Kilwa: Kutoka mji bora hadi magofu yasiyo na faida

Kilwa: Kutoka mji bora hadi magofu yasiyo na faida

Hii historia na source zake

When Portuguese explorer Vasco da Gama rounded the Cape and sailed into the Indian Ocean his arrival spelled the end of a period of peaceful trade and prosperous development that had characterized East Africa hitherto; he was the harbinger of a time of destruction and dislocation that was to weaken Swahili culture and make it ripe for domination by outsiders (Columbia Encyclopaedia 2004). In 1498 Vasco da Gama reached the Swahili coast where the Christian intruder's trading activities received a hostile reception from Muslim merchants. On his second voyage, in 1502, he was much reinforced and repaid previous opposition with great brutality. He forced tribute from Kilwa and harassed Muslim trading, plundering and destroying as he progressed up the coast. Francisco d'Almeida, who followed on Da Gama, captured and sacked Kilwa in 1505 and Sofala was seized and fortified. By 1506 the East African littoral was largely under Portugal's control (Columbia Encyclopaedia 2004, Jones 1998).

The Swahilis, for their part, were not equipped to deal with the aggressor. In the years of peace that proceeded Portugal's intrusion fortifications had been allowed to decay and military forces were reduced in numbers and in capability. With their relatively large, fast and well armed ships the Portuguese could besiege and bombard the coastal settlements into submission without any resistance. The small principalities were unable to coordinate a general resistance, nor were the wide variety of traders able to synchronise a defence of their trade. The coordinated attempt by Egyptian and Diu rulers to expel the Portuguese in 1509, and the Turkish efforts at stoking rebellion in the 1580s, were both smashed by the superior Portuguese artillery (Columbia Encyclopaedia 2004, Jones 1998).

Unlike their predecessors, the Portuguese did not come to trade so much as to plunder and extract. In line with the mercantilist thinking of their time, the goal was not to engage in building up mutual relations of exchange of benefit to both parties, but to "increase treasure" at the expense of the other; this they pursued with brutality and vigour. The effect of these activities was to disrupt the established trade routes that formed the basis for local prosperity; economic activity declined, settlement populations fell and people migrated to escape poverty and Portuguese rapacity. They did, however, introduce new South American crops, corn, manioc, cashew, tomato and tobacco, which were to be of enduring value (Columbia Encyclopaedia 2004).

In the mid and late 1580s the expanding Turkish Empire sent naval forces under Ali Bey to Mombasa to organise a Muslim resistance to Portuguese power (Jones 1998). The rebellion was suppressed in 1590 by a Portuguese fleet from Goa, in alliance with the Zimbas, a marauding band from the Zambezi area. The Zimbas had earlier, in 1589, sacked Kilwa and ravaged its unfortunate inhabitants. From then on the central African position in the Indian Ocean trade shifted from Kilwa to Zanzibar (Byrne undated). The Portuguese for their part began a massive fortification in Mombasa in 1593, to act as a bulwark against any further Turkish intrusions. Fort Jesus, as it was known, was completed in the 1630s (Jones 1998).

Portugal's involvement with the Thirty Years War (1618-48) distracted her from East Africa and consumed her resources. In this weakened condition a resurgent Oman was able expel the Portuguese from Muscat in 1650 under the leadership of Sultan bin Saif. Although Portuguese were able to retain dominance over the East African littoral for half a century, his son Saif bin Sultan laid the basis for the final expulsion of the Portuguese by building ties with the various Swahili communities (History World undated).

Kwa wasiojua kiingereza kiswahili kwa ufupi
-Eneo la Africa Mashariki kulikua na Amani kabla ya Wareno kuja
-Wareno hawakuwa wafanyabiashara walipokuja walikuwa wanavamia na kuiba mali za Wafanyabiashara hawakuwa wakinunua.
-Uturuki kusaidiana na Waisilamu wa huku walipigana na Mreno kumtoa wakapigwa
-Oman alifanikiwa Kumpiga Mreno Nchini kwake.
-Muunganiko wa Mu oman na Makabila ya kiswahili wakafanikiwa kumpiga Mreno na Kumtoa.

Hivyo Mu Oman hakupigana na Mreno peke yake alishirikiana na watu wa pwani, na watu wa Pwani walikuwa wanapigana na wareno miaka kibao sababu hao jawaa walikuwa wanafanya tu Plundering hawakuwa wakinunua waliua na kuiba tu.

Mimi nimeleta Ushahidi na Vitabu ambavyo historia imetoka huyo Columbus kila mtu anamjua na kitabu chake kinajulikana, Zamu yako tetea na wewe ulichokiongea kwa ushahidi
Hilo neno Swahili ni neno la kiarabu,maana yake ni Pwani.Ni mojawapo ya faida ya waarabu,kutuletea lugha ya kiswahili.
 
Kila kukicha kuwasema waarabu, na ndiomaana umaskini hauishi, yani kuna viumbe wanaishi kichukichuki na uhasama kwa jambo ambalo halikuwahi kufanywa na watu wema wenye kujitambua. Tena yatupasa kuwashukuru waarabu na uislamu kwa ujumla kutuletea ustaarabu na wengine wakatoka katika ujinga na kuingia katika dini yakweli.

Mungu awabariki sana hawa ndugu zetu katika imani,,aamiin

Ahsante, huo muda sina,,nipo bize na kuwa karibu na Mwenyezi Mungu, na uislamu ndio dini yangu,,,na Mwenyezi Mungu ametuusia tupendane na sio kuchukiana. Hayo yote tuliyoandikiwa kitabuni ya kuwachafua waarabu ni stori za kusadikika kwa maana hakuna ukweli wowote, hata ushahidi wa picha zenyewe hakuna.

Allah akuongoze na uijue haqqi
Nina wasiwasi na kiwango chako cha ubantu.Sisi wabantu hasa watoto tunaotoka koo za kichifu hatuna mwarabu mwema,tumepigana nao vita tokea zamani walipokua wanakuja kutafuta watumwa na pembe za ndovu na hatujawahi kua na urafiki nao tangia babu zetu mtemi Mbaayo,mtemi Nyamunge,Mtemi Hiyeru na mtemi Isike kwa upande wa kati na magharibi mwa himaya za babu zetu.Afu kuhusu huyo allah sisi wabantu hatumjui huyo bali tunamjua MUKAMA ndio mungu wetu.Ni mwiko kwetu kutukuza mila na desturi,imani na tamaduni za waarabu na wazungu na watu wote wenye ngozi za rangi ya pinki.Kama unawashukuru washukuru wewe ila sio sisi watoto wa koo za machifu.
 
Kila kukicha kuwasema waarabu, na ndiomaana umaskini hauishi, yani kuna viumbe wanaishi kichukichuki na uhasama kwa jambo ambalo halikuwahi kufanywa na watu wema wenye kujitambua. Tena yatupasa kuwashukuru waarabu na uislamu kwa ujumla kutuletea ustaarabu na wengine wakatoka katika ujinga na kuingia katika dini yakweli.

Mungu awabariki sana hawa ndugu zetu katika imani,,aamiin

Ahsante, huo muda sina,,nipo bize na kuwa karibu na Mwenyezi Mungu, na uislamu ndio dini yangu,,,na Mwenyezi Mungu ametuusia tupendane na sio kuchukiana. Hayo yote tuliyoandikiwa kitabuni ya kuwachafua waarabu ni stori za kusadikika kwa maana hakuna ukweli wowote, hata ushahidi wa picha zenyewe hakuna.

Allah akuongoze na uijue haqqi
Sisi wabantu tuna dini zetu walizotuachia babu zetu.Kama unawashukuru basi uwashukuru wewe na jamii yako.Sisi tunaotoka koo za kichifu za kibantu tuna utamaduni wetu hatuwezi kuwashukuru wageni.Babu zetu ni bora kuliko mtu yoyote yule na mungu wetu MUKAMA ni bora zaidi kuliko huyo mungu wa kiarabu.
 
Kila kukicha kuwasema waarabu, na ndiomaana umaskini hauishi, yani kuna viumbe wanaishi kichukichuki na uhasama kwa jambo ambalo halikuwahi kufanywa na watu wema wenye kujitambua. Tena yatupasa kuwashukuru waarabu na uislamu kwa ujumla kutuletea ustaarabu na wengine wakatoka katika ujinga na kuingia katika dini yakweli.

Mungu awabariki sana hawa ndugu zetu katika imani,,aamiin

Ahsante, huo muda sina,,nipo bize na kuwa karibu na Mwenyezi Mungu, na uislamu ndio dini yangu,,,na Mwenyezi Mungu ametuusia tupendane na sio kuchukiana. Hayo yote tuliyoandikiwa kitabuni ya kuwachafua waarabu ni stori za kusadikika kwa maana hakuna ukweli wowote, hata ushahidi wa picha zenyewe hakuna.

Allah akuongoze na uijue haqqi
allah ni mungu wa waarabu hawezi kuniongoza mimi mbantu asilia.Mimi nitaongozwa na mizimu ya Babu yangu Ntare lushasi Ntare kilembwe cha mtemi Ntare wa unyamboni alietokana na mwina wa mtemi Isike na vizazi vya wahima na watusi na wanyankole na mwina wa buhayani.
 
Mwenyezi Mungu sio tu wa waarabu, bali ni Mola wa walimwengu wote👇

Al-Fatiha(The Opening)

-1-
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.

-2-
الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;

-3-
الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;

-4-
مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ
Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.

_5-
إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.

-6-
اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ
Tuongoe njia iliyo nyooka,

-7-
صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ
Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.
 
Hapana huyo ni mungu wa waarabu na anatumia lugha yao ya kiarabu!!!Mbona hujaandika kinyamwezi umeandika kiarabu na unatamka maneno ya kiarabu?????.Na hata aliyeipromote hiyo imani mnamuita mtume ni mwarabu na mnasali kiarabu.Sisi wabantu tunasali kwa lugha zetu hatuwezi kumwamini mungu wa waarabu.Tuna mungu wetu anaitwa kwa majina tofauti ya lugha zetu za kibantu na sio huyo unaesema ndugu yangu.Mimi natokea koo za machifu wa kibantu siamini imani na miungu ya wazungu,waarabu au wayahudi.
 
Angekua mungu wetu wabantu asingetumia kiarabu.Kila kitu anatumia kiarabu basi huyo ni wazi ni mungu wa watu wa jamii za kiarabu.Ni sawa na wayahudi walivyo na mungu wao anaitwa Eli-Shadai au Yehova.Nadhani umenielewa ndugu yangu
 
Za vijiwenu kwetu ni kwamba nyerere ndiye aliyeamua kufubaisha pwani na sio wananchi.
We chukulia kama magu amejenga magufuli city dodoma na kuweka njia nne mitaa yote halafu dar aliiacha ikinyauka.impact yake ingeonekana miaka ya baadae.
 
Hapana huyo ni mungu wa waarabu na anatumia lugha yao ya kiarabu!!!Mbona hujaandika kinyamwezi umeandika kiarabu na unatamka maneno ya kiarabu?????.Na hata aliyeipromote hiyo imani mnamuita mtume ni mwarabu na mnasali kiarabu.Sisi wabantu tunasali kwa lugha zetu hatuwezi kumwamini mungu wa waarabu.Tuna mungu wetu anaitwa kwa majina tofauti ya lugha zetu za kibantu na sio huyo unaesema ndugu yangu.Mimi natokea koo za machifu wa kibantu siamini imani na miungu ya wazungu,waarabu au wayahudi.

Nimeshakuambia Mwenyezi Mungu sio wa waarabu pekee, bali ni Mola wa walimwengu wote, sasa nini huelewi!!

Sisi wabantu tunasali kwa lugha zetu hatuwezi kumwamini mungu wa waarabu.Tuna mungu wetu anaitwa kwa majina tofauti ya lugha zetu za kibantu na sio huyo unaesema ndugu yangu.Mimi natokea koo za machifu wa kibantu siamini imani na miungu ya wazungu,waarabu au wayahudi.
👇
Sisi wabantu tunasali kwa lugha zetu hatuwezi kumwamini mungu wa waarabu
Jisemee peke yako na sio wote
 
Habari zenu wanaJF, natumai hamjambo na kila mtu yupo zake vema katika kupambania kombe.

Leo kama mada inavyosema nilitaka nipate zaidi ya nikijuacho ikiwezekana nifute nilichonacho au niongezee kwacho kuhusiana na ni nini kiliufanya mji wa Kilwa kutoka katika Heshima yake na kurudi katika Dharau yake na kutokutamanika haswaa.

Historia inaonyesha wazi ukifika Kilwa kisiwani ukaangalia masalia ya Mijengo iliyokuwepo zama zile, utakubariana na 𝙄𝙗𝙣 𝘽𝙖𝙩𝙪𝙩𝙖 kuwa Kilwa lilikuwa Jiji.

Kuna Muda waislaamu wa Afrika walipaita Kilwa 𝗠𝗔𝗞𝗞𝗔 𝗬𝗔 𝗔𝗙𝗥𝗜𝗞𝗔 kutokana na Wingi na ukubwa wa Misikiti iliyokuwa imejengwa ikajengeka ndani ya Kilwa Kisiwani, ambayo mpaka leo inastaajabisha Foundation yake.

Hapo alipofika Ibn Batuta akasema, "𝐖𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡𝐢 (𝐧𝐚𝐚𝐩𝐚 𝐬𝐢𝐣𝐚𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐦𝐣𝐢 𝐦𝐳𝐮𝐮𝐫𝐢 𝐧𝐚 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐲𝐨𝐮𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐤𝐮𝐳𝐮𝐧𝐠𝐮𝐤𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐌𝐣𝐢 𝐡𝐮𝐮 𝐰𝐚 𝐊𝐢𝐥𝐰𝐚.... 𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐦𝐣𝐢 𝐡𝐮𝐮 𝐮𝐧𝐚 𝐮𝐬𝐭𝐚𝐚𝐫𝐚𝐛𝐮 𝐧𝐚 𝐡𝐞𝐬𝐡𝐢𝐦𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 ...."

Hiyo ni miaka ya 1880's leo hii Mimi hapa, wa miaka ya 2000's huwezi kunishawishi kukaa katika Kisiwa kile, si Mimi tu hata Ibn Batuta mwenyewe akifufuka hawezi kupasifia kwa namna hii tena.

Nilijaribu kufuatilia ni nini kilikuwa mpaka pakarudi chini kabisaa? Sikyona Labda kuna vita iliyotokea watu wakaukimbia mji wake, sikuona ugonjwa ulotokea, sikuona siasa chafu za maudhi kama za leo labda zikawakera wananchi wakauhama, badala yake, naliona 𝙐𝙙𝙞𝙣𝙞 𝙬𝙖 𝙫𝙞𝙤𝙣𝙜𝙤𝙯𝙞 walokuwepo zama zile, ubaguzi wa Uafrika na Uarabu (𝘼𝙛𝙧𝙖𝙗𝙞𝙖). Hivi ndivyo vinatajwa kwa wingi kiwa viliurudisha na kuuvurugavuruga mji huu ili miji mingine iweze kuanzishwa na kukua, miji gani? Miji waloitaka wao, miji waloipenda wao.

Kabla sijakubariana na wanahistoria hawa, ikabidi nitafute ni nini ushahidi wa hayo, nikajikuta nakutana na kauli ya "𝑺𝒊 𝒕𝒖 𝒌𝑲𝒊𝒍𝒘𝒂 𝒊𝒍𝒊𝒚𝒐𝒅𝒉𝒐𝒐𝒇𝒊𝒔𝒉𝒘 𝒊𝒔𝒊𝒆𝒏𝒅𝒆𝒍𝒆𝒆, 𝒍𝒂𝒂 𝒃𝒂𝒍𝒊 𝑴𝒊𝒌𝒐𝒂 𝒚𝒂 𝑲𝒖𝒔𝒊𝒏𝒊 𝒚𝒐𝒕𝒆.... 𝑴𝒇𝒂𝒏𝒐 𝑴𝒕𝒘𝒂𝒓𝒂 𝒊𝒍𝒊𝒕𝒐𝒍𝒆𝒘𝒂 𝑭𝒆𝒅𝒉𝒂 𝒏𝒂 𝒘𝒂𝒂𝒓𝒂𝒃𝒖 𝒑𝒂𝒌𝒂𝒋𝒆𝒏𝒈𝒘𝒆 𝑹𝒆𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒕𝒐𝒌𝒂 𝑵𝒂𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈𝒘𝒆𝒂 𝒉𝒂𝒅𝒊 𝑩𝒂𝒏𝒅𝒂𝒓𝒊𝒏𝒊 𝒏𝒂 𝒊𝒏𝒈𝒆𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒏𝒊 𝑹𝒆𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒏𝒛𝒂 𝑬.𝑨, 𝒍𝒂𝒌𝒊𝒏𝒊 𝑹𝒂𝒊𝒔 𝒂𝒍𝒊𝒌𝒂𝒕𝒂𝒂 na 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒅𝒂 𝒌𝒖𝒋𝒆𝒏𝒈𝒂 𝑯𝒐𝒔𝒑𝒊𝒕𝒂𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝑩𝒖𝒈𝒂𝒏𝒅𝒐 𝑴𝒘𝒂𝒏𝒛𝒂, 𝒉𝒊𝒊 𝒏𝒅𝒊𝒚𝒐 𝒉𝒊𝒔𝒕𝒐𝒓𝒊𝒂 𝒎𝒔𝒊𝒚𝒐𝒘𝒆𝒛𝒂 𝒌𝒖𝒋𝒍𝒊𝒋𝒖𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒏𝒂𝒏𝒚𝒊....." Huyu ni Hassan Ilunga Kapungu.

Wanahistoria ni wengi na ushahidi wao ni mwingi juu ya haya, Nilipata kusikiliza hata 𝙏𝙝𝙚 𝙨𝙩𝙤𝙧𝙮 𝙗𝙤𝙤𝙠 ya WCB ya Jamaal Mustafa (Profesa) iliyookuwa ikizungumza kuhusu Kilwa amabyo hii haikutaja 𝙣𝙞 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙠𝙞𝙡𝙞𝙪𝙛𝙖𝙣𝙮𝙖 𝙢𝙟𝙞 𝙝𝙪𝙪 𝙪𝙖𝙣𝙜𝙪𝙠𝙚? Bali iliishia tu kutaja Utukufu waHistoria yake na Utukufu wa Wakazi wake wa Zama zile.

Hapa nataka kujua 𝙉𝙞 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙪𝙣𝙖𝙠𝙞𝙟𝙪𝙖 𝙠𝙪𝙝𝙪𝙨𝙪 𝙢𝙟𝙞 𝙝𝙪𝙪 𝙬𝙖 𝙆𝙞𝙡𝙬𝙖? 𝙉𝙞 𝙠𝙬𝙚𝙡𝙞 𝙪𝙣𝙖𝙖𝙢𝙞𝙣𝙞 𝙪𝙡𝙞𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙈𝙩𝙖𝙠𝙖𝙩𝙞𝙛𝙪 𝙫𝙞𝙡𝙚 𝙪𝙩𝙖𝙟𝙬𝙖𝙫𝙮𝙤? Kama ndiyo, 𝙉𝙞 𝙠𝙞𝙥𝙞 𝙠𝙞𝙡𝙞𝙪𝙖𝙣𝙜𝙪𝙨𝙝𝙖?

𝙱𝚊𝚍𝚎𝚎'𝚞𝚣𝚊𝚊𝚖𝚊𝚗
View attachment 2464077
Ibn batuta alipita kilwa 1300s na si 1800s
 
allah ni mungu wa waarabu hawezi kuniongoza mimi mbantu asilia.Mimi nitaongozwa na mizimu ya Babu yangu Ntare lushasi Ntare kilembwe cha mtemi Ntare wa unyamboni alietokana na mwina wa mtemi Isike na vizazi vya wahima na watusi na wanyankole na mwina wa buhayani.
Mizimu ni kitu gani!?
 
Hiyo laana umeitoa wapi? Au ndio vijiwe vya kahawa mkuu!

Acha wivu aise, jiji la dar lina waarabu/waislamu wengi kuliko jiji/mkoa wowote Tanzania, je! na dar hapaendelei? Acha ubaguzi, acha roho za hivyo mkuu, hebu jitathmini upya kabla hujacomenti.
Sio kweli.bali walipoondoka na baraka zikaondoka.biashara hazifanyiki kwa uaminifu kama walivokuwa wao.riba,ukipewa mali unaiba. Bagamoyo ndio ilikua dar res salaam ya leo. Ila ipo wap? Kulikua na matajir wakubwa wakubwa hapo.mfano mzee Sewa Hajj Paroo.huyo alikua tajiri mkubwa sana,nadhan unaona hilo jina. Wahindi walijaa Bagamoyo
Ilikua makampuni makubwa ya wahindi mfano Karimjee Jivanjee alikua ana ofisi maeneo prominent kama vile , Hq zanzibar, branches ni Bagamoyo,Mikindani,tanga na lindi.kama wewe mtu wa history utajua hio miji ilistawi vip. Ila walipoondoka baada ya fitina na biashara kubadilika ndio hatimaye magofu. Kilwa kivinje kulijaa waarabu.bagamoyo napo.mmeachwa waswahel biashara zinakufa kwanza maskin pili biashara hazina tena uaminifu. Angalau mji mkongwe zanzibar still una survive maana kule ukweli kwenye biashara upo bado. Mpemba akikwambia kitu fulan bei hii na hakina matatizo na kingine atakwambia hiki bei hii ila kina kasoro hii na hii kama upo radhi sawa.ukweli huo wabara upo? Mtu tena ndio atakuficha kibovu ili kikakufie mbele.unadhan miji itabaki.??
 
Nitajie mkoa mmoja tu uliokaliwa na waarabu ulioendelea! Hakuna!

Waarabu sijui walikua wanalaana gani kila walipokua wanaweka kituo cha makazi yao wakiondoka ndiyo bas!

Anzia bagamoyo kilwa kondoa na sehem nyingine zilizojaa uarabu hamna kitu!
Sio kweli.bali walipoondoka na baraka zikaondoka.biashara hazifanyiki kwa uaminifu kama walivokuwa wao.riba,ukipewa mali unaiba. Bagamoyo ndio ilikua dar res salaam ya leo. Ila ipo wap? Kulikua na matajir wakubwa wakubwa hapo.mfano mzee Sewa Hajj Paroo.huyo alikua tajiri mkubwa sana,nadhan unaona hilo jina. Wahindi walijaa Bagamoyo
Ilikua makampuni makubwa ya wahindi mfano Karimjee Jivanjee alikua ana ofisi maeneo prominent kama vile , Hq zanzibar, branches ni Bagamoyo,Mikindani,tanga na lindi.kama wewe mtu wa history utajua hio miji ilistawi vip. Ila walipoondoka baada ya fitina na biashara kubadilika ndio hatimaye magofu. Kilwa kivinje kulijaa waarabu.bagamoyo napo.mmeachwa waswahel biashara zinakufa kwanza maskin pili biashara hazina tena
 
Waeleze mkuu, watu walikua wanafanya biashara halali ndiomaana kuliendelea/waliendelea.
 
Waeleze mkuu, watu walikua wanafanya biashara halali ndiomaana kuliendelea/waliendelea.
Namshangaa saana aanaposema sehem walizokaa waarabu walivoondoka zinakufa
Sababu ya kufa ni kwamba waliobak hawakuendesha baishara kwa uaminifu. Leo mtu anataka akuibie ilihali wewe unampa pesa yeye anakupa hiyana, miji gani itaendelea.ukifanya biashara na ukawa muapiaji mkubwa kwamba hichi nachouza nimekipata kwa bei hii na mim nakuuzia kwa bei hii tena hakiamung sipati chcochte kumbe uongo.bas jua biashara yako haitakua na faida na utapata rizk yako ya kula tu wala hutaweza kue delea.
 
Kweli kabisa mkuu
 
Nitajie mkoa mmoja tu uliokaliwa na waarabu ulioendelea! Hakuna!

Waarabu sijui walikua wanalaana gani kila walipokua wanaweka kituo cha makazi yao wakiondoka ndiyo bas!

Anzia bagamoyo kilwa kondoa na sehem nyingine zilizojaa uarabu hamna kitu!
Kweli mkuu,sijui waarabu wanadumaza sana akili jamani.
 
Kilwa ilikuwa hadi na fedha yake. Hata Ibn Batuta pamoja na kuzunguka miji yote lakini alistaajabishwa mno na ustawi wa mji wa kilwa.
 
Back
Top Bottom