Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao mapaka wanakuwaga na roho ngumu sanaHao wameyakanyaga itakua wamekimbia vita hapo fukwe za msumbiji ndio wanakotua huko na unga kupelekwa SA...wahuni wana risk aisee daah
Tani 2? Yaani kilo 2000 duuh! [emoji87]Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na kikosi cha wana maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania wamekamata zaidi ya tani mbili ya dawa za kulevya aina ya Heroin.
Kazi iendelee,naona wauza unga wanajaribu kupima upepo,pongezi kwa serikali ya awamu ya sita
======
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na kikosi cha wanamaji cha JWTZ imewakamata watu saba wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zaidi ya tani moja kwa kutumia jahazi. Dawa hizo zimekamtwa eneo la Kilwa Masoko mkoani Lindi.
View attachment 1762634View attachment 1762635View attachment 1762636
Mbona hii kitu hawa kipindi cha nyuma wamefanya sana bongoPengine mzigo ulikuwa unaenda south.
Pongezi kwa navy tz na polisiNaona awamu hii polisi wamekuwa wazalendo.
Enzi za mzee baba anakamata Tani 2 ila wanasema kilo 3.
Safi
Haifiki 80mln mkuuUnajua kilo Moja ya heroin ikiuzwa inatoa TSH 80,000,000/=
Sasa imagine Hawa mbuzi Wana Tani mbili! [emoji41][emoji23]
Watu wako serious saana na maisha.
Wanatuona sisi makoro tumezungukwa na kila kitu harafu bado masikini yupo mpakistani mmoja alipelekewa range Rover ya kisasa ya wizi hapo Pretoria miaka kadhaa iliyopita wezi wakiwa wanamsubiri awape pesa hakurudi tena alitoka mazima mpaka DRC kongo akaiuza akapata mtaji akaja kulipa mwaka ila ana yard kubwa ya gari za Japan Congo nilicheka sana nilipoambiwa...Hao mapaka wanakuwaga na roho ngumu sana
Ova
Kwenye madawa binamu tuwe wakweli magufuli alipaweza sana,
Tani mbili kwa pamoja, hapa mtandao ni mkubwa na una wakubwaHeroine tani 2 ndani ya mipaka ya Tanzania?
Kwa hesabu ya fasta ni kama trilioni ngapi hapo
Inaonekana hata mimi nmehisi ni wapakistan! Hawa sindio kuna mahandaki ya operations zote kuanzia maabara za uchakataji na mashamba ya raw materials kwa upande wa Asia ndio vinara ukiacha bara la South America...Wapakistan Hawa usikute
Tatizo wanaswali sanaPakistan si ndio shambani mkuu.
Tanzania ukifika hapo kuna watu wanachkua wana supply sasa mfano South Africa, ulaya etcSidhani Kama soko lengwa ni TZ, hiyo ni transit.
Unga ukilimwa Afghanistan,kuna watu wanautoa huko kuingiza Pakistan au IranInaonekana hata mimi nmehisi ni wapakistan! Hawa sindio kuna mahandaki ya operations zote kuanzia maabara za uchakataji na mashamba ya raw materials kwa upande wa Asiya ndio vinara...
We nawe husomeki paragraph ya kwanza zaidi ya tani 2, paragraph ya pili zaidi ya tani Moja! Au ndio KIKI NI KIKIKI KIKIKI za kisiasa!Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na kikosi cha wana maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania wamekamata zaidi ya tani mbili ya dawa za kulevya aina ya Heroin.
Kazi iendelee,naona wauza unga wanajaribu kupima upepo,pongezi kwa serikali ya awamu ya sita
======
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na kikosi cha wanamaji cha JWTZ imewakamata watu saba wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zaidi ya tani moja kwa kutumia jahazi. Dawa hizo zimekamtwa eneo la Kilwa Masoko mkoani Lindi.
View attachment 1762634View attachment 1762635View attachment 1762636