Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Ipo hivi, unakuta mtu anafanya kazi inayomuingizia kipato cha kutosha na anajuana na watu wengi wenye hadhi zao, lakini upande wa pili mwanamke aliyenaye anafanya kazi kwa mshahara usiozidi hata laki 3 mfano hawa walimu wa chekechea na hawa ma medical attendants
Kwa mantiki hiyo lazima amsomeshe mwanamke wake angalau afike kwenye degree ,kama ni mwalimu angalau akawe mwalimu wa sekondari kidogo inaridhisha au kama ni huyo medical attendant angalau afike ngazi ya degree awe nurse officer (N.O) kidogo kuna kaheshima kapo .
Sasa ubaya unaanza pale wewe mwanaume elimu yako ni ndogo na kipato chako pia ni kidogo halafu unajitutumua kumsomesha mwanamke ili huko mbeleni msaidizane kimaisha ,hapa ndipo unapofeli kwa asilimia kubwa na ndipo ule msemo wa mwanamke hasomeshwi unapojitokeza.
Lakini kama mwanaume una pesa ya kutosha na elimu pia unayo, kumsomesha mwanamke wako sio jambo baya ila tu asikuvuke ulipo wewe.