Kilwa: Kutoka mji bora hadi magofu yasiyo na faida

Kilwa: Kutoka mji bora hadi magofu yasiyo na faida

Nitajie mkoa mmoja tu uliokaliwa na waarabu ulioendelea! Hakuna!

Waarabu sijui walikua wanalaana gani kila walipokua wanaweka kituo cha makazi yao wakiondoka ndiyo bas!

Anzia bagamoyo kilwa kondoa na sehem nyingine zilizojaa uarabu hamna kitu!
Lakini Waarabu hao hao ndo Leo wanakuja kuwekeza huku! Na pia Mfano UK kwenye Kila paund 100,iliyowekezwa UK,Waarabu wamewekeza paund 24! Sa utasemaje Waarabu wanashida! Kuna namna ilifanyika ku irudisha nyuma Miji ya Kiarabu!
 
Hakuna namna yoyote iliyorudisha nyuma miji ya waarabu.

Shida waarabu hawakujenga shule za elimu dunia katika miji waliyokaa.

Fikiria Waislam wasomi wa mwanzo mwanzo kama kikwete, Yusuffu makamba wamesoma shule za kanisa.

Imagine Shule ya kwanza Zanzibar ambapo wamesoma kina karume, mama samia ilianzishwa na waingereza huku sultan wa zanzibar mwaarabu katawala miaka kibao lakini hakujenga shule mpaka waingereza walipokuja kuwajengea

Waarabu wamefanya jamii kubwa ya waislam wa Tanzania wabaki maskini sababu hawakuwajengea shule za elimu dunia zaidi ya madrassa tu
 
Nitajie mkoa mmoja tu uliokaliwa na waarabu ulioendelea! Hakuna!

Waarabu sijui walikua wanalaana gani kila walipokua wanaweka kituo cha makazi yao wakiondoka ndiyo bas!

Anzia bagamoyo kilwa kondoa na sehem nyingine zilizojaa uarabu hamna kitu!
hata kule pangani Tanga , hakuna maendeleo kabisa NI vijumba vya zamani vimechoka walivyoacha waarabu Hadi leo , yaani kupo kimya Sana .
 
Back
Top Bottom