Kim Jong-un taratibu anaendelea kujipenyeza kwenye mzozo wa vita ya Ukraine, haingilii ki-maneno matupu tena bali sasa anaanza kuingia mzima mzima!

Kim Jong-un taratibu anaendelea kujipenyeza kwenye mzozo wa vita ya Ukraine, haingilii ki-maneno matupu tena bali sasa anaanza kuingia mzima mzima!

Ni kweli kabisa mkuu,Ni Kama ambavyo Afghanistan/Taliban ilivyo vzr kuliko US+NATO wote, Taliban kawapiga wote kwa mpigo huku akiwa kavaa makubazi na AK-47 tu.
Upo sahihi, baada ya miaka 20, hatimae Taleban ameshinda vita.

Kimantiki tunaweza kusema hivyo, lakini ukweli ni kwamba US na washirika wake waliona hakuna faida tena kuendelea kuisaidia iliyokuwa serikali ya Afghan dhidi ya Taleban, hivyo wakajiondoa.
 
Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imesema inalaani hatua ya Korea Kaskazini kupeleka silaha kwa kampuni binafsi ya kijeshi ya Urusi ya Wagner Group.

Wizara hiyo imesema leo pia inaunga mkono shinikizo la Marekani kuliwasilisha suala hilo mbele ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Hapo jana, msemaji wa baraza la usalama la Marekani John Kirby alisema Korea Kaskazini imekamilisha upelekaji wa awali wa silaha kwa kundi la Wagner Group ili kulisaidia kuimarisha vikosi vya Urusi nchini Ukraine.

Hata hivyo, Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini imekanusha taarifa kwamba imeipatia Urusi silaha ikisema kuwa sio za msingi. Na badala yake nchi hiyo imeishutumu Marekani kwa kuipatia Ukraine silaha za kivita. Taarifa ya wizara hiyo hata hivyo, haijalitaja popote kundi la Wagner.

Dw
Ni wasaa wake wa kutest nuclear
 
Upo sahihi, baada ya miaka 20, hatimae Taleban ameshinda vita.

Kimantiki tunaweza kusema hivyo, lakini ukweli ni kwamba US na washirika wake waliona hakuna faida tena kuendelea kuisaidia iliyokuwa serikali ya Afghan dhidi ya Taleban, hivyo wakajiondoa.
Hahah nimekumbuka ule msemo wa 'Excuses are like assholes. Everyone has one, and they all stink.'.
 
Hapa ndipo utamuhurumia Russia kwamba anatapatapa kweli.., utamtegemea north Korea akupe ( akuuzie ) silaha kwa nguvu gani aliyonayo??

Kwa tafsiri nyingine ni kwamba hii vita imemfanya urusi awe kwenye level sawa na north Korea [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Anayetapatapa ni yule aliyekimbilia balaza la usalama kwenda kulialia kisenge
 
Hapa ndipo utamuhurumia Russia kwamba anatapatapa kweli.., utamtegemea north Korea akupe ( akuuzie ) silaha kwa nguvu gani aliyonayo??

Kwa tafsiri nyingine ni kwamba hii vita imemfanya urusi awe kwenye level sawa na north Korea [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vipi kuhusu Marekani aliyeagiza silaha South Korea kuipatia Ukraine; je, kwa hoja hiyo inamaanisha Marekani na S. Korea ni level moja?
 
Back
Top Bottom