CR7 Moja ya Mchezaji bora Ulimwenguni.
Jambo la kwanza Ronald ni Play boy Mwema/Womanizer,starehe yake pendwa mbali na soka ni Wanawake.
Pesa,Umaruufu na Muonekana ambao upo kwa bwana CR7 ambavyo husemekana vinawavutia warembo Ukichanganya na tabia yake yakupenda ngono hivyo ametembea na warembo wengi mno.
Ukifutailia warembo aliotembea nao bwana huyu si haba Mfano Jordana,Merche,Gemma,Nereida,Gabriela,Lucia,Georgina,mbali labda nakuzushiwa na kuandikwa na vyombo vya habari haiondoi ukweli wa bwana huyu kupenda warembo/ngono.
U-Play boy/Womanizer unagharama yake pia,Mfano Jamii kwa wingi wake ikatambua yakuwa U-Womanizer hata habari zikipatikana yakwamba Umefumaniwa na mke ya Mtu kisha ukaliwa kiboga Kama mboga jamii haitashtuka sana,Sana sana watanena yakwamba siku zako zilikuwazimekamu/Siku zako zilikuwa zinahesabika tu.
Kathryn yeye anadai anataarifa nyeti kuhusu tukio alilofanyiwa na CR7 Las Vegas.Kathryn alikuwa anafanya kazi" Nigth club dancer" ni pia inasemekana akiwa mdogo alisumbuliwa na Attention Deficit Disorder(Hapa wataalamu wa Afya wanaweza kulieza vyema) hivyo ADD humfanya mtu kuwa na kumbukumbu fupi,kushindwa kuhimili/kukamilisha shughuli,assignment,schoolwork n.k
Yeye anadai tukio la kubakwa limemuathiri kimwili na kiroho na kisaikolojia.
Inawezekana kweli CR7 alifanya kitendo hicho cha kutaka penzi kwa nguvu pasipo ridhaa ya binti au walikubaliana lakini binti amemua kumfanyia Ushenzi kwa kugeuza side b ya kanda,au Cr7 hakufanya kitendo hicho na hapo awali alitweet kuwa ni fek fek news watu wanataka umaarufu kupitia Yeye.
Lakini kwa asilimia nyingi Cr7 anaonekana alipima oil ya mwanadada Kathryn.
Ukiwa Jamii ya side Mnyamwezi Roho yako inakuwa na hamu hamu yakutafuna nyama mbalimbali siajabu hata kupita na binamu zako,Shemeji na n.k.
Mwamuzi Mkuu ni Mahakama,Haki itapatikana nani apewe na nani ahukumiwe.
Yetu Macho na Masiko,Maisha ni Safari milima na mabonde.