Kilwa Masoko, Lindi: Zaidi ya Tani moja ya Dawa za Kulevya yakamatwa

Walikuwa wanapotea bila kukamatwa??
 
Hao kipindi cha Magu walikuwa hawakamatwi, mama kaanza kazi kwa kishindo hakuna jiwe litaacha kuguswa
 
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na kikosi cha wanamaji cha JWTZ imewakamata watu saba wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zaidi ya tani moja kwa kutumia jahazi. Dawa hizo zimekamtwa eneo la Kilwa Masoko mkoani Lindi.


 
Source ya Habari?????????.. Kama hii haina source basi sio habari bali ni[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…