Kimara, Dar: Polisi wawakamata kwa uzururaji Daktari chriscyrilo na Daktari Shindo Kilawa

Aliyasema Tundu Lissu. Wanatukamata wanasiasa, waandishi wananyamaza hayawahusu. Wakikamata Waandishi, wahaharakati wanasema hayatuhusu. Wanaharakati wanapigwa madaktari wanasema hayatuhusu.

Madaktari wanakamatwa na kupotea Pascal Mayalla, Wakudadavuwa, MsemajiUkweli na wanaJF wote wanasema hayatuhusu!

Jee hili kundi la mwisho likipatwa na masahibu kwa zamu yao litasemewa au kuonewa huruma na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo mdogo tumeshafika Rwanda na UG.
 
Wakati wanakamatwa na hao watu wasio julikana na nyie mnanyamazia kimya hadi wanachukuliwa sasa hivi ndiyo mnakuja kulia lia humu
 
Tulia nchi ipo salama kama unafanya mambo ya hatari then tambuwa watu wapo kazini.
Sijui una umri gani! Lakini kama ulikuwepo au ni mfuatiliaji basi kesi ya uhaini ya kina Macghee, LtMaganga na wengine ya mwaka 1983 ambayo ndio msingi wa kuja kuzaliwa TISS ya sasa kisheria ingekubadili mawazo na msimamo huo ulio nao.

Lakini kama ni wa kizazi hiki basi tuendelee kujadili tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Korona itaondoka na wengi, swali la kizushi aliyesikia watekaji wakijitambulisha kuwa ni askar wa jeshi la polisi ni Nani? Na alikuwa wap mpak akaiona hyo gar kuwa ni defender?

Basi tuanze na huyo ili kuharakisha upelelezi na madaktar wapatikane mapema iwezekanavyo
 
Mbona tayari wameshaachiwa? Kituo cha polisi Kimara Temboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…