peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mambo yameanza,baada ya JPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikua hawakamatwi ndio, walikua wanapotezwa.Hao kipindi cha Magu walikuwa hawakamatwi, mama kaanza kazi kwa kishindo hakuna jiwe litaacha kuguswa
Ndio wanaonesha hivyo...Wapakistan Hawa usikute
Pakistan si ndio shambani mkuu.Popote utakapo muona mpakistani juwa anauza unga.Hamna mpakistani dunia asiyeuza unga hata kama kafungua viwanda dunia mzima ila unga lazma auze.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Umachaga unakusumbua mkuu,huoni hiyo picha inaonesha source ya habari mkuu?Hajaweka source ya habari yake achana nae!
Mizigo mikubwa hivi kupitishwa hivi inaonekana sio mara moja, ndio njia yao. Inawezekana mwenye mzigo alikuwa chini ya mbawa za JPM, sasa hana kinga watu wamemkaanga.Mambo yameanza,baada ya JPM
Sawa lakini hapo kuna mgawanyo wa wapokeaji utakuta
Kna mtu hapo utakuta kaahidiwa kg300,mwingine kg 400,kuna wa kg 100
Etc mwishowe tani 2 znaisha kama upepo
Hapo wawabane ili wajue ni wakina nani walikuwa wapokee hapa bongo
Ova
Mkuu picha za tukio zinaonesha source ya babariSource ya Habari?????????.. Kama hii haina source basi sio habari bali ni[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1762585