baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Kwanini Sasa Waarabu walikubali kufa kuwapigania wa Africa? Ukumbuke baada ya wareno kuwatesa Sana wabantu ukanda wetu huu ni muarabu aliyemwaga damu yake kuwatetea wabantu, vita vimepiganwa pwani yote hii na Fort Jesus ni Ushahidi uliobakia.Miliki ya kilwawazungu
Wazungu walikuta waarabu ndio wameendelea sio wabantu!!!Wabantu kwa waarabu walikua vijakazi na watumwa!!!!Waarabu hawakuwahi kuwapenda wabantu mdogo wangu wanatutizama kama race(Rangi) ya jamii ya chini ya kutoa watumwa na vijakazi wa kuwazalishia machotara ili kuendeleza nasaba zao kwa manufaa yao!!!!Ndio maana hata wanaume wa kibantu kuoa mabibi wa kiarabu ilipigwa marufuku kwenye himaya zote za waarabu afrika!!!!Jitahidi usome historia ya wabantu mdogo wangu!!!!Weka udini pembeni tafuta ukweli kuhusu historia ya wabantu
Vitabu vyote nilivyosoma hadi vya wazungu vinaonesha Sultan hakuwa na lengo la kutawala ndio Maana alishirikiana na Tawala alizozikuta, wachaga, Buganda, Yao na makabila kibao walifanya biashara na Waarabu as Equal,
Kilwa na Himaya ya Zanzibar ilikuwa ni Himaya ya kibiashara, Politics zote walifanya local wenyewe hakuna mwarabu aliemforce local chief kufuata matakwa yao, ndio Maana Buganda ama wachaga hadi leo Hawana Culture ya kiarabu japo Wali interact.
Anway si Expect positivity toka kwako Maana 99% ya brain yako Inaendeshwa na chuki