Kilwa Masoko, Lindi: Zaidi ya Tani moja ya Dawa za Kulevya yakamatwa

Huo ndiyo usafirishaji wao wamekuwa wakitumia
Miaka ya nyuma unga watu walikuwa wanaingiza nchini kwa njia ya kumeza
Kuanzia miaka ya 2006 watu wakaanza
Kuleta kwa njia hii

Ova
mmmh hatari sana mkuu ila wafanyabiashara ya unga wana mbinu na akili sana kila siku wanabuni njia mpya za uingizaji nauuzaji ni hatari!
 
Si ajabu wasishughulikiwe.

Au kesi ikachukua zaidi ya mwaka..
 
Kwaiyo hao wamekamatwa chini ya utawala wa basha wako au??ke.nge ww,,uyo magu kafukueni mzoga wake muujaze upepo muuwabudu,, now rais ni Samia mb,uzi ww
 
Pongezi kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.

Hakika kwa mwendo huu wa kushirikiana ktk kupambana na uhalifu wa aina zote tutafanikiwa.

sasa pelelezeni ili kunasa mtandao wote wanao jihusisha na biashara hii haramu ambayo inaangamiza taifa.

Upelelezi wa kunasa mtandao wa wanao jihusisha na biashara hii ni muhimu zaidi.
 
Hii habari Kuna jamaa mmoja Ni chadema nafikiri alikua anaizungumnzia ilibidi nimcheki tuh
Aisee ufipa Kuna vilaza si utani
 
Hii biashara haikwisha kama tulivyokuwa tinaaminishwa na BASHITE bali ilikuwa inaendelea hasa ilikolea kipindi cha jiwe.
 
Wacha kuleta uongo biashara hii ilikuwepo sana kipindi cha jiwe ila sema qiantity ndiyo inatisha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…