Kimara inaharibu taswira ya jiji la Dar, serikali haioni hii aibu?

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,851
Wanabodi (kwa sauti ya Paskali Mayalla a.k.a Njaa), kati ya vitu vilivyobaki vinachafua taswira nzuri ya jiji la Dar basi ni kimara. Yaani pembezoni mwa barabara hapaeleweki ni ma vibanda tu na vinyumba vyenye mabati yenye kutu hadi unajiuliza hivi shida ni nini? Mbona hata manzese siku hizi panapenndeza?

Mbona bagamoyo road yote inapendeza? Yaani kuanzia kimara mwisho hadi ubungo interchange hakuna kitu cha maana cha kuleta taswira ya kuvutia kwamba sasa upo Dar, na mbaya zaidi hii ndio njia kuu ya wageni wote wanaotokea nchi za kusini mwa Africa na kati.

Inamaana serikali haijaliona hili na hawaoni aibu pia? Pale ubungo interchange karibu na kituo cha daladala cha 'maji' zilipo ofisi za zamani za DAWASA yamejaa mabanda na vijumba vikuukuu visivyo na mbele wala nyuma, hivi serikali mmeshindwa hata kuwahamisha mkafanya kitu cha maana? Tuondoleeni hii aibu bana mbona mnakua kama hamtembeagi kwenye miji ya nchi nyingine hata za jirani tu.
 
Kimara ya wachaga ni wabinafsi....kimara ni chafu kwa miaka yoote it nevdr change
 
Inamaana serikali haijaliona hili na hawaoni aibu pia? Pale ubungo interchange karibu na kituo cha daladala cha 'maji' zilipo ofisi za zamani za DAWASA yamejaa mabanda na vijumba vikuukuu visivyo na mbele wala nyuma, hivi serikali mmeshindwa hata kuwahamisha mkafanya kitu cha maana? Tuondoleeni hii aibu bana mbona mnakua kama hamtembeagi kwenye miji ya nchi nyingine hata za jirani tu.
Ukimaliza Daraja la Kijazi, unaingia slums zile upande wa Udism ni balaa......kule hata kwa bure sikai
 
Mkuu,

Uko sahihi sana,ila kupasema Kimara peke yake ni kama unapaonea.

Huo mji wa Dar karibia wote una sura mbaya barababrani na hauvutii kabisa,kidogo kule bagamoyo road Kuna afadhali.

Pita Njia ya keko tu pale kama unaenda mjini,kotekote kama unatoka Benjamin Mkapa/taifa au unapitia upande wa kilwa road. Tena ni eneo karibu na CBD. Mwaka juzi timu ya alhaly walipokuja kucheza na Simba walipiga picha ya juu (aerial view) ilionyesha mabati kama mabanda ya ng'ombe. Nadhani mpiga Picha alikuwa eneo la Majani ya chai roundabout lengo ilikuwa kupata view ya Benjamin Mkapa stadium 🏟️ Picha ilileta mtafaruku mtandaoni balaa

Ufundi Pana mabanda matupu na mabati chakavu wakati pale ni eneo la polisi alafu pananuka mavi muda wote.

Mbagala ndiyo usiseme. Kule chamazi ukienda kuangalia mpira unaona aibu,ni majumba na vifremu vya maduka vichafu na chakavu,alafu Kuna timu za kimataifa wanaitumia hiyo Njia kwenda chamazi uwanjani Tena wanapita na escot kabisa.

Buguruni,vingunguti,tabata matumbi hadi relini mpaka mwananchi kote huko ukipita njiani ni kumechakaa kwa mabati ya kutu.

Hapo manzese ni pa hovyo ingawa umepatetea.

Huku unakutana na sinza kwa ndani ipo tandale ambayo ni chafu vibaya mno. Dar sehemu Gani kuzuri? Maana hata mikocheni Kuna mitaa Ina nyumba za kutu na mabati chakavu kama tandika Tena nyingi sana na zimepangana. Hadi ununio CCM pale pa hovyo na Pana nyumba chakavu.

Kuna msasani,Tena hapo ndiyo pamezungukwa na ushuani Kila pande,Huku mikocheni,Huku masaki,huku coco beach huku don Bosco hii hapa,ila pachovu kuliko buza.

Mji wa Dar ulitakiwa ufanyiwe marekebisho makubwa sana,siyo kimara peke yake kama ulivyotaja.
 
Wanabodi (kwa sauti ya Paskali Mayalla a.k.a Njaa), kati ya vitu vilivyobaki vinachafua taswira nzuri ya jiji la Dar basi ni kimara. Yaani pembezoni mwa barabara hapaeleweki ni ma vibanda tu na vinyumba vyenye mabati yenye kutu hadi unajiuliza hivi shida ni nini? Mbona hata manzese siku hizi panapenndeza?

Mbona bagamoyo road yote inapendeza? Yaani kuanzia kimara mwisho hadi ubungo interchange hakuna kitu cha maana cha kuleta taswira ya kuvutia kwamba sasa upo Dar, na mbaya zaidi hii ndio njia kuu ya wageni wote wanaotokea nchi za kusini mwa Africa na kati.

Inamaana serikali haijaliona hili na hawaoni aibu pia? Pale ubungo interchange karibu na kituo cha daladala cha 'maji' zilipo ofisi za zamani za DAWASA yamejaa mabanda na vijumba vikuukuu visivyo na mbele wala nyuma, hivi serikali mmeshindwa hata kuwahamisha mkafanya kitu cha maana? Tuondoleeni hii aibu bana mbona mnakua kama hamtembeagi kwenye miji ya nchi nyingine hata za jirani tu.

TZ haijapata viongozi serious. Iwekwe sheria dar kwamba kama una nyumba ya ovyo uvunje ujenge nzuri kwa kiwango fulani la sivyo uza sepa.
 
Back
Top Bottom