joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hata mkichukia ila Magu alipunguza madawa kwa kiasi kikubwa mtaani,we endelea kishikiwa kichwa.Usikute mzigo ni wa msukuma mmoja ambae alikuwa kwenye syteam ya dictator mwendazake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mkichukia ila Magu alipunguza madawa kwa kiasi kikubwa mtaani,we endelea kishikiwa kichwa.Usikute mzigo ni wa msukuma mmoja ambae alikuwa kwenye syteam ya dictator mwendazake
Kwani wakati wa uyo basha wenu unga ulikuwa hauingii nchini??! Keng_e wwMambo yameanza,baada ya JPM
Aya kaufukueni ule mzoga muujaze upepo uwe kiongozi wenu misukule ya kisukuma,, na ukiambiwa uho mzigo hao walikuwa wanampelekea nani hutoamini mbu,zi wwHata mkichukia ila Magu alipunguza madawa kwa kiasi kikubwa mtaani,we endelea kishikiwa kichwa.
Bashite na baba yake walikamata cheni ya sembeNaona awamu hii polisi wamekuwa wazalendo.
Enzi za mzee baba anakamata Tani 2 ila wanasema kilo 3.
Safi
We hata ukimchukia ila jamaa alipambana na madawa na alifanikiwa kupunguza madawa mtaani,we wendelea kushikiwa kichwa.Aya kaufukueni ule mzoga muujaze upepo uwe kiongozi wenu misukule ya kisukuma,, na ukiambiwa uho mzigo hao walikuwa wanampelekea nani hutoamini mbu,zi ww
Wakatoliki haoDini gani hao watuhumiwa?
Magu kwenye viroba alikuwa anawaweka washindani wake wa kisiasa,, channel ya sembe aliishika bashite Kama hujuiWalikua hawakamatwi ila wanawekwa kwenye viroba
Kwamba Bashite anahusika vp hapo mkuu, elaborate kidogo mkuuKuwaonyesha nchi ipo imara ndio ivyo vyombo vyetu imara vya ulinzi vimewadaka,,bashite ajiandae
Bashite kaingiaje tena hapo mkuu?? 😀Kuwaonyesha nchi ipo imara ndio ivyo vyombo vyetu imara vya ulinzi vimewadaka,,bashite ajiandae
Nenda kamfufueBaada ya Mzee Magu kuondoka sasa watu wameamua kufanya dhihaka na zarau. Tani 2 kweli ndugu zangu?
Enzi za Magu watu kama hawa wangepotea wasijulikane wamepotelea wapi.
Wauza pembe za ndovu walipotea wengine walikimbia nchi. Ukikamatwa mbugani unahojiwa mtandao wako ukoje kisha unapotea na mtandao wako unapotea kuokoa tembo wetu.
Sasa Magufuli hayupo simui kama tembo wetu watapona, sasa twiga watapakiwa kwenye guta ama majaji mchana kweupe badala ya ndege.
Wauza madawa ya kulevya watarudi kwa nguvu kubwa, zile njozi za viatu zitaanza kuning'inia kwenye nguzo za umeme muda si mrefu kuonyesha location ya wauza madawa ya kulevya.
Acha ujingaSasa hiv wameshaanza kujitutumia hata magu hajaoza. Ipo sku watanzania tutakaa tutalia na kusaga meno tukitaman magu afufuke ila haiwezekani, hii ni trailer tu
Wanasema magu aliku dictator lakin Naona udikteta wake ulikua na manufaa sana nchi ilikua na ustaarabu na adabu
Hao tembo wasumbufu natural predators wao ni majangili warudi tu, sehemu kubwa ya Morogoro tumezira kulima kwa sababu ya hasara ya tembo, na serikali hailipi, kulipwa siyo sustainable.Baada ya Mzee Magu kuondoka sasa watu wameamua kufanya dhihaka na zarau. Tani 2 kweli ndugu zangu?
Enzi za Magu watu kama hawa wangepotea wasijulikane wamepotelea wapi.
Wauza pembe za ndovu walipotea wengine walikimbia nchi. Ukikamatwa mbugani unahojiwa mtandao wako ukoje kisha unapotea na mtandao wako unapotea kuokoa tembo wetu.
Sasa Magufuli hayupo simui kama tembo wetu watapona, sasa twiga watapakiwa kwenye guta ama majaji mchana kweupe badala ya ndege.
Wauza madawa ya kulevya watarudi kwa nguvu kubwa, zile njozi za viatu zitaanza kuning'inia kwenye nguzo za umeme muda si mrefu kuonyesha location ya wauza madawa ya kulevya.
Binamu wewe ni 'pundit' mzuri sana linapokuja suala la gossips.Sasa hiv wameshaanza kujitutumia hata magu hajaoza. Ipo sku watanzania tutakaa tutalia na kusaga meno tukitaman magu afufuke ila haiwezekani, hii ni trailer tu
Wanasema magu aliku dictator lakin Naona udikteta wake ulikua na manufaa sana nchi ilikua na ustaarabu na adabu
Mkuu kwakuwa walikuwa wanapita dheni hawakupaswa kukamatwa?Hao usikute walikua wanapita tu bongo kama njia na mzigo unakwenda kwingine kabisa.
Nakuona unavyojaribu kuhamisha magoli baada ya kupigwa tatu bilaMizigo mikubwa hivi kupitishwa hivi inaonekana sio mara moja, ndio njia yao. Inawezekana mwenye mzigo alikuwa chini ya mbawa za JPM, sasa hana kinga watu wamemkaanga.
Waliokua kwenye viroba hakuna hata mmoja aliyetambuliwaMagu kwenye viroba alikuwa anawaweka washindani wake wa kisiasa,, channel ya sembe aliishika bashite Kama hujui
Duuu taratibu kijana stress zitakuua, au unaona una kibali cha kutukanaKwaiyo uho mzigo wa wasukuma wenzio umekamatwa chini ya utawala wa basha wako,,
Misukule ya Magu mna tabu
Wamejaa hapa Mwanza wanauza majora ya vitambaa vya nguo!Popote utakapo muona mpakistani juwa anauza unga.Hamna mpakistani dunia asiyeuza unga hata kama kafungua viwanda dunia mzima ila unga lazma auze.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app