Kilwa Masoko, Lindi: Zaidi ya Tani moja ya Dawa za Kulevya yakamatwa

Kilwa Masoko, Lindi: Zaidi ya Tani moja ya Dawa za Kulevya yakamatwa

Gari la uwizi toka ulaya unalisafirishaje I mean document zake unazipataje ili waweze kulitoa bandarini
Dahh aisee gari kibao zilikamatwa Uganda kutoka uingereza document kwenye rushwa uliza kingine unadhani gari zinatokaje SA na document sahihi kama sio rushwa mimi nimeona mwenyewe gari zikipokelewa canteen hapo Hong Kong zikipokelewa kutoka Japan zingine zinauzwa hivyo hivyo zingine zinatengenezwa karatasi zinasafirishwa Afrika...
 
Cabo Dalgado nini kwa magaidi?
Magaidi wameharibu dili itakua nao wanapora nilisikia wakisema wauza sumu nao wanakua na boti zao wanaenda kupokea mizigo yao huko huko baharini na yupo mshkaji mmoja wa bagamoyo aliwahi kuishi Cape Town waliwahi mzamisha na jiwe alikua mzurumati sana walipoenda kupokea mzigo wakamfunga kamba na jiwe wakamtupa mpaka kesho ajaonekana...
 
Kwenye trillion 2 we huwezi risk mzee! 1 Billion USD usiichukulie poa
Sehemu ya kula kichwa mimi sipotezi uhai kwa kiasi chochote cha fedha mkuu nimepoteza washkaji kibao walioenda China miaka hiyo ningekua na tamaa hizo kitambo nami wangekula kichwa...tena kipindi hicho kabla ya ugaidi ilikua kupita free hapo ni sawa na kwenda kuchukua hela zilizofungwa kwenye mkia wa chui...
 
Sehemu ya kula kichwa mimi sipotezi uhai kwa kiasi chochote Cha fedha nimepoteza washkaji kibao walioenda China miaka hiyo ningekua na tamaa hizo kitambo nami wangekula kichwa...tena kipindi hicho kabla ya ugaidi ilikua kupita free...
Dah ni noma mzee ila hizi deal unatakiwa upige mshindo mmoja kisha una Exit
 
Tena zile nchi zenye sheria kali ukikamatwa na unga hadi kunyongwa bei yake inakuwa juu..watu walivyowabishi bado wanaingiza
Achana na china, kna nchi kama indonesia na Malaysia wanasheria kali sanaaa lakini bado watu wanapeleka huko

Ova

HIYO ISIWE SABABU YA SISI KUTOKUTOA HUKUMU PENGINE KALI ZAIDI KULIKO HAO ULIWATAJA HASA HASA KWASABABU SIE NI MASIKINI HAWA WANAKUJA KUTUHALIBIA MALIASILI YETU YA NGUVU KAZI TUNAYOITEGEMEA!!
 
Sasa hiv wameshaanza kujitutumia hata magu hajaoza. Ipo sku watanzania tutakaa tutalia na kusaga meno tukitaman magu afufuke ila haiwezekani, hii ni trailer tu

Wanasema magu aliku dictator lakin Naona udikteta wake ulikua na manufaa sana nchi ilikua na ustaarabu na adabu
ustraarabu wa kupiga risasi mbunge dodoma
 
Dah ni noma mzee ila hizi deal unatakiwa upige mshindo mmoja kisha una Exit
Hao wahuni walisema nao wanapiga mshindo mmoja tuu kwani walirudi si bora unapata kidogo kidogo na maisha yanaenda washkaji wameacha familia zao mke na watoto wanaowapenda kwa mshindo mmoja China...
 
Hao wahuni walisema nao wanapiga mshindo mmoja tuu kwani walirudi si bora unapata kidogo kidogo na maisha yanaenda washkaji wameacha familia zao mke na watoto wanaowapenda kwa mshindo mmoja China...
Wamekula nondo au washapigwa “Deathrow”?
 
China kwa wamarekani,Canada na UK wanafungwa kwa sababu biashara zao zingine ziende sawa Afrika wanakula kichwa hata nafasi ya kuvuta sigara hupewi...
Duh kwahio mmbongo unakula umeme chapu!? Aisee sio poa so yule Jack Cliff atakuwa ameshakula kamba tayari?
 
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na kikosi cha wana maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania wamekamata zaidi ya tani mbili ya dawa za kulevya aina ya Heroin.

Kazi iendelee,naona wauza unga wanajaribu kupima upepo,pongezi kwa serikali ya awamu ya sita

======

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na kikosi cha wanamaji cha JWTZ imewakamata watu saba wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zaidi ya tani moja kwa kutumia jahazi. Dawa hizo zimekamtwa eneo la Kilwa Masoko mkoani Lindi.

View attachment 1762634View attachment 1762635View attachment 1762636
Aiseee...!!!!
 
Amna namzungumzia yule mchumba wa kwenye kideo cha She Gotta Gwan 😎
Aah ok poa poa hao watu sio poa wana mashine za x-ray zinakukagua mpaka mzigo bila hata kujua wachina ukiwa huna kitu utapita hata mara mia utaenda na mzigo wakiamua wanakuacha hata trip mbili ya tatu wakikudaka wanakupa na video za nyuma unabaki kushangaa tuu...
 
Aah ok poa poa hao watu sio poa wana mashine za x-ray zinakukagua mpaka mzigo bila hata kujua wachina ukiwa huna kitu utapita hata mara mia utaenda na mzigo wakiamua wanakuacha hata trip mbili ya tatu wakikudaka wanakupa na video za nyuma unabaki kushangaa tuu...
Kudadadeki
 
Kudadadeki
Na kila abiria anaangaliwa na mtu mmoja yupo camera room toka unatoka kwenye ndege mpaka unaenda kugonga passport na unaenda kuchukua beg lako kwenye mkanda hapo sasa ndio zegere linapoanzia....mkuu wacha niuze karanga tuu huko nimepoteza washkaji kibao wengine hata huku SA walijiingiza walikua na mali kibao sasa hivi wachimba chumvi tuu hata mali walizonunua bongo ziliuzwa kufidia madeni maana biashara hiyo kukopeshwa mzigo wa laki tano usd au milion ni kawaida tuu...
 
Madawa yaliyo kamatwa yachomwe moto hadharani kuokoa nguvu kazi ya taifa.
Ni maeneo gani ya ajira yako wazi, yanakosa watu, kwa sababu potential labor force imegeuka mateja wa madawa ya kulevya na kupotea kwa nguvu kazi ya Taifa?
 
Back
Top Bottom