Explain,it means wasiojulika ni vyombo vya usalama?Tulia nchi ipo salama kama unafanya mambo ya hatari then tambuwa watu wapo kazini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Explain,it means wasiojulika ni vyombo vya usalama?Tulia nchi ipo salama kama unafanya mambo ya hatari then tambuwa watu wapo kazini.
Hatari ya kusema CCM imekufa unatekwa??Tulia nchi ipo salama kama unafanya mambo ya hatari then tambuwa watu wapo kazini.
Hii serekali na mambo ya kihayawani iko siku tu.Asee hawa c machief wangu wa Mloganzila hawa🤔🤔🤔
Daktari wangu kafany nn tena🤔
Mdogo mdogo tumeshafika Rwanda na UG.Aliyasema Tundu Lissu. Wanatukamata wanasiasa, waandishi wananyamaza hayawahusu. Wakikamata Waandishi, wahaharakati wanasema hayatuhusu. Wanaharakati wanapigwa madaktari wanasema hayatuhusu.
Madaktari wanakamatwa na kupotea Pascal Mayalla, Wakudadavuwa, MsemajiUkweli na wanaJF wote wanasema hayatuhusu!
Jee hili kundi la mwisho likipatwa na masahibu kwa zamu yao litasemewa au kuonewa huruma na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
That is what it meansExplain,it means wasiojulika ni vyombo vya usalama?
Dah labda ni uzushi ila ngoja tuone vyombo vya dola vitasema nnHii serekali na mambo ya kihayawani iko siku tu.
Sijui una umri gani! Lakini kama ulikuwepo au ni mfuatiliaji basi kesi ya uhaini ya kina Macghee, LtMaganga na wengine ya mwaka 1983 ambayo ndio msingi wa kuja kuzaliwa TISS ya sasa kisheria ingekubadili mawazo na msimamo huo ulio nao.Tulia nchi ipo salama kama unafanya mambo ya hatari then tambuwa watu wapo kazini.
Lisemwalo Lipo.Dah labda ni uzushi ila ngoja tuone vyombo vya dola vitasema nn