Kilwa Masoko, Lindi: Zaidi ya Tani moja ya Dawa za Kulevya yakamatwa

Huu mzigo ukiuzwa tunaweza kuimaliza SGR,na kumaliza madeni ya ATCL,
Miaka ya 70,CIA ilikuwa inaingiza madawa ya kulevya USA,ikishirikiana na Drug cartels,pesa iliyopatikana ilitumika kugharamia vita latin america,cambodia,Vietnam,
Huu mzigo tuuingize kitaa,hata nchi jirani,watahathitika watu wachache lakini,mapato yatakayopatikana,nchi itafaidika.
 
Price ya huo mzigo hata Bombardier moja hainunui sembuse Sgr kuwa serious ndugu.
 
Unataka kumaliza nguvu kazi ya taifa (vijana)!!?

Impact yake after some years kwa taifa unaiona lakini!???

Don't say that shit again.

Huu mzigo ukiuzwa tunaweza kuimaliza SGR,na kumaliza madeni ya ATCL,

Huu mzigo tuuingize kitaa,hata nchi jirani,watahathitika watu wachache lakini,mapato yatakayopatikana,nchi itafaidika.
 
Biashara ya handsome wa taifa. Anyway, tusubiri tuone mazezeta wanavyoongezeka mtaani.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Huku ni kumpima Sa100.......yani saizi wanakuja tu wanaona kama nchi haina uongozi vile......Mama Sa100 waonyeshe hawa wajinga
Hii ni serikali ya awamu ya sita bila uchaguzi. Mambo ni ruksa. Ukiona hadi Jakaya anahudhuria hotuba ya mama bungeni ujue mambo ni moto. Hakuwahi kuhudhuria hotuba za Magu zote.

Jiulize kulikoni.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kazi imeanza,"mimi ni Rais mwenye jinsia ya like"
 
Nimeangalia hayo majina ya wapambanaji na mwezi huu mtukufu ni aibu kusafirisha biashara ya aina hiyo
Hata hapa East Africa- wa iman hiyo wanabidii katika magendo hayo
 
Huenda ngada yaletwa ili kudonea uchaguzi ujao
 
ACHA UNAFIKI,KWANI WAKATI WA MAGUFULI HUKO KWENU MATEJA YALITOWEKA?,JIBU MATEJA YALIKUWEPO,JE WALIKUWA WANAVUTA NINI?,NA JE WALIUPATA WAPI?
 
Huo mzigo una ukakasi mkubwa sana kupata tafsiri yake, Jeshi letu liwe makini sana huko Kusini mwa nchi. Kuna kitu naona kimeguswa pabaya. Huo mzigo nadhani ulikuwa ni wa Palma kwenda Dizonga na pesa irudi Palma kuendeleza mapambano.
 
Maamaa mamaaa mama huyo mamma huyo eeh mama huyo mamma.
Mkwere anarudisha majeshi kwa kasi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…