gani? Miji waloitaka wao, miji waloipenda wao.

Kabla sijakubariana na wanahistoria hawa, ikabidi nitafute ni nini ushahidi wa hayo, nikajikuta nakutana na kauli ya "𝑺𝒊 𝒕𝒖 𝒌𝑲𝒊𝒍𝒘𝒂 𝒊𝒍𝒊𝒚𝒐𝒅𝒉𝒐𝒐𝒇𝒊𝒔𝒉𝒘 𝒊𝒔𝒊𝒆𝒏𝒅𝒆𝒍𝒆𝒆, 𝒍𝒂𝒂 𝒃𝒂𝒍𝒊 𝑴𝒊𝒌𝒐𝒂 𝒚𝒂 𝑲𝒖𝒔𝒊𝒏𝒊 𝒚𝒐𝒕𝒆.... 𝑴𝒇𝒂𝒏𝒐 𝑴𝒕𝒘𝒂𝒓𝒂 𝒊𝒍𝒊𝒕𝒐𝒍𝒆𝒘𝒂 𝑭𝒆𝒅𝒉𝒂 𝒏𝒂 𝒘𝒂𝒂𝒓𝒂𝒃𝒖 𝒑𝒂𝒌𝒂𝒋𝒆𝒏𝒈𝒘𝒆 𝑹𝒆𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒕𝒐𝒌𝒂 𝑵𝒂𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈𝒘𝒆𝒂 𝒉𝒂𝒅𝒊 𝑩𝒂𝒏𝒅𝒂𝒓𝒊𝒏𝒊 𝒏𝒂 𝒊𝒏𝒈𝒆𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒏𝒊 𝑹𝒆𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒏𝒛𝒂 𝑬.𝑨, 𝒍𝒂𝒌𝒊𝒏𝒊 𝑹𝒂𝒊𝒔 𝒂𝒍𝒊𝒌𝒂𝒕𝒂𝒂 na 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒅𝒂 𝒌𝒖𝒋𝒆𝒏𝒈𝒂 𝑯𝒐𝒔𝒑𝒊𝒕𝒂𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝑩𝒖𝒈𝒂𝒏𝒅𝒐 𝑴𝒘𝒂𝒏𝒛𝒂, 𝒉𝒊𝒊 𝒏𝒅𝒊𝒚𝒐 𝒉𝒊𝒔𝒕𝒐𝒓𝒊𝒂 𝒎𝒔𝒊𝒚𝒐𝒘𝒆𝒛𝒂 𝒌𝒖𝒋𝒍𝒊𝒋𝒖𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒏𝒂𝒏𝒚𝒊....." Huyu ni Hassan Ilunga Kapungu.

Wanahistoria ni wengi na ushahidi wao ni mwingi juu ya haya, Nilipata kusikiliza hata 𝙏𝙝𝙚 𝙨𝙩𝙤𝙧𝙮 𝙗𝙤𝙤𝙠 ya WCB ya Jamaal Mustafa (Profesa) iliyookuwa ikizungumza kuhusu Kilwa amabyo hii haikutaja 𝙣𝙞 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙠𝙞𝙡𝙞𝙪𝙛𝙖𝙣𝙮𝙖 𝙢𝙟𝙞 𝙝𝙪𝙪 𝙪𝙖𝙣𝙜𝙪𝙠𝙚? Bali iliishia tu kutaja Utukufu waHistoria yake na Utukufu wa Wakazi wake wa Zama zile.

Hapa nataka kujua 𝙉𝙞 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙪𝙣𝙖𝙠𝙞𝙟𝙪𝙖 𝙠𝙪𝙝𝙪𝙨𝙪 𝙢𝙟𝙞 𝙝𝙪𝙪 𝙬𝙖 𝙆𝙞𝙡𝙬𝙖? 𝙉𝙞 𝙠𝙬𝙚𝙡𝙞 𝙪𝙣𝙖𝙖𝙢𝙞𝙣𝙞 𝙪𝙡𝙞𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙈𝙩𝙖𝙠𝙖𝙩𝙞𝙛𝙪 𝙫𝙞𝙡𝙚 𝙪𝙩𝙖𝙟𝙬𝙖𝙫𝙮𝙤? Kama ndiyo, 𝙉𝙞 𝙠𝙞𝙥𝙞 𝙠𝙞𝙡𝙞𝙪𝙖𝙣𝙜𝙪𝙨𝙝𝙖?

𝙱𝚊𝚍𝚎𝚎'𝚞𝚣𝚊𝚊𝚖𝚊𝚗
View attachment 2464077
Miliki ya kilwawazungu
Kabla. Ya waarabu kuja Afrika, hatukuwa na umaarufu wowote, hata Jina la Afrika ni la kiarabu إفرق . Mji mashuhuri Dares salaam ni Jina la kiarabu aliloubatiza muarabu دار السلام, wazungu walitukira tushaendelwa kitambo kwa msaada wa waarabu, iliwabidi wawazishie waarabu ili kubadili mind zetu tuwaone wabaya, wachache waliodanganyika wajafuata uzungu na wengune wakagoma akina, Songea Mbano, Mkwawa, n.k wakapambana na Mjerumani. Vita ya Mqjimaji ilikuwa ni Jihaad ya waislaamu dhidi ya Uzungu.

Sasa na wewe niambie Waarabu waliinua miji mingi kuwa maarufu ila ilidhoofishwa baada ya wao kwenda kwasababu ilikuwa miji ya waislamu na watawala walikuwa wakrusto baafa ta uhuru. Je ni mji gani ulikuzwa na wazungu?
Wazungu walikuta waarabu ndio wameendelea sio wabantu!!!Wabantu kwa waarabu walikua vijakazi na watumwa!!!!Waarabu hawakuwahi kuwapenda wabantu mdogo wangu wanatutizama kama race(Rangi) ya jamii ya chini ya kutoa watumwa na vijakazi wa kuwazalishia machotara ili kuendeleza nasaba zao kwa manufaa yao!!!!Ndio maana hata wanaume wa kibantu kuoa mabibi wa kiarabu ilipigwa marufuku kwenye himaya zote za waarabu afrika!!!!Jitahidi usome historia ya wabantu mdogo wangu!!!!Weka udini pembeni tafuta ukweli kuhusu historia ya wabantu
 
Maendeleo huwa yanaletwa na elimu.

Huko kilwa mwarabu aliacha shule gani? Ama chuo gani cha elimu

Naomba mnitajie shule na chuo hata kimoja cha elimu dunia ambacho mwarabu alikijenga ?

Baada ya uhuru serikali ilitaifisha shule zote ziwe za uma.. nitajieni shule za serikali ambazo zilitaifishwa ambazo zilijengwa na waarab
 
Kabla. Ya waarabu kuja Afrika, hatukuwa na umaarufu wowote, hata Jina la Afrika ni la kiarabu إفرق . Mji mashuhuri Dares salaam ni Jina la kiarabu aliloubatiza muarabu دار السلام, wazungu walitukira tushaendelwa kitambo kwa msaada wa waarabu, iliwabidi wawazishie waarabu ili kubadili mind zetu tuwaone wabaya, wachache waliodanganyika wajafuata uzungu na wengune wakagoma akina, Songea Mbano, Mkwawa, n.k wakapambana na Mjerumani. Vita ya Mqjimaji ilikuwa ni Jihaad ya waislaamu dhidi ya Uzungu.

Sasa na wewe niambie Waarabu waliinua miji mingi kuwa maarufu ila ilidhoofishwa baada ya wao kwenda kwasababu ilikuwa miji ya waislamu na watawala walikuwa wakrusto baafa ta uhuru. Je ni mji gani ulikuzwa na wazungu?

Acha kupotosha kabisa. Unapotosha historia makusudi kabisa
 
Maendeleo huwa yanaletwa na elimu.

Huko kilwa mwarabu aliacha shule gani? Ama chuo gani cha elimu

Naomba mnitajie shule na chuo hata kimoja cha elimu dunia ambacho mwarabu alikijenga ?

Baada ya uhuru serikali ilitaifisha shule zote ziwe za uma.. nitajieni shule za serikali ambazo zilitaifishwa ambazo zilijengwa na waarab
Chuo cha Al qurayn ni chuo kikuu cha kwanza Afrika na kilijengwa miaka mingi kbla ya Oxford huko Timbuktu. Kilijengwa na mdada wa kiarabu Bi Fatma Al qurayn.

Papa wa kwanza alisoma Hpo.

Ukizungumza kuhusu elimu duniani, unazungumza wataalamu wa Kiislaamu, hivi hujuhi kuwa hata Algebra ni mahesabu ya Mr Aljibriy?
 
Hiko chuo ulichokitaja kiko kilwa ama Tanzania?

Hujasoma hoja yangu ina maneno gani ?

Tunaongelea Tanzania.. soma vizuri hoja yangu.

Baada ya kupata uhuru Serikali chini ya nyerere ilitaifisha shule za wakristo zilizojengwa na wakoloni wazungu mfano pugu , forodhani, mazengo etc

Nimeomba nitajiwe zilizotaifishwa ambazo zilijengwa na wakoloni wa arabu .. maana waarabu walikuja kututawala pia
 
Chuo cha Al qurayn ni chuo kikuu cha kwanza Afrika na kilijengwa miaka mingi kbla ya Oxford huko Timbuktu. Kilijengwa na mdada wa kiarabu Bi Fatma Al qurayn.

Papa wa kwanza alisoma Hpo.

Ukizungumza kuhusu elimu duniani, unazungumza wataalamu wa Kiislaamu, hivi hujuhi kuwa hata Algebra ni mahesabu ya Mr Aljibriy?

Mwaka gani ? hayo yalifanyika na papa wa kwanza ni nani? Yani ukristo ulioanza kabla ya uislam leo hii papa wa kwaasome chuo cha kiislamu. kaongopee wajinga wenzio madrasa
 
Hao watu wameshindwa wao wenyewe kujiletea maendeleo kwa sababu ya kuendekeza uchawi na ushirikina. Hospital ya Bugando haikujengwa na serikali
 
Hapo upotoshaji ni upi, 𝙍𝙚𝙡𝙞 𝙞𝙡𝙞𝙗𝙤𝙢𝙤𝙡𝙚𝙬𝙖 𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙪 𝙬𝙖𝙠𝙪𝙨𝙞𝙣𝙞 𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚𝙬𝙚, mbona kauli hii ni dhaifu sana, unataka useme Watu wa kusini ni wajinga wa kuchukia maendeleo kiasi hicho?
Je! Kama kweli usemayo, Serikali ilichukua hatua gani kwa watu hao? Au ilifurahi pia??

Nijibu wala usitangulize matusi vaa hekima
Waling'oa mataruma baada ya reli kuota nyasi na miti
 
Back
Top Bottom