Kim Kardashian na Paris Hilton kuhojiwa sakata la Ronaldo kubaka

Kim Kardashian na Paris Hilton kuhojiwa sakata la Ronaldo kubaka

Wanawake dizain ya kim siyo wakuolewa maana muda wote utegemee ukumbushio
 
Ronaldo kasema wapi? Weka link hapa. Ninavyojua mimi Ronaldo hataki kuongea chochote kuhusu hili swala, alichofanya ni kutoa statement moja tu kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Mi nmesoma kule googole na isitoshe alipost kavideo akisema it's not true about this situation
 
Mi nmesoma kule googole na isitoshe alipost kavideo akisema it's not true about this situation


It's not true about the situation doesn't he accused his former club. Weka hiyo sijui googole hapa.
 
huyo Kim sidhani kama ana sehemu ya siri maana yeyote huona usiri unatoka wapi
 
Dah kweli! Babu zetu na uoga wao wa kindezi ndo umesababisha tubakie Africa hapa kula vumbi tu.laiti wasingemkimbia mzungu wangekubali tu wachukuliwe watumwa huenda wewe sahizi ungekuwa zako Fort Lauderdale mimi ningekuwa zangu Atlanta tunakula maisha tu na mabebe wakali [emoji23][emoji23] sio hawa akina Siwatu Mafirigisi na Rhoda chechezamoto

Inatia uchungu aisee, walipata tabu wajukuu wanafaidi matunda.
 
Ana bahati sana kuolewa na Niga. Kim hana hadhi ya kuolewa na Kanye. Ni malaya fulani hivi we fikiria kalala na fala ka mkristu Ronaldo!!!! Sintoshangaa nikisikia aliwahi kuamka na domo_Dayamondi wa Madale

Ila maniga mbele wanatuwakilisha vizuri kabisa, wanafukuwa mitaro ya watoto wakizungu balaa
 
Kuna aina ya wanawake wameumbwa kwa ajili ya starehe tuu,,not otherwise
Ndio kina hao yaani uoe kwa show off tuu sio eti aje kuwa mama wa watoto wako...au eti awe wako mpaka kuzikana au kifo kiwatenganishe!!
Lkn mbona Kim K kageuka kuwa mfano wa mama bora wa 'mawaruwaru' world wide?

Huyo huyo Wema Sepetu ndo role model wake na anahisi one day atakuja kuwa kama yy[emoji15]
 
Mtu kabakwa 2009 lakini 2018 wanafufua kaburi!. Angekuwa bongo ni tunamuuliza ushahidi unao?. Kesi imeisha!..
Nashukuru kuzaliwa Afrika!.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwa kesi kama hizo za kufukua makaburi uwage ujue unatafutiwa target ili umalizwe baada ya kushindwa kumeet a certain mission
 
Unamjua Perez au unamsikia?

Yule mzee ni stakeholder wa mafia 60% iko pale!

Halafu ana pesa chafu balaa, CR ajiangalie kama aliondoka kinoko noko kama kawaida yake yule mzee atammaliza!

Ronaldo kaingia choo cha kike kutengeneza bifu na Perez
 
Back
Top Bottom