Kilwa Lindi: Miaka 30 jela kwa kukiri kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

Ushahidi wa maneno hautoshi
Sasa km ushahidi utakana, hiyo mahakama itatumia shera ipi? Km hakuingiliwa na juma wala John, means aliji ingilia mwenyewe, je sheria inasema nn kuhusu kujiingilia mwenyewe??

Usidhani hapa tunacheza, tunajadili suala mtambuka, ndo maana nakuambia case ya ushoga kuna mapungufu na madhaifu mengi.

Unajua kwann case ya afande Rama had leo inasumbua???
 
Kipimo cha shoga ni shimo kipimo cha basha unapima nini
 
Back
Top Bottom