Ronaldo ana kesi ya kujibu.
Uahahidi upo huyo mwanamke alipobakwa na Ronaldo alitoa taarifa polisi ya kubakwa na akataja kua ni mwanasoka wa ulaya ila akaogopa kumtaja jina kwa hofu kua itaonekana anatafta umaarufu.
Hata daktari aliempima alikuta shahawa na muingilio wa nguvu(forceful entry). Pia huyo mwanamke hakutaka kuwapa wapelelezi ushirikiano kipindi hicho baada ya wapambe wa Ronaldo kumtishia.
Baada ya huo msala Ronaldo aliajiri watu wanaoitwa fixers au personal reputaion protection specialists ambao walimtishia huyo mwanamke kutokusema chocchote na kumuahidi mpunga.
Ile settlement ya dollar laki 3 na ushee na ile nondisclosure agreement ndio ushahidi tosha kua Ronaldo alibaka.
Trump alimtafuna yule malaya, alipoulizwa akakataa, wanasheria wake wakakataa na kuwaka kama mbogo na kusema huyo malaya kakiuka mkataba, juzi mwanasheria mmoja kakiri Trump alimtafuna yule malaya na kumlipa asiseme chochote(nondisclosure agreement).
Ronaldo ajiandae kuchezea miaka.