Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Tuna sheria za aina yake...Hivi huu utaratibu wa kukamatana bila kuambiwa kosa, kupitia serikali ya mtaa, bila ya taarifa ya kuitwa polisi au mahakamani ni utaratibu wa askari wa Tanzania pekee? Sheria inasemaje kwani wakikuhitaji kwenda polisi either kwa mahojiano au vyovyote vile?